Mnyika, Lissu wameianza kazi waliyotumwa

mnyika bana dah kanifurahisha saaaana, tundu lissu anamshikisha adabu huyu mama tehe
 
sijashangaa jinsi lissu alivyompa elimu makinda ila nilicho shangaa ni jinsi wabunge wa ccm walivyoshangilia upuuzi wa kinda la katiba
 
Muda wowote Wenje atatimua vumbi maana naye nasikia noooomah. Bado wanahesabu naona hapa:A S angry:
 
Hivi hawa wabunge wa Sisiem wao hawaoni mapungufu ambayo wenzao wa upinzani wanayaona, maana hawakosoi hata kidogo ingawa kuna makosa ya waziwazi.

hawataki kushirikisha ubongo kaka, wao posho tu
 
matokeo teyari kura zote 328,,,,,,,,,,,,,,, zilizoharibika 2 ndiyo 277 asilimia 48.5
 
Mh ssita nae yuko na werema kwa wanavyoonekana wanajadili hoja ya lissu

Naona Mh Sitta keshaondoka kutoka eneo alilokaa Mwanasheria Werema. Wanatangaza kura 49 zimemkatta Pinda, ila kapita kwa asilimia 84.5 %
 
Matokeo yanatangazwa sasa:
KURA 328
HARIBIKA 2=0.6%
HAPANA 4?
NDIYO 247=84.5%
 
kama uko nje unaweza download player kutoka tv africa utapata itv live na eatv.
Ila itabidi uwachangie paundi5.5 kwa mwezi mambo yatakuwa mswano.
kama hauna paypal unaweza kudownload na kuinstall ntakusaidia login password yangu kwa muda,ila baada ya siku chache ita-expire.
Endelea!
Asante mkuu kwa hiyo link ya tv africa. Nimeweza kuinstal,ila nimejaribu inadai password na hiyo paypal sina kwa sasa
 
Mh Pinda kapita, kura zote zilizopigwa ni 328, na zilizoharibika ni 2 na zilizokataa ni 49, na zilizosema ndiyo ni 277 sawa na asilimia 84.5.
 
Hivi hawa wabunge wa Sisiem wao hawaoni mapungufu ambayo wenzao wa upinzani wanayaona, maana hawakosoi hata kidogo ingawa kuna makosa ya waziwazi.

wana CCM wao wanajua kushangilia tu idadi wa wingi wa kula hata zikiwa za kuchakachuliwa wao poa tu.
 
Namuona hata Spika Mtangulizi(Sitta)kuna vitu anateta teta na wenzake huku akiwaonyesha kakijitabu nadhani ni cha kanuni hii inanipa picha yawezekana Spika kuna kanuni amezikiuka.
 
Back
Top Bottom