Hahahahahaaa... Mkuu Pasco, kama hukuwahi kuhoji kwanini PAC iliwapotezea BoT, mie Msaka tonge mwenzako uvumilivu ulinishinda na nilihoji ni kwanini Zitto katika ripoti yake alionekana ni kama anam-defend Gavana Ndulu hadi nikatoa mfano wa Bank Teller kwamba, pamoja na ukweli Bank Teller ndie mtu wa chini kabisa among Bank Staffs (Bankers) lakini yeye ndie mwenye sauti ya mwisho kuamua alipe au asilipe! Teller akishakuwa na mashaka, mathalani na cheque iliyopo mbele yake, hata Branch Manager hana ubavu wa kumlazimisha alipe! Nikahoji, sasa ikiwa Bank Teller ana maguvu yote hayo, inakuaje Gavana wa Benk Kuu aonekana hana hatia wakati yeye ndie Head Teller not mentioning kwamba taasisi yake inajitegemea!! Kwanini Zitto kila wakati alikuwa anaonekana kumtetea sana aGavana Ndulu!!!??Ni kweli!, mimi na timu yangu tunalipwa na CCM kupambana na Chadema kwenye social media ... tunajua kuwa ACT ilianzishwa kwaajili ya kudhoofisha Chadema!. Hatujawahi hata siku moja kuandika taarifa za uchunguzi kuhusiana na uhusiano wa moja kwa moja wa CCM na ACT ... Kwetu sisi CHADEMA ni Tishio na kila siku huwa tunajaribu kuipakazia udini, Ukabila na Ukanda!. Mimi siku zote nimekuwa mtetezi wa ZZK hata kwenye Sakata la ESCROW sikuwahi kuhoji kwanini PAC ilijaribu kuwapotezea BoT na wahusika waliokwapua Stanbic Bank ..
Pasco
Last edited by a moderator: