Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Sijawahi kumweka mtu kwenye ignore list kwasababu naamini hiyo ni hatua ya mwisho kabisa kumdharau binadamu mwenzeko lkn imenibidi nimwingize huyu jamaa afungue list ya wajinga nisiotaka kabisa kuona uharo wao hapa jamvini
Kama nimekosa sorry wadau ila kabla hamjanifikiria vibaya hebu someni post yake niliyo quote hapo juu
Kwako
Ben saanane
Je mtuhuyu ndiye aliye kufanya ufunge safari kumshawishi arudi hapa jamvini kweli, ni kwakipi hasa alichonacho. Ninakusikitikia kwa namna ulivyopoteza muda wako vocha au Mb zako kumshawishi mtu wa namna hii arudi jukwaani hapa kwa GT pole sana KAMANDA.
Nikwasababu mimi binafsi naona nzi anathamani zaidi kuliko huyu bwana hapa jamvi kwasababu nzi anaweza kutumika kumkumbusha mlaji wa chakula kulinda mlo wake pindi apitapo mlaji anapunga mkono huko na huko ili kulinda chakula chake dhidi ya nzi huyo so hii itamfanya kumlinda na wadudu wengine hatari kwa afya ya manadamu kama mende buibui nk siioni thamani husika kwa huyu mzee hapa
Nirudie tena kukupa pole kamanda wangu kwajinsi ulivyopoteza muda, na just akiri yako kujaribu kumfikiria huyo KJ ansante.
BACK TANGANYIKA
Mkuu umenena...!! Hili jamaa huwa halitumii akili hata kidogo ...!! Mie huwa namshangaa sana eti nae anataka uongozi!! Kiongozi gani asie na akili kabisa!!