Mnyika, Lissu wameianza kazi waliyotumwa

Ni changamoto kwa kweli kuwa na wabunge wanasoma na kuzijua kanuni kuliko spika mwenywe, spika inabidi arudi shule
 
Hapana zilikuwa chache, lakini zilikuwepo. Bw. Pinda alionekana kutabasam aliposikia hapana zipo!
 
Yah uyu pinda nae sometimes yes sometimes no .
Alikomaa na magari ya kifahari on surprise mv8 ndo yakaongezeka
 
duh....vijana wanakuja kasi kweli....wasije wakaishia njiani....uhh
 
Tindu lisu anatema cheche,ANA MAKINDA anaonekana anawoga sana sijui kama ataweza hili bunge
 
Mnasema huyu mama atalimudu bunge hili thubutu ataanza ubabe wa kaa chini hiyo sio hoja
 
Naona Spika kigugumizi kimeanza,huyu hiki kiti lazima atakikimbia tuuh hizi ni rasharasha mvua yenyewe bado.
 
jamani muwe mnatudokeza kidogo sisi tulio nje ya Tz. Huyo mama lazima ajutie uamuzi wake wa kugombea uspika kipindi hiki ambacho watu wameshafumbuka macho, hakuna kuzibwa midomo tena.
 
Bado wanahesabu kura. Lissu amelalama procedure zimepindishwa kidogo jina lilivyosomwa la Pinda kuna mahali kambi ya upinzani ilitakiwa kupata nafasi ya kuongea Makinda amefunika
 
Hahahahha! hayo ndo tunataka yatokee kila siku bungeni ili watu wafyate mkia mara moja.
 
Mambo kwelikweli. Naona mama anasema kuwa wakati tunasubiri matokeo, anaanza kuwasomea utaratibu wa mabasi 18/11/2010 kwa ajili ya kwenda Ikulu kumpongeza Waziri Mkuu......saa 2.30 asubuhi. Wasiwe na metal guagets kwa usalama.

Magari yote ya bunge yaegeshwe nje ya Bunge na yatalindwa na ulinzi wa Bunge
 
Back
Top Bottom