Mnyika Akalia Kuti Kavu

ccm walio wengi wanastres za kukosa vit 2015 (kijana anashabikia ccm akizeeka atakuwa mchawi by jembe benedict)

Na anayeshabikia vyma vya umwagaji damu akizeeka atakuwa mfitini tu. Heri mchawi kuliko mtu fitina......by Jembe Mbaraka Mwinshehe
 
Mzimu wa JK umeanza kumwandama

mijitu inayoishi kwa imani za mizimu, uchawi, kurogana-rogana na umalaya wa fikra

halafu tunalalama kwanini watu hawaachi ufisadi

ukisikia kitu, usharukia "dark-age" conclusions

stupid
 
mwigulu nchemba alipanda juu ya mti wa
mwembe asubuhi sana, akakaa mtini hadi kitu saa
kumi. Njaa ikamkaba mpaka penyewe...mara...chali
akadondoka chini kutoka kwenye mti. Daktari akaja
akamwuliza: Nini kinaendelea, kulikoni?
Mwigulu akamjibu: wala usijali sana hata mi nashangaa au ndo kusema"NIMEIVA!"?
 
kaingia kwenye chupa siyo? haijatulia kabisa mwana
Mkuu kama una ushahidi hapa JF msaidie kijana asije atdhirika bure kwa ku-copy na kupaste mada za JF za uongo.
Wale wenye ushahidi na walisema wanao humu jamvini msaidieni jamani.
 
Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho.

Nyongeza kwenye data za Mnyika ni kwamba;
Nchemba alianza kunufaika na Benki kuu pale alipopata fedha 'za ghafla' kutoka benki hiyo, mnamo Septemba 2004 ili akazitumie kusoma masters pale UDSM. Hivyo kuingia kwake BOT 2006, ilikuwa ni kukamilisha mchakato ulioanza kabla.
 
ndo mtakapojua Myika ni mtu makini na itabidi asibitishe aliipataje ajira wakati bado yuko chuo,hv mnakumbuka ile kashfa ya kuajiliwa watumishi wasio na vigezo iliyotokea BOT,MAJI MMEYAVULIA NGUO LAZMA MUYAOGE FISADI WAKUBWA NYIE MAGAMBA
 
Mimi siungi mkono hoja ya kuleta data. Za nini? Mbona data nyingi zinaletwa hazitumiki? Pili mbona wabunge wa CCM wanasema mambo pasipokutoa data wakati kiukweli zingehitajika, lakini hawaambiwi wawasilishe ushahidi? Mfano jana hiyohiyo Eng. Stella Manyanya (Mkuu wa mkoa Rukwa) amesema Cadema wanahusika na mgomo wa madaktari, hajaambiwa awasilishe vielelezo. Hizi kanuni za bunge ni kwa wabunge wa CDM tu. Haki inapokuwa upande mmoja tu inakosa falsafa. Jamii sasa haiangali sheria tena inaangalia ujumbe kama umefika. Labda Jenista Mhagama(mgoni) asichoelewa ni kuwa asili ya sheria au kanuni ni HAKI NA MANTIKI. Mambo haya kama hayapo hakuna sheria. Ndiyo maana kuna sheria mbaya na nzuri
 
Ndio mtakiona na mtashangazwa mwigulu atakavyo changanyikiwa.
 
Nimesema mengi kuhusu mnyika acha kuhusu hili niwe kimya. Maana nnamuonea huruma sana. Hivi mnakumbuka Mrema nae aliombwa kuleta ushahidi kwa madaha kabisa akasema anao nini siku saba hata leo naweza kuuleta mwisho wa siku akaleta ushahidi wa vipande vya magazeti.

hivyo msishangae michango yenu hapa JF ndio ikawa ushahidi wa Mnyika
 
Tatizo hata akithibitisha hatutajulishwa! Taarifa zote wabunge wanazoambiwa wathibitishe hazijawahi kutufikia wala kuambiwa kathibitishaje
 
game ndo kwanza inaanza, mnyika amebadili tu style ya kuwazingua bungeni naona mnaanza kuweweseka sasa, me naomba uo ushahidi uwekwe hadharani ili hata wasiojua kusoma tuwaonyeshe picha
 
Ujumbe umeupata na umeelewa hayo mengine madoido tu[/QUOTE

Namna mojawapo ya kupima uwezo wa mtu kuchambua mambo na hata intelligency ni namna anavyoandika, you cannot construct a sentence correctly and you want us to take you seriously?
 
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia

Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA

Usiwe kilaza siyo wote walioiba walikuwa wafanyakazi wa BOT, anaweza Kuiba hata wakati akiwa chuo.
 
Dah Mnyika alionywa hakusikia, kaingia kwenye chupa.

Wale walio Bungeni kama Mnyika achaneni na porojo za JF.

Tutaomba kusikia kwanza ushahidi wa Lema dhidi ya Pinda kabla ya ule wa Mnyika dhidi ya Nchemba. The likelihood is "CCM" hawatasoma evidence hata moja.
 
Mnyika nilikushauri tulizana usipende kuropoka hovyo angalia sasa umeingia kichwa kichwa kwenye anga za Mwigulu Nchemba.

Umemtaja kuwa ni mmoja wa watuhumiwa wa EPA, wakati wizi huo umetokea mwaka 2005, wakati Nchemba ameingia BOT mwaka 2006 wakati wizi huo ukitokea alikuwa chuoni.

Haya lete huo uthibitisho wa madai yako.
Hata kama wizi ulitokea zamani,lakini myu kwa madaraka yake aliyonayo akasaidia kuzuia uchunguzi au kushiriki kuficha ushahidi wa wizi huo huyo naye ni mshirika kwa kula njama za kuficha ukweli wa wizi(ufisadi)huo.
Hii ni nafasi nzuri kwa Mnyika kusema yote ambayo yanajulikana kuhusu EPA. Na tunataka kama ushahidi wake kama utafichwa kama ule wa Lema basi yeye auweke mtandaoni wote tuuone.
Hongera Mnyika kwa kauli yako iliyokupa nafasi ya kuweka ukweli hadharani,pata msaada kutoka vyanzo mbalimbali kuweka habari hiyo kitaalamu na kiukweli zaidi.
 
Usiwe kilaza siyo wote walioiba walikuwa wafanyakazi wa BOT, anaweza Kuiba hata wakati akiwa chuo.

Mbona unataka kupotosha kwa makusudi John Mnyika, kasema Nchemba, alikuwa anafanya kazi BoT.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom