frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Swari kwa jibu! Naomba unijibu mnyika ni professor wa nini? usikimbilie kuuliza swari.
Una miaka mingapi? samahani lakin!!!!
Swari kwa jibu! Naomba unijibu mnyika ni professor wa nini? usikimbilie kuuliza swari.
Una miaka mingapi? samahani lakin!!!!
Una miaka mingapi? samahani lakin!!!!
- Nimeshitushwa kumsikia anasoma maneno ya qurani kwenye siasa au hukumsikia? aibu!1
Le Mutuz System
- Hawa ninakuamini sana sasa siamini unataka kutetea mediocre mshauri Mnyika arudi UDSM hana elimu ndio maana anaweza kwenda bungeni kujadili qurani kwenye mjadala wa MAdini na Nsihati sad!!, yaani kaka leo unatetea mbunge asiye na elimu?
Le Mutuz System
Hana elimu au hana vyeti?- Mkuu ninasema hivi Mnyika hana elimu kama yangu unabisha iweke hapa!!
Le Mutuz System
- ha! ha! ha! unasema kusoma qurani bungeni ndio kuwa bright MP? ha1 ha
Le Mutuz System
usikimbilie kuuliza swari hahaaa
- Hawa ninakuamini sana sasa siamini unataka kutetea mediocre mshauri Mnyika arudi UDSM hana elimu ndio maana anaweza kwenda bungeni kujadili qurani kwenye mjadala wa MAdini na Nsihati sad!!, yaani kaka leo unatetea mbunge asiye na elimu?
Le Mutuz System
- The bottomline Mnyika hana elimu kama yangu kama unabisha iweke hapa tuone!, mtu mwenye alimu hawezi kusimama ,mbele ya Bunge na kuanza kusoma maneno ya qurani hajui kwamba kila kitu kina mahali pake ndio madhara ya kutokuwa na elimu!!
Le Mutuz System
- Kwa tafsiri ya Juu sana elimu ni ya darasani ili uwe kiongozi unatakiwa kuwa na elimu kuliko unaowaongoza, sasa kama huan ndio unakuwa kama Mn yika unasoma maneno yako badala ya kwenye hotuba ya bajeti ambayo ni makosa makubwa sana!!
Le Mutuz System
- The bottomline Mnyika hana elimu kama yangu kama unabisha iweke hapa tuone!, mtu mwenye alimu hawezi kusimama ,mbele ya Bunge na kuanza kusoma maneno ya qurani hajui kwamba kila kitu kina mahali pake ndio madhara ya kutokuwa na elimu!!
Le Mutuz System
Hakuna kitu! Hivi chadema msomi ni nani pale?? Maana kwa kumbukumbu yangu wameshajiuzuru na wengine mmewafukuza kwa kuhoji matumizi, ni nani pale anaweza kusimama UN na kutoa speech???!.
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1
Le Mutuz System
Le Mutuz System
Umekimbilia hoja nyingine na niliyosema mimi...narudi, mtu anaweza kupewa u Professor (yaani Honorary Professor)! Sijasema mambo ya shule za CDM!
- Nasema hivi Mnyika hana elimu mshauriini arudi shule then atajua tofauti ya kusoma qurani bungeni masikitini alichofanya leo ni impoossible kuamini ndio madhara ya kutokuwa na elimu!!
Le Mutuz System
Hata degree hana awe professor?? Mbona unachekesha jamii??!.
Hapana, mimi naona kahororoja sana na kupiga kelele zisizo na mpango, kama wale wachungaji wanaotafuta "wajinga ndio waliwao".
Ngoja Mhongo atapokuja zipanguwa kelele za Mnyika ndiyo utajuwa nini maana ya kichwa.
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1
Le Mutuz System
Le Mutuz System