Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Kwani shemeji wako wa magogoni anapoitwa Dr katetea thesis ipi? Katoka na theory gani? Ana Masters ya nini? Alidefend hiyo Phd yake mbele ya Madr wangapi? Hebu tupe title ya thesis yake!!!

Swari kwa jibu! Naomba unijibu mnyika ni professor wa nini? usikimbilie kuuliza swari.
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System
'John Mnyika ni kati ya Wabunge wachache wanaofikiri kwanza kabla ya kuongea'- William Vangimembe Lukuvi - June 29,2012-Bungeni Dodoma

https://www.youtube.com/watch?v=cTOu3Bl4WBs anzia dakika ya 11.57 hadi dakika ya 12.08
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

waislam wakikusikia unapoidhalilisha Quran yao. utawajibu
 
Duh, jamani mbona siwaelewi, mambo mnayo yakadili yanatija kwa taifa letu hebu tufunguwni vizuri
 
- Huwezi kuwa bright bungeni huku huna elimu ya shule, ndio maana anasema qurani bungeni badala ya hoja, unasema hiyo ndio brightness? Wewe kweli unaweza kumlingnaisha Mnyika na Muhongo? duh!1

Le Mutuz System

maneno yako yanaonyesha we ni product ya cromosomes za wazazi mata hira na wasio na busara. like father like son, shame on u. jitu kuubwa zee kama wewe lakini unafikiri kwa kutumia makalio yako, ukoo wenu wa panya siku zenu.zinahesabika
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Kama huna cha kuchangia si ukae tu kimya!
 
dah nashangaa sana mtu kama le mutuz na utuzima wote ule anamponda mnyika,sio saizi yako mnyika wewe jifananishe na wakina zamaradi ,wema nk.mnyika ni level yawakina obama wewe.
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Cheki mdini huyu!ila si shangai sababu kichwani kwenyewe kume jaa madudu.
 
Na yeye kamtuhumu nani leo tumezoweya kambi rasmi ya upinzani
Kumtaja mtu hutuba yote kwa jina
 
Wako waliosema hajamaliza chuo sawa ndugu yangu Riz alimkandia sana ila sasa mungu mkubwa tutapima uwezo wao bungeni Riz aliemaliza chuo na Mnyika ambaye hakumaliza chuo .
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Na wewe si umshauri mzee Jumanne arudi Oman/Qatar alikobadilisha jina akawe imam kabisa. ha! ha! ha! ha!. Unamjazia toilet tu mama wa kambo (Kilango)
 
Back
Top Bottom