Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Mihemko ya CCM na vimada wao ACT inafurahisha sana ... Watanzania si wajinga tena .... Wanajua majukumu ya ACT ni kudhoofisha upinzani nchini ..
Mkuu ACT imeingiaje?,Kumbuka tu hakuna mwenye uwezo wakuua upinzani nchi hii tofauti na wapiga kura.
 
Kamanda vipi?.Mbona unaonekana una raha sana,mnaenda kuvunja ngome za CUF kwa mwamvuli wa UKAWA.Mimi nawatakia kila la kheli lakini nchi hii inahitaji WAZALENDO zaidi.Tukimaliza ziara ya mikoa kumi,Tunakuja kaskazini kuhubili uzalendo na kutoa majawabu ya matatizo yanayo ikumba nchi yetu.Watanzania wa sasa ni waelewa huwa wanapima mambo kabla yakufanya uamuzi,Nachowasihi mnadi sera zenu huko mtwara mtawafanyia nini wananchi na mtaunda serikali ya aina gani baada ya kuingia IKULU.Nawatakia kila la kheli MAKAMANDA lkn mkumbuke kutenda yale mnayohubili.

Hapo ndio mnajidhihirisha kuwa ninyi ni mamluki wa CCM!! Ukawa itawatesa sana na nje na ukawa utakuwa msaliti wa wananchi tu! Yale wanaukawa waliyoyafanya pale bunge la katiba hayatasahaulika kabisa ndugu!

Narudia na utie masikio kuwa NJE NA UKAWA NINYI NI MAMLUKI! Ni suala la wakati tu utaona moto wake!
 
wakati wao wakiomba tubomoke,watabomoka wao,Chadema ni mpango wa mungu...go go go Chadema,watakiona cha moto mwaka huu.

Hakika mkiwaeleza wananchi mtawafanyia nini basi mtachaguliwa lakini mkifanya kinyume chake badi na wapiga kura watafanya pia kinyume chake.
 
Kamanda vipi?.Mbona unaonekana una raha sana,mnaenda kuvunja ngome za CUF kwa mwamvuli wa UKAWA.Mimi nawatakia kila la kheli lakini nchi hii inahitaji WAZALENDO zaidi.Tukimaliza ziara ya mikoa kumi,Tunakuja kaskazini kuhubili uzalendo na kutoa majawabu ya matatizo yanayo ikumba nchi yetu.Watanzania wa sasa ni waelewa huwa wanapima mambo kabla yakufanya uamuzi,Nachowasihi mnadi sera zenu huko mtwara mtawafanyia nini wananchi na mtaunda serikali ya aina gani baada ya kuingia IKULU.Nawatakia kila la kheli MAKAMANDA lkn mkumbuke kutenda yale mnayohubili.

Huko kuna CUF kuna CDM kuna NCCR! woote hao ni UKAWA shida nini!!??
 
Ccm mwaka huwa huu watalia sana kila heri kamanda Mnyika .
 
Ziara ya kanda ya Kusini itakuwa inahitimisha ziara za maboresho ya kanda nane za Tanganyika zilizo anza tangu mwezi Februari ikiwa ni azimio la Kamati kuu la kuziboresha kanda nane za kichama za Tanganyika kabla kuelekea Zanzibar na kuboresha kanda mbili za upande wa visiwani.

Vikao vya kanda ya Kusini vitakuwa vitatu.

1. Kikao cha Kamati tendaji ya kanda

2. Kikao cha baraza la uongozi la kanda.

3. Kikao cha wadau wa kanda ya Kusini

Vikao Kama hivyo vimeshafanyika kwenye kanda nyingine saba za Tanganyika ambazo ni.

1. Pwani (DSM na Pwani)

2. Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu)

3. Kati (Dodoma, Singida na Morogoro)

4. Kaskazini (kilimanjaro , Tanga, Arusha na Manyara)

5. Juu Kusini (Mbeya , Iringa, Njombe, Rukwa na Ruvuma)

6. Victoria (mwanza , Kagera na Geita)

7. Magharibi (Kigoma , Tabora na Katavi ).

Mfumo wetu wa kanda umekuwa mfumo bora wa kuishii sera yetu ya majimbo na falsafa ya ugatuzi wa madaraka (decentralization).

Kila kanda ya kichama imewezeshwa kwa kuwa na makao makuu ya kisasa pamoja na Gari na pikipiki mpya zaidi 50 ili kuwezesha kazi za kisiasa kwenye kanda husika.
 
Hapo ndio mnajidhihirisha kuwa ninyi ni mamluki wa CCM!! Ukawa itawatesa sana na nje na ukawa utakuwa msaliti wa wananchi tu! Yale wanaukawa waliyoyafanya pale bunge la katiba hayatasahaulika kabisa ndugu!

Narudia na utie masikio kuwa NJE NA UKAWA NINYI NI MAMLUKI! Ni suala la wakati tu utaona moto wake!

Mkuu asante sana,Kipindi muheshimiwa LEMA anatokomeza uoga kwa wananchi hakika tulimuelewa vema.Na dhana moja wapo yakuonyesha wewe sio muoga nikusimamia yale unayoamini kama unaona upo sahihi.Hata kama jamii nzima itakuchukia.Huwezi kumuweka mtu madarakani ambae hujui atakufanyia nini?.Mimi naamini mkinadi sera mtachaguliwa tu na watakao vutiwa na sera zenu.Hayo yakusemabni mamluki mi siyaelewi la msingi nikuuza sera ttu kwa wananchi dhen wataamua.
 
Kamanda vipi?.Mbona unaonekana una raha sana,mnaenda kuvunja ngome za CUF kwa mwamvuli wa UKAWA.Mimi nawatakia kila la kheli lakini nchi hii inahitaji WAZALENDO zaidi.Tukimaliza ziara ya mikoa kumi,Tunakuja kaskazini kuhubili uzalendo na kutoa majawabu ya matatizo yanayo ikumba nchi yetu.Watanzania wa sasa ni waelewa huwa wanapima mambo kabla yakufanya uamuzi,Nachowasihi mnadi sera zenu huko mtwara mtawafanyia nini wananchi na mtaunda serikali ya aina gani baada ya kuingia IKULU.Nawatakia kila la kheli MAKAMANDA lkn mkumbuke kutenda yale mnayohubili.

Mkuu,umejaa upepo sana kufungua kanda sio kuua cuf..wakati mwngne n vema kuhusisha ubongo
 
Kamanda vipi?.Mbona unaonekana una raha sana,mnaenda kuvunja ngome za CUF kwa mwamvuli wa UKAWA.Mimi nawatakia kila la kheli lakini nchi hii inahitaji WAZALENDO zaidi.Tukimaliza ziara ya mikoa kumi,Tunakuja kaskazini kuhubili uzalendo na kutoa majawabu ya matatizo yanayo ikumba nchi yetu.Watanzania wa sasa ni waelewa huwa wanapima mambo kabla yakufanya uamuzi,Nachowasihi mnadi sera zenu huko mtwara mtawafanyia nini wananchi na mtaunda serikali ya aina gani baada ya kuingia IKULU.Nawatakia kila la kheli MAKAMANDA lkn mkumbuke kutenda yale mnayohubili.
Uzalendo umeupata juzi au ulikuwa nao....
 
Back
Top Bottom