CHADEMA isianzishe kanda kwa papara...

CHADEMA isianzishe kanda kwa papara...

Hakuna kulala mpaka kieleweke!no smooth path towards political success!viva cdm!
 
wazo zuri ila limechelewa,ningeshangaa kama cdm wote tuwe na akili 1 hapo ningejua sisi hatuna akili ila kwa mijadala na ubishani hapo juu naona umejifunza pia wengine wana hoja gani coz haukushiliki kwenye kikao husika.pamoja tuijenge cdm yetu
 
Thank you,

I agree with you kuwa njia bora ya kupambana na propaganda ni kutompa nafasi adui/hasimu wako ya kuieneza kwa urahisi na kuepuka mambo yanayochochea propaganda.Katika sayansi ya Siasa zipo aina 3 za propaganda ingawa mbinu zake zimeongezeka juzi na njia bora ya kukabiliana nazo kwenye kitabu cha Prof.Ben D'Moir

CCM na vyama hasimu pamoja na vikundi vichache vimekua vikitumia propaganda ya kijivu (kuchanganya Uongo Mwingi na kupotosha ukweli kidogo in their favour) na kuufanya uonekane ndiyo ukweli mtupu.Kitengo chao cha propaganda kime-fail miserably na sasa wanahama katika ule mkakati wao wa kutumia propaganda ya kijivu sasa wanatumia propaganda nyeusi(Kusema uongo waziwazi na kwa ujasiri ili kulazimisha umma uamini kuwa ndiyo ukweli) na hata hivyo kwa bahati mbaya aina hii ya propaganda wangeitumia kipindi kile ambacho watanzania wengi hawakuwa wameelimika,kipindi kile ambacho tulipotoka tu kwenye mfumo wa chama kimoja.Sasa hivi si Rahisi kuitumia propaganda hii na wamefanya opposite ya walichotakiwa kufanya muda huu.Siwapi siri

Propaganda ya ukabila haina nguvu tena hata waseme kitu gani.Imeshachuja.Sasa hivi wanatumia mbinu zilizopitwa na wakati katika propaganda Card stacking(hawataki bunge lionyeshwe,hawataki CHADEMA watoe elimu ya Uraia ili kuwanyima wananchi taarifa na kuelimika),Namecalling imepitwa na wakati.Testimonials-Inajulikana kuwa hivi karibuni watawatumia wale waliohamia huko juzi baada ya kufukuzwa kuzunguka nchi nzima kueneza propaganda hii.Wathubutu waone,tutawafuata wananchi kuwaeleza ukweli.CCM inawatumia vijana wao akina Nape na Mwigulu wanaosoma vitabu vya IPA(Institute of propaganda Analysis) ambazo ni nadharia zilizovumbuliwa tangu mwaka 1938.Sisi tunaenda na trend na latest version ya nadharia mpya zilizovumbuliwa juzi baada ya Arab spring na nyingine zilizovumbuliwa kwenye trend ya kampeni za uchaguzi wa Marekani,Zambia,Ghana,Georgia,Russia na Venezuela.Wakitaka tutawaazima vitabu hivi ili wafanye propaganda za kistaarabu bila kuhatarisha Umoja wa kitaifa

Sasa hivi Propaganda walizozifanya vibaya kisiasa zimehama zenyewe kwenye vyama vya siasa zimehamia kwenye Dini.Hapa wanapambanishwa jamii ya watanzania wa dini mbali mbali dhidi ya wenzao kutokana na ukatili wa wanasiasa waliofeli.Now you can see how another propaganda has taken over minds of innocent Tanzanians

CHADEMA kimeweza kukabiliana na propaganda dhidi yake muda wote na kuchukua tahadhari.Sasa kazi ni kuendelea kuelimisha umma ili hawa wanaotoka madarakani wasituachie nchi ambayo ipo katika vipande vipande.Ni jambo baya na ukosefu wa uzalendo kuchochea udini na kuiacha jamii ikiwa imeharibika vibaya kisa unajua unatoka na unataka kumuharibia anayekuja kuongoza.CHADEMA sasa kinafanya kazi ya kukiondoa CCM na pia kuhakikisha kwamba hawatumia njia hii ya mpito kuvunja taifa.Kazi ya kuijenga tutaifanya sisi kwa hiyo kwa kuwa CCM wameonyesha kuwa careless na kukosa uzalendo basi ni lazima tuwasimamishe katika mpango huu wa kuhujumu uongozi mpya utakaochukua dola 2015 kutoka upinzani.Healing social fabrications is not easy.Kagame alipata Shida sana kuijenga upya Rwanda

Ben.
Ngoja nikujuze jambo moja ambalo nyie wanasiasa hamjaliona ama kwa makusudi au kwa kughafirika!! Endapo mtu patatokea wa kuniuliza, Je CHADEMA kweli wanaendekeza udini, ukabila au hapana ukanda; basically jibu langu ni hapana! Lakini hata hivyo, kuna makumi kwa makumi; kama sio maelfu kwa maelefu ya Watanzania ambao wanaiunga mkono CHADEMA kwa ile tu kuingiwa na propaganda za CCM! Pale inapohubiriwa kwamba CHADEMA kinaleta Ukaskazini; CHADEMA inaleta Ukristo....na mambo mengine kama hayo basi propaganda hizo huwa hazikosi wafuasi ambao propaganda hizo itawasomba nazo! Kwamba, utakuta mtu anaamua kuiunga mkono CHADEMA kwavile tayari ameshaingiwa na propaganda za Ukaskazini nae ni mtu wa Kaskazini! Au unakuta mtu anaamua kuiunga mkono CHADEMA kwavkuwa tu yeye ni Christian na tayari alishalishwa propaganda kwamba It's not Movement For Change, bali ni Movement For Christianity! Watu ama wafuasi kama hawa wapo ndani ya CHADEMA na ndio hasa wanaohiribu CHADEMA hususani hapa JF!!

Kama utaamua kuweka ushabiki pembeni, basi unaweza kuwashuhudia watu kama hao hasa pale linapokuja suala la mijadala ya kidini! Linapokuja suala la mjadala dhidi ya Islam unakuta wengi wao wanasukumwa na jazba, kejeli, kashfa na hata matusi ya kila aina! Hawa wengi wao ni wafuasi wa CHADEMA ambao wameathiriwana propaganda hizo! Wanazani wapo nyumbani.....similar na wafuasi wa CUF, especially enzi zile wakati proganda dhidi ya CUF zilipokuwa zimeshamiri! Ilikuwa ni kawaida kabisa enzi zile Waislamu kufanya maandamano ya kisiasa baada ya Sala ya Ijumaa.....hawa wengi wao waliingiwa na propaganda kwamba CUF ni chama cha Kidini/Kiislamu! Ikafikia wakati, taswira ya Uislamu ndani ya CUF ikawa dhahiri kiasi cha kuwa ngumu kupingika! Utapinga vipi wakati mikutano ya hadhara imeshehenezwa na watu wenye barakashia?

Matokeo yake ni nini.....wanachama na wafuasi wale wale wa CUF wakaiharibu taswira ya CUF kama ambavyo sina shaka kwamba wafuasi wa CHADEMA watakapokuja kuharibu taswira ya CHADEMA in public!
 
The same Mwita Maranya i've known for couple of years now hapa JF.....the same Mwita Maranya ambae hamkubali kukosolewa!! Na mara nyingi u've similar justification: "Kila mwanachama mahali popote alipo anawajibika kutekeleza matakwa haya ya kikatiba. Nakushauri na wewe hapo ulipo uhamasishe wanachama wenzako muanze!" Mwita, say mie nimeamua kuiunga mkono CHADEMA just kwa kupitia sanduku la kura; kwanini unilazimishe kuingia kwenye uongozi na ama harakati za ujenzi wa chama moja kwa moja wakati sina interest kama hizo?! Why should you drag me to the playground I don't deserve? Usijidanganye, not everyone is motivated to become a political leader in any way, so it's up to wale walioamua kuingia kwenye uongozi ndio wafanye hayo unayotaka supporters wa kawaida wafanye! So, kama nyinyi viongozi hamuwezi kuyafanya hayo basi mfahamu kwamba hamfai or you're fit somewhere else and not as a frontline political leader. Kama wewe ni Mhasibu mzuri basi inatosha tu kufanya kazi ya kujitolea ya Uhasibu kwa chama chako badala ya kutaka kuwa kwenye political frontline while u're a weak fighter! If u're a good lawyer, provide legal advice to your party, that's it !! Don't go into the forest if you can't fight the wolf. Acheni kujidanganya kwamba spirit waliyokuwa nayo Watanzania katika kuiondoa CCM madarakani ni spirit ile ile kama ambayo walikuwa nayo Watanganyika kumuondoa Mkoloni! So, wale waliokata shauri la kuwa frontline leaders basi hawana budi ku-drive na kutekeleza jukumu hilo to the point they realise they're not fit for the positions!

Ndugu yangu NasDaz kwa ku summarize ulichokiandika hapa ni kwama kanda ya kusini (mikoa ya Lindi na Mtwara) haina wanachama wa Chadema, na kama wapo hawana muda ama uwezo wa kutekeleza matakwa ya kikatiba ya chama na maagizo ya uongozi wa chama, kitu ambacho sio kweli hata kidogo. Chadema inao wanachama wengi sana katika mikoa hiyo na wenye mapenzi ya dhati ya kukitumikia chama.

Kama tukiyafanyia kazi mapendekezo yako ya kwamba kusini hakuna mwanachama mwenye nia ama muda wa kukitumikia chama tutakuwa tunajidanganya na tutakuwa tunajirudisha nyuma kwakuwa sababu mojawapo ya kuwa na kanda ni kuhakikisha kwamba shughuli za chama zinafanywa na wanachama wenyewe huko katika maeneo yao. Ukimchukua zitto ukampeleka kusini kama unavyotaka hiyo itakuwa ni kuwapora watu wa kusini haki yao ya kujiamlia mambo yao wao wenyewe, uamuzi huu wa kuunda kanda umezingatia ukweli kwamba maamuzi ya chama yasifanywe na mtu mmoja tu au watu wachache tu walioko makao makuu ndipo ikaamuliwa chama kishushe madaraka kwa wanachama wengi zaidi, na huu ulikuwa ni uamuzi uliopitishwa na baraza kuu ambalo lina wajumbe kutoka kona zote za nchi hii, ambapo wenyeviti na makatibu wote wa wilaya na mikoa ni wajumbe wa mkutano huo.

Na nimalizie kwa kukukumbusha kuwa haya ni maamuzi ambayo tuliyasubiri kwa muda mrefu sana na kwakuwa sasa yameanza kutekelezwa wajibu wetu ni kuyaunga mkono na si kuanza kulalama. Kama kweli watu wa kusini ama kanda nyingine yoyote wataona kwamba hawawezi kumudu majukumu ya kuwa na kanda wanaweza kutoa taarifa makao makuu ili uongozi wa taifa uchukue hatua za haraka na za makusudi kusaidiana nao kuhakikisha kwamba kanda husika inafanya kazi zake.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu NasDaz kwa ku summarize ulichokiandika hapa ni kwama kanda ya kusini (mikoa ya Lindi na Mtwara) haina wanachama wa Chadema, na kama wapo hawana muda ama uwezo wa kutekeleza matakwa ya kikatiba ya chama na maagizo ya uongozi wa chama, kitu ambacho sio kweli hata kidogo. Chadema inao wanachama wengi sana katika mikoa hiyo na wenye mapenzi ya dhati ya kukitumikia chama.

Kama tukiyafanyia kazi mapendekezo yako ya kwamba kusini hakuna mwanachama mwenye nia ama muda wa kukitumikia chama tutakuwa tunajidanganya na tutakuwa tunajirudisha nyuma kwakuwa sababu mojawapo ya kuwa na kanda ni kuhakikisha kwamba shughuli za chama zinafanywa na wanachama wenyewe huko katika maeneo yao. Ukimchukua zitto ukampeleka kusini kama unavyotaka hiyo itakuwa ni kuwapora watu wa kusini haki yao ya kujiamlia mambo yao wao wenyewe, uamuzi huu wa kuunda kanda umezingatia ukweli kwamba maamuzi ya chama yasifanywe na mtu mmoja tu au watu wachache tu walioko makao makuu ndipo ikaamuliwa chama kishushe madaraka kwa wanachama wengi zaidi, na huu ulikuwa ni uamuzi uliopitishwa na baraza kuu ambalo lina wajumbe kutoka kona zote za nchi hii, ambapo wenyeviti na makatibu wote wa wilaya na mikoa ni wajumbe wa mkutano huo.

Na nimalizie kwa kukukumbusha kuwa haya ni maamuzi ambayo tuliyasubiri kwa muda mrefu sana na kwakuwa sasa yameanza kutekelezwa wajibu wetu ni kuyaunga mkono na si kuanza kulalama. Kama kweli watu wa kusini ama kanda nyingine yoyote wataona kwamba hawawezi kumudu majukumu ya kuwa na kanda wanaweza kutoa taarifa makao makuu ili uongozi wa taifa uchukue hatua za haraka na za makusudi kusaidiana nao kuhakikisha kwamba kanda husika inafanya kazi zake.

Unajua ulivyoanza maelezo yako hapo juu, nilishituka kidogo kuhisi nimepata wapi ujasiri wa kusema "CHADEMA haina wanachama wa Chadema, na kama wapo hawana muda ama uwezo wa kutekeleza matakwa ya kikatiba ya chama na maagizo ya uongozi wa chama." Ukanilazimisha niyapitie maandiko yangu...nashangaa sijaona niliposema hivyo wala panapoashiria kusema hivyo! Should I sue Mods kwa kwa ku-edit my post....I don't think so, umeamua tu kwa makusudi kunilisha maneno but that's how politics work....failing to do so, u're done!

Back to the topic!
Binafsi nina uzoefu wa kutosha kwenye masuala ya Customer Service/Customer Relationship Management! Kule kuna kitu tunaita Customer Base...in order to survive in business and be ahead of others, you need not only to have customers but STRONG/POTENTIAL customers base! Stop politicising everything Maranya, you DON'T have STRONG customer base in Southern Province!! You have strong customers base in Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Mwanza and Shinyanga! Technically speaking you don't have STRONG/POTENTIAL customer base even in Iringa and Mbeya or Kagera! What you have in later regions are just customers whom some are royal and some are not royal at all! Do you understand what I really mean when I say STRONG/POTENTIAL customers base? Let's take CUF as a case study! CUF has enough and royal customers in Unguja but where they've STRONG/POTENTIAL customers base is not in Unguja, but Pemba! Do you remember about KURA ZA MARUANI kule Pemba? If you didn't come in politics juzi juzi then I've no doubt kwamba unakumbuka! Kile ambacho kilitokea kule Pemba na Kura za Maruani kina-suggest kwamba Pemba wana STRONG customers base! Inachukiza kusema hivi, lakini ndio uhalisia kwamba hata ukisimisha Jiwe kule Pemba, CUF watapata kura nyingi kuliko CCM! Do you have that leverage sir?! Sana sana ninachokiona upande wa CHADEMA ni an unevenly customers network! Sikulazimishi kulikubali hili, sana sana ukifanya hivyo utakua tu ume-prove kwamba you're NOT a real politician in African Political Arena! And in fact, hiyo Kusini nimetoa kama mfano tu coz' I know at least some of you wanaweza kukubali ukweli kuliko ningeingiza na mikoa kama Singida, Dodoma, Taboraor or even Iringa!

Turudi kwenye suala la watu kama akina Zitto!
Suala sio kwamba huko mikoani kuna viongozi wazuri au hakuna.....issue hapa ni Positioning Strategy! Current erra politics need to be run like business! Unapoona kwamba you don't have potential customer base in certain locality then you need to deploy your resources to the area! When we talk about resources, we include Qualified, Commited and Tactical Human Resources as well!! You need influential politicians there at least over a specied time limit to make things done na sio wale waliokumbwa na upepo wa maandamano wakapewa kadi! Mtaingiza mamluki kwenye senior management team! I don't know how your organisation structure look like lakini if you've tactical business like organisation structure basi sina shaka kwamba Management team ya kanda ni part of Top Management structure ya chama! This's not all about introducing kanda za kichama mikoani! Do you know how potential the program is? If you don't, then mwisho wa siku mtaishia kulalamika kwamba mmeibiwa kura wakati uhalisia ni kwamba Kura zenu huwa hazitoshi!

TIP OF ADVICE:
You need to have a list of influential and committed members who're ready to work for the party no matter what! Hapa inabidi muwe makini....hapa JF naona members ambao ni very influential and tactical lakini sizani kama huko duniani wana mashiko yale yale waliyonayo hapa JF. Examples of those people ni Ben Saanane including yourself Mwita Maranya! Lakini si kwamba hao hawastahili kuwepo kwenye hizo Zonal organisational structure, NO! Wanastahili bali wanastahili kuwa Behind the Scene and not FRontline...! Members wanaopaswa kuwa frontline ni members like Zitto Kabwe, John Mnyika, Halima Mdee, John Heche and the like! Let the guys lead Zonal Management Teams na wala hiyo haimaanishi kuwanyima nafasi wakazi wa huko mikoani....by the way, kama wapo ni na influential, give them lakini isiwe ndo kanuni kwamba Zonal Management ziwe led na local residents!

Anyway, Is up to you guys, to follow it or not! However, the Vote Casting Ballot will release the final outcome endapo what you've in those mentioned areas ni customers base or just unevenly distribution of customers/supporters!
 
Back
Top Bottom