Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Hebu kuwa mkweli huku ukimuogopa Mungu wako ikiwa unaamini katika Mungu! Mimi niliandika post kuhusu critics ambayo niliitoa kwa CHADEMA kama taasisi... critic ambayo hata mwenzenu amekuja kuthibitisha hapa... na wala haikuwa negative criticism lakini badala yake, wewe unaibuka from nowhere na kusema:Sasa hiyo hoja unayosema ulinishinda ama mlinishinda ni ipi?
Mkuu,NasDaz nakushauri kuna watu humu usibishane nao sana, hawachelewi kukutia hasira ukajikuta unakula ban bila kutegemea, niulize mimi, bado naikumbuka my one and only ban, ilitokana na watu kama hawa!, yaani Chadema ina baadhi ya mijitu mijinga ajabu, hadi unajuiliza hivi chama kiliipatia wapi mijitu kama hii?!, halafu unaambiwa hio ndio line-up ya watendaji wa Chama kuuingiza Chadema Ikulu ya Magogoni!..God forbid!.

Niliwahi kusema humu, tukifanya hesabu ya total mileage nani haswa wanaoisaidia Chadema kiuhalisia kati sisi ma critiques na ma praise worshipers!, utakuta sisi tunaikosoa Chadema ndio tunaisaidia zaidi kuliko hao machiriku wake humu ambao kazi yao ni kuiimbia nyimbo za sifa tuu na mapambio!, na siku Chadema inakula kipigo, hao ndi wa kwanza kulia kwa makelele na kujigalagaza chini utadhani wamepata msiba!.

Kwa lengo la critique ni kukisaidia Chadema, then usiwajali kabisa hawa mashabiki maandazi, endelea kutembeza bakora tuu, don't spare the rod and spoil the child!.

Pasco

Mmechelewa, Mtwara twasubiri kuipokea ACT Wazalendo, Chadema ni chama cha kaskazini

Wakiishiwa sera,watajinasibisha kwa udini au ukabila" Mwl jk Nyerere. Wakati mkipiga hizo Mnyika anaendelea,hivi unaikumbuka oparation ya Kanda ya kusini mwaka jana?
 
Mkuu Pasco,

Ahsante sana kwa ushauri mwanana... tena ngoja nikuambie jambo moja kuthibitisha hiyo hoja yako ya nani hasa anaisaidia CHADEMA kati ya akina siye ambao zamani walikuwa wanatuita Magamba na hivi sasa ACT! Nakumbuka mara baada ya uchaguzi mkuu 2010 nilihoji humu jamvini... ikiwa CHADEMA wanaamini katika seya ya majimbo, ni kwanini wasiitumie sera hiyo katika kuimarisha chama, na hivyo kuunda majimbo ya kisiasa badala ya kusubiria hadi waingie madarakani kisha waitekeleze sera hiyo! Aidha nikasema wazi kwamba, wakianza kwenye chama, mwaka wowote wakishashika madaraka tayari watakuwa na uzoefu wa uongozi wa kikanda... Mwenye akili zake anafahamu CHADEMA kama chama wazo la kupeleka chama kwenye majimbo walilileta wakati gani!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,NasDaz nakushauri kuna watu humu usibishane nao sana, hawachelewi kukutia hasira ukajikuta unakula ban bila kutegemea, niulize mimi, bado naikumbuka my one and only ban, ilitokana na watu kama hawa!, yaani Chadema ina baadhi ya mijitu mijinga ajabu, hadi unajuiliza hivi chama kiliipatia wapi mijitu kama hii?!, halafu unaambiwa hio ndio line-up ya watendaji wa Chama kuuingiza Chadema Ikulu ya Magogoni!..God forbid!.

Niliwahi kusema humu, tukifanya hesabu ya total mileage nani haswa wanaoisaidia Chadema kiuhalisia kati sisi ma critiques na ma praise worshipers!, utakuta sisi tunaikosoa Chadema ndio tunaisaidia zaidi kuliko hao machiriku wake humu ambao kazi yao ni kuiimbia nyimbo za sifa tuu na mapambio!, na siku Chadema inakula kipigo, hao ndi wa kwanza kulia kwa makelele na kujigalagaza chini utadhani wamepata msiba!.

Kwa lengo la critique ni kukisaidia Chadema, then usiwajali kabisa hawa mashabiki maandazi, endelea kutembeza bakora tuu, don't spare the rod and spoil the child!.

Pasco

Hata wale wenzako walio anzisha chama ndani ya chama walisaidia chama?
 
Act Mnaanzisha yakwenu lini maana naona wapinzani mnapambana na upinzani na si ccm
 
Last edited by a moderator:
Naona kiwango cha matusi baado kipo kwenye ubora wake
Yale yale ambayo nilimwambia Crashwise! Huyo mwenzako ambae aliniambia:
Hivi kuna wakati ulishawahi kutoa hoja hapa we we poyoyo? kila nikiona hoja zako naonaga uharo tu
Kwako wewe ni hii sawa kwa kuwa ni mwana-CHADEMA mwenzako, lakini mie niliyejibu:
Sina muda wa ku-argue na vilaza kama wewe... tafuta vilaza wenzako!
Ndie mtaalamu wa matusi!!! Naomba kwa heshima ya Crashwise, kuanzia sasa nimeonelea nikupuuze manake nimegundua we jamaa ni mpenda shari wakati sie wengine tumekulia kwenye shari... so, ili kuepusha balaha, wacha nitanganze KUKUPUUZA KUANZIA SASA....!!!
 
Last edited by a moderator:
Yale yale ambayo nilimwambia Crashwise! Huyo mwenzako ambae aliniambia:Kwako wewe ni hii sawa kwa kuwa ni mwana-CHADEMA mwenzako, lakini mie niliyejibu:Ndie mtaalamu wa matusi!!! Naomba kwa heshima ya Crashwise, kuanzia sasa nimeonelea nikupuuze manake nimegundua we jamaa ni mpenda shari wakati sie wengine tumekulia kwenye shari... so, ili kuepusha balaha, wacha nitanganze KUKUPUUZA KUANZIA SASA....!!!
Nasikia nyie ndio vijana mwenye akili kubwa Act?
 
Last edited by a moderator:
Ziara ya kanda ya Kusini itakuwa inahitimisha ziara za maboresho ya kanda nane za Tanganyika zilizo anza tangu mwezi Februari ikiwa ni azimio la Kamati kuu la kuziboresha kanda nane za kichama za Tanganyika kabla kuelekea Zanzibar na kuboresha kanda mbili za upande wa visiwani.

Vikao vya kanda ya Kusini vitakuwa vitatu.

1. Kikao cha Kamati tendaji ya kanda

2. Kikao cha baraza la uongozi la kanda.

3. Kikao cha wadau wa kanda ya Kusini

Vikao Kama hivyo vimeshafanyika kwenye kanda nyingine saba za Tanganyika ambazo ni.

1. Pwani (DSM na Pwani)

2. Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu)

3. Kati (Dodoma, Singida na Morogoro)

4. Kaskazini (kilimanjaro , Tanga, Arusha na Manyara)

5. Juu Kusini (Mbeya , Iringa, Njombe, Rukwa na Ruvuma)

6. Victoria (mwanza , Kagera na Geita)

7. Magharibi (Kigoma , Tabora na Katavi ).

Mfumo wetu wa kanda umekuwa mfumo bora wa kuishii sera yetu ya majimbo na falsafa ya ugatuzi wa madaraka (decentralization).

Kila kanda ya kichama imewezeshwa kwa kuwa na makao makuu ya kisasa pamoja na Gari na pikipiki mpya zaidi 50 ili kuwezesha kazi za kisiasa kwenye kanda husika.

Mkuu asante kwa taarifa hii.
Kwa hiyo Kanda ya mwisho itakuwa
8.Kusini.
Pamoja na kupongeza hatua hii-uharaka katika kuimarisha Kanda hizi ni muhimu sana kwa uhai wa chama na hasa katika kupigania maendeleo ya Wananchi.

Hivyo Kila Kanda na kwa msaada wa Makao Makuu wawe na watendaji imara hadi kufikia oct-2015 maana wakati huo wa Uchaguzi tunataka viongozi wasiotetereka. Na jingine by 2016 Kanda hizi ziwe na Ofisi za Kudumu hata kwa kuchangisha wanachama.

Mkuu Pasco,

Ahsante sana kwa ushauri mwanana... tena ngoja nikuambie jambo moja kuthibitisha hiyo hoja yako ya nani hasa anaisaidia CHADEMA kati ya akina siye ambao zamani walikuwa wanatuita Magamba na hivi sasa ACT! Nakumbuka mara baada ya uchaguzi mkuu 2010 nilihoji humu jamvini... ikiwa CHADEMA wanaamini katika seya ya majimbo, ni kwanini wasiitumie sera hiyo katika kuimarisha chama, na hivyo kuunda majimbo ya kisiasa badala ya kusubiria hadi waingie madarakani kisha waitekeleze sera hiyo! Aidha nikasema wazi kwamba, wakianza kwenye chama, mwaka wowote wakishashika madaraka tayari watakuwa na uzoefu wa uongozi wa kikanda... Mwenye akili zake anafahamu CHADEMA kama chama wazo la kupeleka chama kwenye majimbo walilileta wakati gani!!

Mkuu NasDaz heshima mbele..

Kwanza pole kwa mashambulizi uliyorushiwa hapa, Naamini binadamu tumeumbwa hatujfanana mawazo na fikra na kutokana na hilo ndiomaana kukwaruzana hakukosekani. Ashukuliwe Muumba mbingu na Ardhi kwa kutoa Masamaha kupitia toba. Hivyo kwa kusema haya nikuombe tu hata kama ni siku nyingine angalia mtu inayejadiriana je ni ktk kujenga au ktk Mabishano just kuondoa Stress naw mihemko ya hapa na pale. Lakini kikubwa zaidi samehe pale utakapokwazwa na jiweke pembeni pale utakapoona unajenga hoja yenye mashiko na inapuuzwa na unaoadiriana nao kiasi cha kupelekea matusi hasiyo na msingi. Nakuhakikishia mkuu hili lomenisaidia sana kwenye mijadara mingi hapa jukwaani.

Back to the topic..

Kulingana na post yako hii niliyoinukuu, Upi ni mtizamo wako sasa ktk kuzijenga na kuimarisha Sera ya Majimbo. Je Chadema unadhani wamefanikiwa sana hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu? Kama ni ndiyo je ni kwa kiwango gani kukingana na Vile ulivyokuwa ukitamani ama kushauri watekeleze? Hapa tunapoongea na wewe Chadema wana Ofisi ktk kila Jimbo husika wana Magari,pikipiki na nyenzo nyingine za msingi ktk kuendesha Chama kwa mfumo wa Jimbo, Sijajua kuhusu mishahara ya wafanyakazi za ofisi ya jimbo wanalipwa au kufanywa kwa hisani? Lakini itoshe tu kusema mpaka sasa hakuna malalamiko yoyote tuliyoyasikia kwenye ofisi hizo

Kwa mchanganuo huo je unadhani Chadema wamebakiwa na nini ili kukamilisha Ule mfumo madhubuti uliokuwa ukitaka wafuate ili kuimarisha sera yao ya Majimbo?

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Pasco please... Hujawahi kuisaidia CHADEMA!!! Wewe na timu yako mnalipwa na CCM kupambana na Upinzani kwenye social media ... Mnajua kuwa ACT ilianzishwa kwaajili ya kudhoofisha Upinzani! Hamjawahi hata siku moja kuandika taarifa za uchunguzi kuhusiana na uhusiano wa moja kwa moja wa CCM na ACT ... Kwenu ninyi CHADEMA ni Tishio na kila siku huwa mnajaribu kuipakazia udini, Ukabila na Ukanda! Wewe siku zote umekuwa mtetezi wa ZZK hata kwenye Sakata la ESCROW hukuwahi kuhoji kwanini PAC ilijaribu kuwapotezea BoT na wahusika waliokwapua Stanbic Bank .. angalau tunakubaliana kwenye deliverables za Lowassa ...
Mkuu,NasDaz nakushauri kuna watu humu usibishane nao sana, hawachelewi kukutia hasira ukajikuta unakula ban bila kutegemea, niulize mimi, bado naikumbuka my one and only ban, ilitokana na watu kama hawa!, yaani Chadema ina baadhi ya mijitu mijinga ajabu, hadi unajuiliza hivi chama kiliipatia wapi mijitu kama hii?!, halafu unaambiwa hio ndio line-up ya watendaji wa Chama kuuingiza Chadema Ikulu ya Magogoni!..God forbid!.

Niliwahi kusema humu, tukifanya hesabu ya total mileage nani haswa wanaoisaidia Chadema kiuhalisia kati sisi ma critiques na ma praise worshipers!, utakuta sisi tunaikosoa Chadema ndio tunaisaidia zaidi kuliko hao machiriku wake humu ambao kazi yao ni kuiimbia nyimbo za sifa tuu na mapambio!, na siku Chadema inakula kipigo, hao ndi wa kwanza kulia kwa makelele na kujigalagaza chini utadhani wamepata msiba!.

Kwa lengo la critique ni kukisaidia Chadema, then usiwajali kabisa hawa mashabiki maandazi, endelea kutembeza bakora tuu, don't spare the rod and spoil the child!.

Pasco

NasDaz,

..CDM wakitoa viongozi makao makuu na kwenda kuongoza mikoa na kanda watasingiziwa kuwa ni wabaguzi na wanaona wenyeji wa mikoa na kanda hizo hawafai kuongoza chama.

..kuna mikoa na kanda chache sana hapa Tanzania ambazo zinaweza kuongozwa na watu toka nchi ya maeneo hayo.

..Kwa mtizamo wangu hakuna njia ya mkato ktk suala hili. CDM wahakikishe kwamba kila mkoa na kanda zinapata viongozi ambao ni wenyeji wa eneo husika ambao wanauelewa wa tamaduni na changamoto za maeneo hayo.

cc Pasco, Crashwise, uaminifukazi, Molemo, Chademakwanza
 
Last edited by a moderator:
Pasco please... Hujawahi kuisaidia CHADEMA!!! Wewe na timu yako mnalipwa na CCM kupambana na Upinzani kwenye social media ... Mnajua kuwa ACT ilianzishwa kwaajili ya kudhoofisha Upinzani! Hamjawahi hata siku moja kuandika taarifa za uchunguzi kuhusiana na uhusiano wa moja kwa moja wa CCM na ACT ... Kwenu ninyi CHADEMA ni Tishio na kila siku huwa mnajaribu kuipakazia udini, Ukabila na Ukanda! Wewe siku zote umekuwa mtetezi wa ZZK hata kwenye Sakata la ESCROW hukuwahi kuhoji kwanini PAC ilijaribu kuwapotezea BoT na wahusika waliokwapua Stanbic Bank .. angalau tunakubaliana kwenye deliverables za Lowassa ...
Mkuu RockSpider, Ni kweli!, mimi na timu yangu tunalipwa na CCM kupambana na Chadema kwenye social media ... tunajua kuwa ACT ilianzishwa kwaajili ya kudhoofisha Chadema!. Hatujawahi hata siku moja kuandika taarifa za uchunguzi kuhusiana na uhusiano wa moja kwa moja wa CCM na ACT ... Kwetu sisi CHADEMA ni Tishio na kila siku huwa tunajaribu kuipakazia udini, Ukabila na Ukanda!. Mimi siku zote nimekuwa mtetezi wa ZZK hata kwenye Sakata la ESCROW sikuwahi kuhoji kwanini PAC ilijaribu kuwapotezea BoT na wahusika waliokwapua Stanbic Bank ..

Pamoja na yote, naomba tafuta muda huku umetulia, uzipitie japo kidogo hizi nyuzi, anglia zimeanzishwa na nani na zinazungumzia nini?!, utapata majibu ya utetezi wa ZZK, The Role of BOT na Miamala ya Stanbic!
[h=3]Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!
[/h][h=3]Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize ...
[/h][h=3]Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!
[/h][h=3]Escrow: Tumuombee J.Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho ...
[/h][h=3]Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia
[/h][h=3]Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The
[/h] Pasco
CC. NasDaz
 
Naomba nikusaidie maana unazidi kupotoka...

Profesor Safari ni Makamu wa Mwenyekiti Taifa.Na Mwenyekiti wa Pwani ni Mabere Marando.
Inavyoonekana ni kwamba, yametimia yale ambayo niliongea mwaka 2013 humu jamvini kwamba Profesa Safari isn't fit for the position! Hata kama umeshindwa kuweka mambo wazi, Mohamedi Mtoi huyu hapa:
Wakuu.
Mtakumbuka kuwa mapema mwaka jana, CHADEMA kilizindua uendeshaji wa chama kwa mfumo wa kanda nia ikiwa kugatua madaraka na kupunguza mzigo wa uendeshaji kutoka makao makuu ya chama (DSM) kwenda kwenye kanda husika ili kuendelea kukisimika chama mikononi mwa wanachama kuanzia ngazi ya msingi, mwanzoni chama kilikuwa kinajiendesha kutoka makao makuu yake ya DSM, hivyo kila kitu kilikuwa kinategemewa kufanywa na kupangwa kikianzia makao makuu, kwa sasa baada ya kuzinduliwa mfumo wa kanda ambao kwa maana nyingine ni kuiishi sera ya majimbo kama jinsi ilivyo asisiwa na chama mambo mengi yanafanywa kwa usimamizi wa kanda kwa maana ya mipango ya kuimarisha chama kwenye kanda, usimamizi wa raslimali, utafiti, sera na Ilani, Mafunzo ya aina mbalimbali, program ya CHADEMA ni Msingi, sheria na haki za binadamu pamoja na masuala mengine vipau mbele kwenye kanda husika.
KANDA 10 ZA TANZANIA CHINI YA UONGOZI WA CHADEMA.
7. KANDA YA PWANI - Pwani, Temeke, Ilala, na Kinondoni. Makao Makuu yako DSM ofisi ndogo Kibaha. Mwenyekiti wa kanda ni Prof Abdallah Safari, makamu mwenyekiti ni Mabere Marando na Mratibu wa kanda ni Machale Tugara
Kwenye moja ya hizi mada, nilisema kama nilivyosema leo kwamba Profesa Safari anapwaya kwenye hiyo nafasi, na katika pekua pekua yangu, nikakutana na hii habari:
Mbowe avunja uongozi Chadema Ukonga, Ilala
Mwenyekiti wa Jimbo la Ukonga, Thomas Nyahende ambae nae aliathirika na uamuzi huo, akanukuriwa:
Sasa tujielekeze katika kuijenga upya kanda yetu ya Pwani iliyokuwa imedorora, ili iweze kutuunganisha na kuratibu shughuli za chama katika kanda yetu na hatimaye kanda yetu iweze kuwa kitovu na kiongozi wa mabadiliko ya uongozi katika nchi hii tutakapopofanya uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu 2015,”alisema
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli!, mimi na timu yangu tunalipwa na CCM kupambana na Chadema kwenye social media ... tunajua kuwa ACT ilianzishwa kwaajili ya kudhoofisha Chadema!. Hatujawahi hata siku moja kuandika taarifa za uchunguzi kuhusiana na uhusiano wa moja kwa moja wa CCM na ACT ... Kwetu sisi CHADEMA ni Tishio na kila siku huwa tunajaribu kuipakazia udini, Ukabila na Ukanda!. Mimi siku zote nimekuwa mtetezi wa ZZK hata kwenye Sakata la ESCROW sikuwahi kuhoji kwanini PAC ilijaribu kuwapotezea BoT na wahusika waliokwapua Stanbic Bank ..
Pasco

Comrade umeniua kwa uandishi wako,naona umemueleza kinyume
 
Mkuu NasDaz heshima mbele..

Kwanza pole kwa mashambulizi uliyorushiwa hapa, Naamini binadamu tumeumbwa hatujfanana mawazo na fikra na kutokana na hilo ndiomaana kukwaruzana hakukosekani. Ashukuliwe Muumba mbingu na Ardhi kwa kutoa Masamaha kupitia toba. Hivyo kwa kusema haya nikuombe tu hata kama ni siku nyingine angalia mtu inayejadiriana je ni ktk kujenga au ktk Mabishano just kuondoa Stress naw mihemko ya hapa na pale. Lakini kikubwa zaidi samehe pale utakapokwazwa na jiweke pembeni pale utakapoona unajenga hoja yenye mashiko na inapuuzwa na unaoadiriana nao kiasi cha kupelekea matusi hasiyo na msingi. Nakuhakikishia mkuu hili lomenisaidia sana kwenye mijadara mingi hapa jukwaani.

Back to the topic..

Kulingana na post yako hii niliyoinukuu, Upi ni mtizamo wako sasa ktk kuzijenga na kuimarisha Sera ya Majimbo. Je Chadema unadhani wamefanikiwa sana hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu? Kama ni ndiyo je ni kwa kiwango gani kukingana na Vile ulivyokuwa ukitamani ama kushauri watekeleze? Hapa tunapoongea na wewe Chadema wana Ofisi ktk kila Jimbo husika wana Magari,pikipiki na nyenzo nyingine za msingi ktk kuendesha Chama kwa mfumo wa Jimbo, Sijajua kuhusu mishahara ya wafanyakazi za ofisi ya jimbo wanalipwa au kufanywa kwa hisani? Lakini itoshe tu kusema mpaka sasa hakuna malalamiko yoyote tuliyoyasikia kwenye ofisi hizo

Kwa mchanganuo huo je unadhani Chadema wamebakiwa na nini ili kukamilisha Ule mfumo madhubuti uliokuwa ukitaka wafuate ili kuimarisha sera yao ya Majimbo?

BACK TANGANYIKA
Mkuu Respect wa boda,
Binafsi mie niliunga mkono suala la uanzishaji wa hizi kanda from the beginning na badi naunga mkono! Kuhusu kufanikiwa, I doubt kama wamefanikiwa kiasi kile ambacho walitakiwa wawe wamefanikiwa! Baada ya kuanzisha kanda, nilitarajia CHADEMA wangewekeza nguvu kwenye maeneo korofi hususani ya Kusini na Pwani kwa ujumla ambako, ingawaje hawataki kukubali ukweli, bado haya maeneo CHADEMA wana mizizi ya kutosha! Wakati CHADEMA wanataja viongozi wao wa kanda mwaka 2013, hiki ndicho nilisema:
Turudi kwenye suala la watu kama akina Zitto!Suala sio kwamba huko mikoani kuna viongozi wazuri au hakuna.....issue hapa ni Positioning Strategy! Current erra politics need to be run like business! Unapoona kwamba you don't have potential customer base in certain locality then you need to deploy your resources to the area! When we talk about resources, we include Qualified, Commited and Tactical Human Resources as well!! You need influential politicians there at least over a (sis) specied time limit to make things done na sio wale waliokumbwa na upepo wa maandamano wakapewa kadi! Mtaingiza mamluki kwenye senior management team! I don't know how your organisation structure look like lakini if you've tactical business like organisation structure basi sina shaka kwamba Management team ya kanda ni part of Top Management structure ya chama! This's not all about introducing kanda za kichama mikoani! Do you know how potential the program is? If you don't, then mwisho wa siku mtaishia kulalamika kwamba mmeibiwa kura wakati uhalisia ni kwamba Kura zenu huwa hazitoshi!

TIP OF ADVICE:
You need to have a list of influential and committed members who're ready to work for the party no matter what! Hapa inabidi muwe makini....hapa JF naona members ambao ni very influential and tactical lakini sizani kama huko duniani wana mashiko yale yale waliyonayo hapa JF. Examples of those people ni Ben Saanane including yourself Mwita Maranya! Lakini si kwamba hao hawastahili kuwepo kwenye hizo Zonal organisational structure, NO! Wanastahili bali wanastahili kuwa Behind the Scene and not FRontline...! Members wanaopaswa kuwa frontline ni members like Zitto Kabwe, John Mnyika, Halima Mdee, John Heche and the like! Let the guys lead Zonal Management Teams na wala hiyo haimaanishi kuwanyima nafasi wakazi wa huko mikoani....by the way, kama wapo ni na influential, give them lakini isiwe ndo kanuni kwamba Zonal Management ziwe led na local residents!

Anyway, Is up to you guys, to follow it or not! However, the Vote Casting Ballot will release the final outcome endapo what you've in those mentioned areas ni customers base or just unevenly distribution of customers/supporters!
Post hiyo nilikuwa namjibu Mwita Maranya! Hivyo basi, pamoja na kuunga mkono suala hilo, binafsi CHADEMA niliona wamekosea maeneo mawili; moja wapo ni hili hapa kama ambavyo niliandika hiyo 2013:
Zaidi ya mwaka mmoja uliopita, hiyo ikiwa ni mara ya pili (first time ilikuwa 2009) nilitoa changamoto hapa JF kwamba ni kwanini basi CHADEMA wasiitekeleze sera yao ya majimbo kwa kuanzia na majimbo ya kiungozi kwa chama badala ya kusubiria kushika dola! Nilisema kwamba, inaonekana wazi sehemu ambako CHADEMA imetoa viongozi ngazi za juu basi nako huwa wanakuwa na nguvu kubwa sana. Nikatoa mifano ya Kigoma, Arusha, K'njaro! Aidha, nikashauri kwamba viongozi waliopo ambao ni influencial kv Mnyika, Zitto, Heche, and the like ndio wawe viongozi wa awali kwenye kanda hizo bila kuangalia origin! Kwamba, eti kv Zitto anatoka KGM basi akaongoze kanda ya huko!! Kwamba viongozi watoke pale Kinondoni makao makuu na waende kuongoza kanda hizo mpya! Hii maana yake ni kwamba, endapo Watanzania wanavutika sana na viongozi wenye majina makubwa, basi uwepo wa viongozi hao kwenye kanda hizo unge-stimulate shauku ya watu kutaka kujiunga nao.

Hili, limefanyika and the pleasure is mine hata kama si maoni yangu ndiyo yaliyowafanya wao walete mpango huo! Pamoja na yote hayo, lazima nitamke wazi kwamba CHADEMA wamekurupuka na hawakutumia busara hata kidogo! Hakuna upungufu wa busara uliotumika kama kuanza na Kanda ya Kaskazini! Yaani hili limefanyika katikati ya tuhuma mzito kwamba CHADEMA ni chama kinachoendekeza ukanda! Mtoa mada ameita "PROPAGANDA DHAIFU!" Msijidanganye, hii si propaganda ya kupuuzwa hata chembe na itakuwa ni kituko kujiaminisha kwamba ni propaganda dhaifu wakati kila siku inaendelea kumea kwenye mioyo ya Watanzania! Na hali inakuwa mbaya zaidi pale CHADEMA wanapozindua jambo linaloashiria hizo hizo mnazoita propaganda dhaifu! It's very unfortunately, utawala wa awamu ya kwanza ulituaminisha kwamba utawala wa majimbo ni hatari kwa mustakabali wa taifa hili....this means that suala zima la utawala wa majimbo halifahamiki vizuri na Watanzania. So unapoanza na uzinduzi wa Jimbo la Kaskazini, kwa chama kinachotuhumiwa Ukaskazini, hapo bila shaka ni kuwapa gazeti la Uhuru best Headline of the Week!! So what, hapo Nape akisimama jukwaani na kusema "si mmeona, tuliwaambia kwamba hawa wana ajenda ya Ukaskazini....!!" je, mtamkejeli kama ilivyo silika yenu?!

Binafsi nilitarajia CHADEMA wangeanza na jimbo la Kusini kwa maana ile ile! Kwamba, pamoja na kujidanganya mnakojidanganya hapa jamvini kwamba mna wanachama wa kutosha nchi zima lakini ukweli bado unabaki pale pale kwamba kuna maeneo, hususani kusini; CHADEMA hamna chenu kule!! So kwa kuanza na Kusini, tena unamweka mtu kama Zitto Kabwe kuwa Katibu Mkuu wa Southern Province, basi sina shaka kwamba angebadilisha status ya maeneo hayo kwa hali ya juu sana! By the way, kuanza na sehemu kama hiyo ingetoa positive justification...! Sizani kama kuna jibu la kuvutia as to why mmeanza na Kaskazini lakini the answer could be short and clear kwamba mmeamua kuanzisha uongozi wa Kikanda na kuanzia Kusini coz' you don't have enough supporters kule!!
Hivyo basi, tangu mwanzo wake sikuona ni kwanini CHADEMA waanze na kule ambako tayari kuna propaganda dhidi yao lakini kubwa zaidi tayari walikuwa wameshatengeneza base na kuacha kule ambako hawakuwa na base ya kueleweka! Kwa maoni yangu, kwavile Kusini kulikuwa hakuna kitu kabisa basi walitakiwa kuanza kule!

Aidha, bado naamini kwamba maeneo korofi yanatakiwa kuwa na viongozi ambao tayari ni influential kama akina Mnyika! Kwenye hiyo post nimemtaja Zitto kwavile bado alikuwa CHADEMA lakini leo hii hata hapa JF ukiuliza who's Matiko Matare, I doubt hata kama wafuasi wengi wa CHADEMA watakuwa wanamjua lakini matokeo yake unampa kanda korofi kama ya Kusini ambako CCM wanashinda kwa zaidi ya 80%!!

So, to make story short, kwenye maeneo mengine utaratibu huu umefanikiwa lakini ukiangalia kwa makini mafanikio hayo yamechangiwa sana na harakati za kabla ya uanzishaji wa huu mfumo wa Kanda... kwa mfano, ukienda Kanda ya Ziwa kila mmoja anafahamu ni Operation Sangara ndiyo iliibua msisimko kanda ya Ziwa.... huu mfumo wa sasa umekuja tu kumalizia palipokuwa pamefanyiwa kazi tangu awali!
 
Last edited by a moderator:
NasDaz,

..CDM wakitoa viongozi makao makuu na kwenda kuongoza mikoa na kanda watasingiziwa kuwa ni wabaguzi na wanaona wenyeji wa mikoa na kanda hizo hawafai kuongoza chama.

..kuna mikoa na kanda chache sana hapa Tanzania ambazo zinaweza kuongozwa na watu toka nchi ya maeneo hayo.

..Kwa mtizamo wangu hakuna njia ya mkato ktk suala hili. CDM wahakikishe kwamba kila mkoa na kanda zinapata viongozi ambao ni wenyeji wa eneo husika ambao wanauelewa wa tamaduni na changamoto za maeneo hayo.

cc Pasco, Crashwise, uaminifukazi, Molemo, Chademakwanza
Mkuu JokaKuu,
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Kanda ya Kusini inaongozwa na Matiko Matare! Je, unamfahamu Matiko Matare? Kama haumfahamu, je. hilo jina lina dalili ya kuwa ni mtu wa Kusini? Kwa ufupi tu Matiko Matare ni Mkurya wa Musoma... ikiwa unalikumbuka sakata la UDSM mwaka 1989, Matare alikuwa ndie Rais wa DARUSO... lakini pamoja na yote, amepewa Kanda ya Kusini na mimi katika hilo sina tatizo hata kidogo provided ana uwezo wa ku-deliver lakini I doubt ikiwa anao uwezo huo!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom