MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,258
- 13,633
- Mnyika hana elimu kama yangu mimi sikukimbia Degree kama Mnyika, kama unabisha weka elimu yake hapa tuone ukweli, anajibiwa ujinga wake anakimbia bunge ebo si ulikimbia shule mwenyewe!!
Le Mutuz System
steve jobs,bill gates walikimbia shule mbona walikimbia shule!? Lakini wameelika,elimu si vyeti