Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,762
- 14,005
mmm hii sasa ni mipasho na hapa si mahali pakeUtajibeba mzazi....hapa ni full
mmm hii sasa ni mipasho na hapa si mahali pakeUtajibeba mzazi....hapa ni full
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa. Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA[/QUOTE/
kuna kitu huwa sielewi kuhusu bunge letu, hivi kwanini kauli za tuhuma zinapotolewa na wabunge wa chama tawala huwa haziombwi uthibitisho? mbona eng. fulani alitoa tuhuma nzito dhidi ya cdm na cdm walipoomba uthibitisho wakaambiwa wao ndo wathibitishe kama si kweli, jaman hivi hawa watawala wetu wanatupeleka wapi? mbona wanaonesha upendeleo wa waziwazi.watanzania wa sasa si wajinga kiasi hicho wanaelewa hizi mbinu jaman,
Kwa hakika aliyekalia kuti kavu ni Mwigulu Nchemba! Wizi BOT ni kama mtego wa panya, utanasa waliomo na wasiokuwemo...kuna data kibao na laiti Mwenyekiti Jenister Mhagama angejua pandora box anayotaka kuifunua imefunika kitu gani, angefikiria mara mbili kabla ya kumtaka Mh. Mnyika atoe ushahidi. Mnalotakiwa mjiulize mnaowatetea mafisadi ni hili, je asilimia kubwa ya pesa zinazoibwa BOT zinamnufaisha nani au nini na hapa ndio wengi wananasika. EPA ni wingu zito machoni mwa magamba...kila wakikodoa macho, ni EPA tuuu!Alipopata nafasi, Mnyika alitoa tuhuma nzito kwa Mwigulu kwamba ni mmoja kati ya mafisadi waliokwapua fedha katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Wakati akiendelea kushusha tuhuma hizo, Jenister Mhagama, alimtaka Mnyika kuthibitisha tuhuma hizo ndani ya siku saba kwamba Mwigulu ni mmoja kati ya watuhumiwa ufisadi wa mabilioni ya fedha za EPA ingawa Mnyika hakusema Mwigulu alikwapua fedha za EPA.
sitaki kuamini kua hapa ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia......wakati wa kesi yake ya uchaguzi aliyoshinda ushahidi alitolea humu jamvini au ww ndo ulimpatia ushahidi? Shame on u!!!
wewe ovyo kama Mabumba
Naona wengi mmechanganyikiwa na hamjui mnaloongelea... tafakarini kwa makini huu mtiririko;
Kwa hakika aliyekalia kuti kavu ni Mwigulu Nchemba! Wizi BOT ni kama mtego wa panya, utanasa waliomo na wasiokuwemo...kuna data kibao na laiti Mwenyekiti Jenister Mhagama angejua pandora box anayotaka kuifunua imefunika kitu gani, angefikiria mara mbili kabla ya kumtaka Mh. Mnyika atoe ushahidi. Mnalotakiwa mjiulize mnaowatetea mafisadi ni hili, je asilimia kubwa ya pesa zinazoibwa BOT zinamnufaisha nani au nini na hapa ndio wengi wananasika. EPA ni wingu zito machoni mwa magamba...kila wakikodoa macho, ni EPA tuuu!
Huko kwenye Magamba hakuna aliye salama.
mwigulu huwa anaropoka ropoka,anajiita msomi lakini namashaka na usomi wake.analeta ushabiki wa kisiasa bungeni,sasa ngoja tumletee ushaidi wa kuhusika kwake na ufisadi,na swali ni je mhagama ataruhusu kuweka hadharani ushaidi?maana hata 'Rais wa arusha' alishafanya hivyo na ukweli ukafichwa.
Hahaha Nchemba kawatekenya naona sasa mnacheka cheka ovyo tu chezea Mwigulu nyie
Nonsense! Unakurupuka tu kama umekatwa kichwa!
Mimi kwa mara kadhaa sasa nawaandikia humu JF kuwa Mnyika hayuko sawa na ana matatizo (amma "psychiatric" amma "psychological"), namsikitikia kijana huyu lakini nawasikitikia zaidi watu wazima walio karibu na kijana huyu kuwa hawajatanabahi mpaka leo hali hiyo ya Mnyika.
Nawasihi wamtafutie ufumbuzi haraka sana kwani anaweza kufanya mambo ya ajabu amma pale bungeni amma nje ya bunge.
Nawasilisha kwa mara ya tatu maoni haya.