Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya IPU

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,933
Reaction score
17,356
Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.

Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa kimataifa kinaweza kufanywa tu kwenye nchi za magharibi ambako demoktasia iko juu sana. Hii inaiongezea heshima Tanzania kwenye nyanja za kidemorasia na haki ya kusema. Inampa heshima kubwa Rais Samia kuwa watu wake wanaweza kutoa dukuduku zao bila kukamatwa. Hii iko ulaya tu na marekani. Na inafuta rasmi uongo kuwa kama ukitoa maoni yako na kuikosoa serikali utatekwa, utafunguliwa mashitaka ya uongo na utapigwa risasi.

Mpaka IPU (wabunge wa dunia) kuamua kuja kufanya mkutano wao Tanzania tayari wana taarifa nyingi sana kuhusu Tanzania juu ya usalama wao na kile kilichotokea Oct29 kinachopotoshwa.

Bila shaka Dunia imejiridhisha kuwa:
1. Tanzania ina katiba halali iliyotumika tangu 1977 hata kama Katiba hiyo ina mapungufu. Duniani hakuna katiba isiyolalamikiwa.
2. Uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa katiba ya 1977 hata kama kuna wasioridhika nayo
3. chadema walisusia uchaguzi wao wenyewe kwasababu ya kupinga uchaguzi unaofanyika kwa mujibu wa katiba halali wanayoilalamikia
4. chadema ni kati ya vyama 19 vilivyoko Tz, why chadema?
5. Lissu alikuwa na ugomvi na serikali ya Rais Magufuli, na aliumia wakati wa magufuli sio wakati wa Rais Samia.
6. Rais Samia ndiye aliyevifungulia vyama vya upunzani kuanza tena kufanya kazi za siasa baada ya kuwa Rais mwanamke.
7. Samia ndiye alimrejesha nyumbani Lissu nyumbani kutoka uhamishoni
8. Dunia imeipata na kuisikiliza hotuba ya Lissu ya trh 3/4/2025 iliyokuwa chanzo cha mashitaka yake ya sasa.
9. chadema walitaka kumpindua Rais mwanamke.
10. Kuna watanzania ambao hawataki mwanamke kuwa Rais (hii iko duniani kote)
11. Samia ana afadhali kidemokrasia kuliko Rais magufuli, wanalijuwa hilo.
12. Tanzania kuna amani na utulivu mkubwa na maendeleo makubwa kulinganisha na nchi nyingine za Afrika kusini mwa jangwa.

Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya wajumbe wa dunia. Mambo kama haya yanapatikana huko ulaya na Marekani. Alichokifanya Mnyika huwezi kukiona Rwanda, Uganda, Congo na nchi nyingine za kiafrika.

Dunia haiwezi kukusanyika sehemu ambayo wamejiridhisha kuwa hakuna usalama.

View: https://www.youtube.com/live/ERUOY15S5cs?si=bNsKLmko3DBUBTQw
 
sifahamu umeandika nini
Endeleeni kusema mbele ya wageni wa IPU, tena mkiweza chukueni hata mabango yenye ujumbe na kwenda nayo nje ya ukumbi kunakofanyika mkutano wa dunia.

Dunia imeshajiridhisha kuwa tanzania ni salama kabisa kwa kiwango cha dunia kuweza kukusanyika. Chadema someni alama za nyakati.
 
Nimejaribu kusoma na kusoma tena lakini nimeishia kujua tatizo la Afya ya akili kwenye jamii yetu watanzania ni kubwa sana.
Action and Reaction are equal and opposite.

Wamejiridhisha walikuwa wanataka kumuondoa madarakani Rais mwanamke. Hii ni agenda ya wanawake wa dunia nzima inayowakasirisha. Hicho ndicho kinasemwa na wanawake wa dunia yote. Kama mna nguvu kwanini mnasubiri hadi rais awe mwanamke kwanza?
 
Kwa hiyo chadema ndo inafanya tujue kuna democrosia au hamna
Kama walikuwa wanadanganywa kuwa Afrika hakuna uhuru wa kuongea, kukosoa, na ukiisema na kuikosoa serikali utakamatwa na kutekwa na kupigwa risasi sasa wanajionea wenyewe kwa macho Mnyika anabweka bila hofu kama vile yuko Los Angels na Brussels anakosoa viongozi na serikali kwa hasira kwa uhuru kabisa.

Wageni wa IPU watarejea na twaswira tofauti kaaabisa. Vitu kama hivyo huwezi kuvipata Rwanda.
 
Dr nshala katuwakilisha vizuri kenya kwa kuyasema maovu ya sa100 ya utekaji na ubakaji wa demokrasia
Wanamchora tu, kama wakenya wakitaka kujua Tanzania kukoje watamuuliza Duke Abuya atawaeleza ukweli.

Wanaipaisha Tanzania, waendelee tafadhali. Wazungu wanafurahishwa na utawala wa sheria. Kesi ya Lissu iko mahakamani, alisikilizwa, alikataa mawakili na waliifuatilia kwa makini. Baada ya kukataa mawakili na kuamua kujiwakilisha yeye mwenyewe wazungu walimuona kumbe Lissu ni kichaa. Wazungu hawaamini kama kuna mtu mgonjwa anaepaswa kujitibu yeye nwenyewe hata kama yeye ni daktari. Wamemtoa ufahamu.
 
Kwa hiyo chadema ndo inafanya tujue kuna democrosia au hamna
ule uongo wa Tanzania ukikosoa serikali unatekwa, unakamatwa, unafunguliwa mashataka ya uongo, unauliwa Mnyika ameisafisha Tanzania. Wabunge wa IPU wako hapa live wanamuona Mnyika na Heche wakiwa huru kabisa kusema na kukosoa.
 
sifahamu umeandika nini
Real?

Kwanza wabunge wa IPU walishangazwa kuona speaker wetu ni mzungu (Zungu) hana rangi nyeusi kama Tulia Akson. Wamegundua Tz hakuna hata ubaguzi wa rangi, dini, jinsia wala makabila.
 
Umeandikia Nini sasa. Hiyo IPU walifanya mkutano hapa mwaka Jana na Samiah alikuwa mgeni rasmi. Pia lazima ujue Rais wa IPU ni Mtanzania hivyo anatumia influence yake.
 
Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.

Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa kimataifa kinaweza kufanywa tu kwenye nchi za magharibi ambako demoktasia iko juu sana. Hii inaiongezea heshima Tanzania kwenye nyanja za kidemorasia na haki ya kusema. Inampa heshima kubwa Rais Samia kuwa watu wake wanaweza kutoa dukuduku zao bila kukamatwa. Hii iko ulaya tu na marekani. Na inafuta rasmi uongo kuwa kama ukitoa maoni yako na kuikosoa serikali utatekwa, utafunguliwa mashitaka ya uongo na utapigwa risasi.

Mpaka IPU (wabunge wa dunia) kuamua kuja kufanya mkutano wao Tanzania tayari wana taarifa nyingi sana kuhusu Tanzania juu ya usalama wao na kile kilichotokea Oct29 kinachopotoshwa.

Bila shaka Dunia imejiridhisha kuwa:
1. Tanzania ina katiba halali iliyotumika tangu 1977 hata kama Katiba hiyo ina mapungufu. Duniani hakuna katiba isiyolalamikiwa.
2. Uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa katiba ya 1977 hata kama kuna wasioridhika nayo
3. chadema walisusia uchaguzi wao wenyewe kwasababu ya kupinga uchaguzi unaofanyika kwa mujibu wa katiba halali wanayoilalamikia
4. chadema ni kati ya vyama 19 vilivyoko Tz, why chadema?
5. Lissu alikuwa na ugomvi na serikali ya Rais Magufuli, na aliumia wakati wa magufuli sio wakati wa Rais Samia.
6. Rais Samia ndiye aliyevifungulia vyama vya upunzani kuanza tena kufanya kazi za siasa baada ya kuwa Rais mwanamke.
7. Samia ndiye alimrejesha nyumbani Lissu nyumbani kutoka uhamishoni
8. Dunia imeipata na kuisikiliza hotuba ya Lissu ya trh 3/4/2025 iliyokuwa chanzo cha mashitaka yake ya sasa.
9. chadema walitaka kumpindua Rais mwanamke.
10. Kuna watanzania ambao hawataki mwanamke kuwa Rais (hii iko duniani kote)
11. Samia ana afadhali kidemokrasia kuliko Rais magufuli, wanalijuwa hilo.
12. Tanzania kuna amani na utulivu mkubwa na maendeleo makubwa kulinganisha na nchi nyingine za Afrika kusini mwa jangwa.

Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya wajumbe wa dunia. Mambo kama haya yanapatikana huko ulaya na Marekani. Alichokifanya Mnyika huwezi kukiona Rwanda, Uganda, Congo na nchi nyingine za kiafrika.

Dunia haiwezi kukusanyika sehemu ambayo wamejiridhisha kuwa hakuna usalama.

View: https://www.youtube.com/live/ERUOY15S5cs?si=bNsKLmko3DBUBTQw

Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Kama walikuwa wanadanganywa kuwa Afrika hakuna uhuru wa kuongea, kukosoa, na ukiisema na kuikosoa serikali utakamatwa na kutekwa na kupigwa risasi sasa wanajionea wenyewe kwa macho Mnyika anabweka bila hofu kama vile yuko Los Angels na Brussels anakosoa viongozi na serikali kwa hasira kwa uhuru kabisa.

Wageni wa IPU watarejea na twaswira tofauti kaaabisa. Vitu kama hivyo huwezi kuvipata Rwanda.
 
Attachments

  • Screenshot_20260816-150515~2.png
    Screenshot_20260816-150515~2.png
    1.4 MB · Views: 3
Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.

Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa kimataifa kinaweza kufanywa tu kwenye nchi za magharibi ambako demoktasia iko juu sana. Hii inaiongezea heshima Tanzania kwenye nyanja za kidemorasia na haki ya kusema. Inampa heshima kubwa Rais Samia kuwa watu wake wanaweza kutoa dukuduku zao bila kukamatwa. Hii iko ulaya tu na marekani. Na inafuta rasmi uongo kuwa kama ukitoa maoni yako na kuikosoa serikali utatekwa, utafunguliwa mashitaka ya uongo na utapigwa risasi.

Mpaka IPU (wabunge wa dunia) kuamua kuja kufanya mkutano wao Tanzania tayari wana taarifa nyingi sana kuhusu Tanzania juu ya usalama wao na kile kilichotokea Oct29 kinachopotoshwa.

Bila shaka Dunia imejiridhisha kuwa:
1. Tanzania ina katiba halali iliyotumika tangu 1977 hata kama Katiba hiyo ina mapungufu. Duniani hakuna katiba isiyolalamikiwa.
2. Uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa katiba ya 1977 hata kama kuna wasioridhika nayo
3. chadema walisusia uchaguzi wao wenyewe kwasababu ya kupinga uchaguzi unaofanyika kwa mujibu wa katiba halali wanayoilalamikia
4. chadema ni kati ya vyama 19 vilivyoko Tz, why chadema?
5. Lissu alikuwa na ugomvi na serikali ya Rais Magufuli, na aliumia wakati wa magufuli sio wakati wa Rais Samia.
6. Rais Samia ndiye aliyevifungulia vyama vya upunzani kuanza tena kufanya kazi za siasa baada ya kuwa Rais mwanamke.
7. Samia ndiye alimrejesha nyumbani Lissu nyumbani kutoka uhamishoni
8. Dunia imeipata na kuisikiliza hotuba ya Lissu ya trh 3/4/2025 iliyokuwa chanzo cha mashitaka yake ya sasa.
9. chadema walitaka kumpindua Rais mwanamke.
10. Kuna watanzania ambao hawataki mwanamke kuwa Rais (hii iko duniani kote)
11. Samia ana afadhali kidemokrasia kuliko Rais magufuli, wanalijuwa hilo.
12. Tanzania kuna amani na utulivu mkubwa na maendeleo makubwa kulinganisha na nchi nyingine za Afrika kusini mwa jangwa.

Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya wajumbe wa dunia. Mambo kama haya yanapatikana huko ulaya na Marekani. Alichokifanya Mnyika huwezi kukiona Rwanda, Uganda, Congo na nchi nyingine za kiafrika.

Dunia haiwezi kukusanyika sehemu ambayo wamejiridhisha kuwa hakuna usalama.

View: https://www.youtube.com/live/ERUOY15S5cs?si=bNsKLmko3DBUBTQw

Duhh! Kiwango hiki cha ujinga wenzetu mlibarikiwa aisee. Hebu soma tena kwenye Urojo wako No.4&5.
 
ule uongo wa Tanzania ukikosoa serikali unatekwa, unakamatwa, unafunguliwa mashataka ya uongo, unauliwa Mnyika ameisafisha Tanzania. Wabunge wa IPU wako hapa live wanamuona Mnyika na Heche wakiwa huru kabisa kusema na kukosoa.
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Back
Top Bottom