Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Kwakweli Magamba Wamebaki Kutukana Tu, Wameishiwa Hoja, Juzi Tibaijuka Katetemeshwa Na Vijana Wadogo Hadi Yakawa Nanagonga Na Kurudi
 
Hivi pale ubungo Mnyika kafanya nini?
 
Tunawashukuru sana wanaubungo kwa kutupa kijana mzalendo na mwadilifu! Ubungo wamepata mbunge na sio mpiga dili bungeni kama kina komba,kayombo na kina lusinde! Ubungo msifanye kosa mwaka 2015 ubunge mnyika tosha!
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Wewe mbona mpambe wa Chicago muuza magari na pia kiofisi chako maeneo ya picha ya Bismn kuna meza mbili na vilaptop vya utapeli 2. Mnyika NI V I P, kweli John hana mtoto. Akili zote zimehamia tumboni na kujipendekeza, dogo wacha uzembe na unafiki ili uishi kwa jasho lako.
 
Namtafuta kamanda Somoche. Wakili wangu huyu ana chemchem ya busara kichwani. Pale Ofisi ya Makamu wa Rais anawapeleka shule vilaza kibao wa CCM
 
Last edited by a moderator:
- Mnyika katihibitisha kwamba anahitaji elimu ya darasa maana huwezi kusema maneno yako wakati wa kusoma bajeti kama Waziri Kivuli, ndio maana ataishia kuwa waziri kivuli mpaka mwisho wa maisha yake maana hana elimu kama wewe!!

Le Mutuz System
afadhali mnyika ameshika uwaziri kivuli akimpeleka puta waziri muhongo! Wewe hata huo uwaziri kivuli usahau maisha yako yote!
 
Tatizo letu hapa ni kujadili watu na tunaacha kiini cha hoja. Tujibu hoja kwa hoja, na sio kutoana kwenye hoja na kuanza kujadili watu, mitume, lugha, matusi uliyotukanwa. Watu wanapita, wanakufa wabstaafu lakini hoja kama zikifanyiwa kazi ni mabarabara, hospital, umeme vijijini, upungufu wa wizi wa pesa zetu, kukamiika kwa miradi lukuki nchini.

Hoja zenye mashiko zinapenya na kuvuka uzio wa ukawa,ccm na chadema na kusababisha madhara chanya kwetu wananchi.

Ukichanganya hotuba ya Muhongo na Mnyika utapata kitu bora ajabu. Muhongo anazungumzia miradi mikubwa ya kiuchumi yenye tija kwa wananchi. Aliomba 1.2tillion akapewa billion 660. jana kaomba 1.8…tillion. Hatapewa zote serikali haina pesa. Hotuba ya Mnyika inaleta suluhisho ya kuziba leakages za pesa, kuwawajibisha wanaotufurisi,wengine wanashangilia takwimu za kuvutia na kuonyesha hapo ndio mwisho wa kufikiri, Mnyika anatuonyesha kuwa tumesahau kuwa tukidhibiti wizi, na kuwajibisha watu, kuja na realistic budget tutapata pesa nyingi sana kukamilisha hayo wanayoshangilia wenzake.
Badala yake, anakejekiwa, hana akili, anapiga kelele.
Sioni nafasi ya form four,qt, prof, chuo kikuu kwa wote wawili
Haya ni maoni yangu baada ya kuiba muda wa uzalishaji na kuwasikiliza hawa waeshimiwa wetu.

Mkuu nimependa mtazamo wako.
 
- The bottomline Mnyika hana elimu kama yangu kama unabisha iweke hapa tuone!, mtu mwenye alimu hawezi kusimama ,mbele ya Bunge na kuanza kusoma maneno ya qurani hajui kwamba kila kitu kina mahali pake ndio madhara ya kutokuwa na elimu!!

Le Mutuz System

Huna elimu bali umeenda shule hata mbwa ukiwa kiongozi wao watakukata
 
[/COLOR]
Huu sasa utoto.

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngomale-Mwiru amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama ilivyo kwa vyama vingine vya siasa nchini, hakina malengo ya kuleta ukombozi wa kiuchumi, badala yake kinapigania kubaki madarakani.
 
OMBI- Mods - tupeni online IQ test - General knowledge ili watu tupimane ubavu tukate mzizi wa fitna.
 
cha kushangaza alikuwa asomi wabunge wakalalamika asomi akaanza kusoma, na alivyo soma ikawa ni sawa na alivyokuwa asomi!!! hutuba yote ilikuwa kichwani!!
Shikamoo sana, he read word by word as it was in his speech. I was speechless. Mungu niletee mjukuu duniani awe na kila sifa aliyo nayo Mnyika bright, smart, descent, you name all attributes of the best person of all. Keep it up the woman and her womb carried you for 9 months and raised you be a talented man!!! Aisee, wacha Mungu aitwe Mungu.
 
Back
Top Bottom