Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika hana haja ya kumalizia d'gree..! watu wengi ambao hawamalizi chuo huwa wana akili ya watu wengi....! hebu muangalie braza BILL GET hakumaliza chuo....! kwahiyo tusiongelee ushabiki...! pale bungeni hakuna MBUNGE hata mmoja ambaye anakosa kukubali kimoyoni moyoni kwamba mnyika ana akili zilizozidi...!
 
Me nashangaa IQ za watu ni ndogo sana mleta hoja hakuuliza mtu mwenye elimu kubwa kuliko wote amesema brightest sa cna hakika sana kama maana yake ni usomi,me mwenyewe niliwahi kumckia mh. lukuvi anasema mnyika ni moja ya wabunge watakaofika mbali sana, hata kwenye vikao kila mtu anaona,na cdhani kama kuna mkereketwa wa ccm kama lukuvi labda namba moja mwenyewe ambae ni jk na kinana ambao naamini hawamo hum. So leave pie as pie.
 
- Nasema hivi Mnyika hana elimu mshauriini arudi shule then atajua tofauti ya kusoma qurani bungeni masikitini alichofanya leo ni impoossible kuamini ndio madhara ya kutokuwa na elimu!!

Le Mutuz System

Naona unatafuta umaarufu tu au unataka kupoteza ukweli kilicho zungumzwa juu ya Mnyika nikuwa ''Mnyika is the brightest MP'' wala halijazungumziwa swala la elimu yake pia kama ungekuwa na elimu yakutosha nadhani ungeanza kumshauri baba yako alipokuwa waziri mkuu alipobadili dini ili aweze kupata msaada wafedha ili agombee urais au enzi hizo ulikuwa bado mdogo?
 
Hivi pale ubungo Mnyika kafanya nini?

CCM mmembania hamtaki kupeleka kitu pale na ilikuwa ni mpango wenu ili eti 2015 mrudishe jimbo. Na mmefanya hivyo kwa majimbo yote ya upinzani eti kuwaadhibu wananchi kwa kutowachagua. Siasa ni ushindani kama ilivyo job interviews!! Shame on you magamba. cc Ritz, Msalani, Lizabon, Chabruma, Chama, Chris Lukosi, W. J. Malecela.
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

We mtoto, huna wazee nyumbani kwenu au?

Huo upuuzi wa hizo siasa mchwara unataka kuzilinganisha na maneno matukufu km Quraan?

Au nyie ndio yale makapi ya mfumo kristo.

Mnfnsssssssssssssss!
 
We mtoto, huna wazee nyumbani kwenu au?

Huo upuuzi wa hizo siasa mchwara unataka kuzilinganisha na maneno matukufu km Quraan?

Au nyie ndio yale makapi ya mfumo kristo.

Mnfnsssssssssssssss!

mkuu kahtaan hongera kwa kutoka kifungoni komenti ya huyo mzee ajifanzae kijana hata mimi imenboa asilani...
ndio matatizo ya kuruka yamkabiliayoo huyo mzee kila..za
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenena...!! Hili jamaa huwa halitumii akili hata kidogo ...!! Mie huwa namshangaa sana eti nae anataka uongozi!! Kiongozi gani asie na akili kabisa!!

Sawasawa kabisaa mkuu ifikie kipindi watu hawa wafikiri na kutenda sawasawa na umri wao imefikia hatua mtu wa miaka 50 anaongea utafikiri mtoto wa miaka mitano ambaye ndo kwanza yuko chekechea na hata darasa la kwanza hajui linafananaje, je hii si hasara kwa mzazi wake aliyepoteza muda na rasilimali fedha ili angalau mwanawe aondokane na kiwango cha ujinga ambacho, ashakum si matusi kila mwanadamu kazaliwa nacho.

BACK TANGANYIKA
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Look at this bag of secondhand pants,he is provocking islam,the very faith his father found holy and converted to.

Will I be wrong to say his father wasted his sperms in the making of this daft.
 
wabunge wote wa chadema ni vichwa hatari sana.....mpaka wanapotofautiana na "uongozi", then hugeuka "wasaliti", "mapandikizi ya CCM" (ingawa anayetuhumu ndie alitoka CCM, na anayetuhumiwa yuko CDM toka mtoto), ...
 
Mkuu umenena...!! Hili jamaa huwa halitumii akili hata kidogo ...!! Mie huwa namshangaa sana eti nae anataka uongozi!! Kiongozi gani asie na akili kabisa!!

Sawasawa kabisaa mkuu ifikie kipindi watu hawa wafikiri na kutenda sawasawa na umri wao imefikia hatua mtu wa miaka 50 anaongea utafikiri mtoto wa miaka mitano ambaye ndo kwanza yuko chekechea na hata darasa la kwanza hajui linafananaje, je hii si hasara kwa mzazi wake aliyepoteza muda na rasilimali fedha ili angalau mwanawe aondokane na kiwango cha ujinga ambacho, ashakum si matusi kila mwanadamu kazaliwa nacho.

BACK TANGANYIKA
 
We mtoto, huna wazee nyumbani kwenu au?

Huo upuuzi wa hizo siasa mchwara unataka kuzilinganisha na maneno matukufu km Quraan?

Au nyie ndio yale makapi ya mfumo kristo.

Mnfnsssssssssssssss!

Ndugu
Usichange mada,jina lake lisikupotoshe.

Huyu jamaa ni muislamu mwenzio haswaaaaaa.tumieni maelekezo ya imani yenu kumuwajibisha.

Binafsi kanikena sana,ni mtu mzima lakini bado mawazo yake kwa kiwango kikubwa yanaongozwa na shaytan.
 
Uislam sio kabila, bali ni kanuni.
Na km huyo kilaza anataka kuitwa Muislamu basi lzm zile kanuni za kuitwa muislamu awenazo, otherwise ni muefueso km wale wengine tu walioathirika na mfumo kristo.
Hana adabu kabisa huyu mtu!
 
Look at this bag of secondhand pants,he is provocking islam,the very faith his father found holy and converted to.

Will I be wrong to say his father wasted his sperms in the making of this daft.

I couldn't agree more,

Those are the ones we call "the black sheep"!.
 
Quran inaigiaje hapa, uwe unatumia maneno kwa kuelewa maana au kwa kufahamu uzio wa yaiomo dai yake, nilikuwa nakueshimu sana lakini kwa hili nimekutoa thamani kabisa. Quran ni kitabu kitakatifu kilicho kamilika na kusheheni kila fani uijuwayo kama ulikwa hulijuwi hilo, zaburi torati na injili zote zimo humo. mnapotofautiana katika siasa zenu, au mnapopungukiwa maarifa kati yenu katika maisha ya siasa zenu basi acheni kutumia imani za watu katika maswala ya Mwnyezi Mungu.

- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System
 
- Hawa ninakuamini sana sasa siamini unataka kutetea mediocre mshauri Mnyika arudi UDSM hana elimu ndio maana anaweza kwenda bungeni kujadili qurani kwenye mjadala wa MAdini na Nsihati sad!!, yaani kaka leo unatetea mbunge asiye na elimu?

Le Mutuz System

Unaweza kudifine elimu maana yake nini? Mnyika is the best mp unlike hao maprof.
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1
Le Mutuz System
Le Mutuz System

Another pointless from the big man like you, shame to your children, shame to your wife (if you have), shame to the respected Mzee in this country.
 
Back
Top Bottom