Mnyika, Lissu wameianza kazi waliyotumwa

Hivi hawa wabunge wetu kweli hamnazo wengine aahh! mi nadhani hata ukiwafanyia kuwapa mtihani wa siasa wa darasa la saba nina uhakika kuna wengi watashindwa kama mambo yenyewe hata SADC hawajui ni kitu gani :A S embarassed::A S embarassed:
 
Wait a minute: Hivi ni lazima upinzani kukataa kila jambo?

hata mi nashangaa.....ikiendela hivi, CCM watakuwa wanakubali kila jambo ili kuwakomoa wapinzani ambao wanapinga kila jambo...mambo yakiendelea hivi litakuwa sio bunge ni ushabiki tu.
 
Ni kweli ipo kazi, lakini kilichonishangaza baadhi ya wabunge wanasshindwa Kujua hada nchi za sadc zipo ngapi? Mingine alishindwa hata kusema maana halisi ya neno sadc pale alipoulizwa na Tundu Lisu swali la "What sadc stand for"
 
nasubiri kumwona mama akiandika kujiuzulu akiwa

AGHAKHAN HOSPITAL SOON...Vijana kazi imeanza Sita Alikuwa akimbeba sasa atakiona cha moto na wakina rostam waliomweka wakiwa wanamcheka
 
Nimefurahi sana kwa jinsi walivyoanza kazi.. Kwanza wanaonekana wamepata muda wa kuitipitia katiba ya bunge hivyo hawakurupuki.. Pili wanamvuto wa kuwa wabunge.

Ila nadhani sasa cuf wameharibu maanda nzima ya upinzani.. Wanapigia ccm kura kwa wagombea wao.. Sidhani hii ni dhana nzuri ila tuone nini kitakachofuata.

Pia nadhani chadema wajipange vizuri kwani nadhani bunge hili litakuwa na upinzania sana.
 
Back
Top Bottom