Mnyika Akalia Kuti Kavu

Mnyika Akalia Kuti Kavu

Hivi kauli kama za akina Eng Manyanya mbona awakutakiwa kuthibitisha?
 
EPA ilaanza 2000 hadi 2006

KWA HILI KIJANA WETU JOHN MNYIKA UMEPOTOKA..................NA UNAPASWA KUMUOMBA RADHI MWIGULU NCHEMBA KUONYESHA UUNGWANA WAKO!!!!!!!! 2004, MWIGULU NCHEMBA a.k.a CHIEF alikuwa THIRD YEAR UDSM-UCHUMI............2005, ALIKUWA ANAFANYA SHAHADA YA UZAMILI (MASTERS) MWAKA WA KWANZA..........OCTOBA 2006 NDIO ALIJIUNGA BOT-BANK OF TANZANIA!!!!!!!!! WAKATI SAKATA LA EPA LILITOKEA 2005!!!!! SEMA UKWELI NA UWONGO UWE MWIKO!!!!!!!! ALUTA CONTINUA!!!
 
kwa hili kijana wetu john mnyika umepotoka..................na unapaswa kumuomba radhi mwigulu nchemba kuonyesha uungwana wako!!!!!!!! 2004, mwigulu nchemba a.k.a chief alikuwa third year udsm-uchumi............2005, alikuwa anafanya shahada ya uzamili (masters) mwaka wa kwanza..........octoba 2006 ndio alijiunga bot-bank of tanzania!!!!!!!!! Wakati sakata la epa lilitokea 2005!!!!! Sema ukweli na uwongo uwe mwiko!!!!!!!! Aluta continua!!!

mipango ya wizi wa epa ilianza lini?
 
Haraka na mapepe ya nini? Tulizeni munkari enyi vibaraka wa nape mnaokubali kuwa watumwa wa fikra. Huyo Mwigulu mnayemtetea jasho la masaburi linamtoka coz he knows very well who is John Mnyika. Mawaziri wote wanakiri kuwa Mnyika ni makini kuliko mbunge yeyote wa ccm. Mnyika siyo mtu wa kukurupuka hata kidogo.

Cdm kuna majembe ya ukweli. Yule kilaza wa Cuf jana anasimama na kumkashifu Mbowe. hivi huyo msomi prof. Na Mbowe ni nani mwenye mafanikio kiutendaji na Kiuongozi? Shame on you.

Mabumba wengine wa CUF bwana shule aende mwingine kujitamba ajitambe mwingine
 
Kuhusika hata kikwete naye anahusika na EPA kwa kuwasamehe watu pasipo kuwapeleka mahakamani
 
Kuhusika hata kikwete naye anahusika na EPA kwa kuwasamehe watu pasipo kuwapeleka mahakamani

Siyo hilo pesa za Epa ndizo zilizo tumika kwenye kampeni za CCM mwaka 2005, hivyo wabunge wote wa-CCM wa walioukwaa ubunge kipindi hicho nao ni wahusika wa ufisadi...........
 
Hivi aliyesema CHADEMA wanahusika na kumteka Dr. Ulimboka waliombwa ushahidi? Au ushahidi unaombwa kutoka kwa Wabunge wa Upinzani tu?

Hilo hawalioni mkuu, CCM wana macho ila hawaoni kabisa naona watembee na taa hata mchana, nchi inaibiwa wao wanapiga makofi
 
Vijana mna best vission lakini Zero Mission. Hili linadhihirishwa na uongozi wa MAT na wale Jumuiya ya madaktari Tanzania, hao kama kina mnyika, g. Lema, Nchemba, tumewaona na kuwasikia kina january makamba na zitto na wengine wngi tu mna mawazo mazuri ya namna nchi yenu inapaswa kuwa lakini namna ya kufika huko ni kukurupuka. Maendeleo kulingana na wataalamu wengi ni hatua kwa hatua siyo papo kwa hapo. Tuje kwa mnyika na wanaomsapoti humu je anataka kuaminisha watu kuwa wakiingia madarakani mwaka 2015 watawahimiza wenye nchi kudai haki kwa staili ya kuuwa wenzao? watadai haki kwa style ya matusi au dhihaka? Wakinenewa uongo watakaa kimya bila kueleza ukweli walio nao au wakae kimya tu kama Dr. Slaa na Mnyika walivyotamka sehemu mbalimbali kuwa rais na serikali wangepaswa kukaa kimya hadi uchunguzi huru ufanyike? Au ni kutaka wanachohubiri kiaminike kuwa ndiyo kweli? sina majibu wanayo wenyewe. Humu JF ilimtajwa na pia kupata support ya Mwanahalisi kuwa afande mmoja alihuyehusika na kumteka na kumshambulia kinyama Ulimboka kuwa yupo kwenye jopo la uchunguzi wa tukio hilo ilihali Dr. Deo rafiki wa Ulimboka anapingana na hilo. Sijui!!!!!!!!!!!! Vijana badilikeni muwe critical sometimes na siyo kucheza na hisia tu
 
Mwakalinga .Y,
Naona na wewe unajichanganya kuweka hiyo miaka, alichosema Mnyika wakati wizi wa EPA unatokea Nchemba alikuwa mtumishi wa BoT na kusisitiza ni mtuhuimiwa sio kwamba alikuta wizi wa EPA umefanyika.

Huko kwenye Magamba hakuna aliye salama.
 
Bunge letu kwa sasa limekuwa la hovyo sana. Na hii inachangiwa kwa kiasi kikubwa na upendeleo wa wazi unaofanywa na hao wanaokalia kiti cha spika cha kuwakandamiza wapinzani kiasi kwamba kimewafanya wapinzani kuwa na hasira wawapo bungeni. Nilimwona Lisu alivyokasirika pale aliponyimwa nafasi alipoomba mwongozo wa mwenyekiti/spika wakati Sugu alipotakiwa kuwataja Janjaweed. Nafikiri kuna umuhimu wa katiba mpya kutaka Spika kuwa mtu asiyekuwa na chama ili kutoa usawa kwa wabunge wa vyama vyote.

Utajuaje huyu hana chama manake watu wanajificha kwenye vivuli fulani mwisho wa siku tunakuja gundua kuwa na mpenzi wa chama fulani na hii imedhihirishwa na wabunge wengi wa chadema mfano Tundu Lissu,Mama Kaihura hawa walijificha kwenye kivuli cha uanaharakati wakiikemea serikali kwa mambo mengi kumbe ni wafuasi wa chadema na ata huyu Dr Ulimboka nae inajulikana wazi ni mfuasi wa chadema kazi yao ni kuishambulia serikali ionekane haifahi kwa watu lengo lao ni kuhghohoficha upendo wa watanzania kwa serikali yao na chama cha CCM kwa ujumla na kuimarisha upinzani hasa chadema ewe mtanzania mzalendo kataa chadema ili kulinda Amani,Umoja na Mshikamano wetu hawa chadema wanafanya hayo yote ikiwamo na uchochezi wa migomo hapa nchini kwa sababu ya uroho na urafi wa madaraka!
 
Chadema tunavyosema kitu tuna uhakika nacho kuhusu ukweli subiri siku 7 kwan zimefika.
 
tusubiri siku saba jamani tusimhukumu kabla ya izo siku saba tusubirie kwanza
 
Mbona unataka kupotosha kwa makusudi John Mnyika, kasema Nchemba, alikuwa anafanya kazi BoT.
na hilo litakuwasha kweli JJ anao ushahidi mtatafuta pa kutokea
 
mwigulu huwa anaropoka ropoka,anajiita msomi lakini namashaka na usomi wake.analeta ushabiki wa kisiasa bungeni,sasa ngoja tumletee ushaidi wa kuhusika kwake na ufisadi,na swali ni je mhagama ataruhusu kuweka hadharani ushaidi?maana hata 'Rais wa arusha' alishafanya hivyo na ukweli ukafichwa.
 
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia

Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA

Lakine EPA ilitokea sasa wahusika wako wapi? kama amesingiziwa wahusika wa ukweli CCM au Serikali ya CCM

imewaficha ni nani amekalia kuti kavu Serikali iliyowaibia wananchi na haitaki kusema ni nami au anayetaka kujua

Mwizi ni yupi? Yaani kweli sasa mtamhukumu Mtu anayetaka pesa zirudishwe kwa wananchi masikini wewe

Unamwita anakalia kuti kavu? KWELI NYERERE YUKO WAPIII?


Wapi?
 
Huyu jamaa hana adabu ,tunaweza kusema ni mtovu wa nidhamu ,tokea siku ile alivyomwita Raisi kikwete dhaifu na wengine wazembe na juzi akawaita watu machizi nilimuonea huruma sana maana amekosa uadilifu na hana ujuzi wa kuzungumza kwa ufupi hana tofauti na vijana wa vijiweni au wazee wa migahawani.

Vipi utamwita Raisi wa nchi dhaifu tena kwa jina na wengine uwaite wazembe au machizi ndani ya kikao cha bunge ,yaani huyu jamaa anavyosema ni sawa na kelele za jibwa koko tena yule asie na kwao ,anabweka tu utafikiri amekoswakoswa na jiwe.

Kuna haja ya wenziwe kumshauri na asifikirie watu wote wanamtakia wema hata wenziwe wanaweza kuwa na choyo nae na kumwacha akizama katika ujinga.

tatizo lenu magamba mkiambiwa ukweli mnaona mtu kawatusi,si kosa wala tusi kusema rais ni dhaifu,neno dhaifu si tusi bali hutumia kuonesha mapungufu fulani
 
Hivi magamba mbona mnahaha sana? Hata kwa lema ilikuwa hivi hivi lakini baada ya lema ku-submit ushahidi wake ya kuwa waziri mkuu ni muongo nyie mkajifanya kuutunza ule ushahidi kwenye kabati la mende sasa subirini na huu ushahidi atakaouleta JJ na tuone kama na huu mtaenda kuutunza kwenye msitu wa mabwepande.

CHEZEA MNYIKA WEYE...............
 
Huyu jamaa hana adabu ,tunaweza kusema ni mtovu wa nidhamu ,tokea siku ile alivyomwita Raisi kikwete dhaifu na wengine wazembe na juzi akawaita watu machizi nilimuonea huruma sana maana amekosa uadilifu na hana ujuzi wa kuzungumza kwa ufupi hana tofauti na vijana wa vijiweni au wazee wa migahawani.

Vipi utamwita Raisi wa nchi dhaifu tena kwa jina na wengine uwaite wazembe au machizi ndani ya kikao cha bunge ,yaani huyu jamaa anavyosema ni sawa na kelele za jibwa koko tena yule asie na kwao ,anabweka tu utafikiri amekoswakoswa na jiwe.

Kuna haja ya wenziwe kumshauri na asifikirie watu wote wanamtakia wema hata wenziwe wanaweza kuwa na choyo nae na kumwacha akizama katika ujinga.
nape na yule chemba wote wanajichubua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom