Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Nasikia jpatel na manji walisha kuwa wafanyakazi bora wa BOT kwa kukwapua mihela ya EPA lakini mwaka walioanza kazi haujulikani
Hilo ni tatizo lako, mimi naongelea hili tatizo alilonalo Mnyika kabla hajaanza kupashana na Nchemba.
Namuonea huruma huyu kijana na nnatumai watu wazima wenzangu wanaomzunguka (walio karibu nae) wananisoma pia na watafata ushauri japo kwa kumtazama mwenendo wake kwa umakini (ndani na nje ya bunge) wala sileti hizi mada kuhusu Mnyika kwa ajili ya kujibizana kwake Bungeni au hoja zake, la hasha, mimi naongelea afya yake.
Utajuaje huyu hana chama manake watu wanajificha kwenye vivuli fulani mwisho wa siku tunakuja gundua kuwa na mpenzi wa chama fulani na hii imedhihirishwa na wabunge wengi wa chadema mfano Tundu Lissu,Mama Kaihura hawa walijificha kwenye kivuli cha uanaharakati wakiikemea serikali kwa mambo mengi kumbe ni wafuasi wa chadema na ata huyu Dr Ulimboka nae inajulikana wazi ni mfuasi wa chadema kazi yao ni kuishambulia serikali ionekane haifahi kwa watu lengo lao ni kuhghohoficha upendo wa watanzania kwa serikali yao na chama cha CCM kwa ujumla na kuimarisha upinzani hasa chadema ewe mtanzania mzalendo kataa chadema ili kulinda Amani,Umoja na Mshikamano wetu hawa chadema wanafanya hayo yote ikiwamo na uchochezi wa migomo hapa nchini kwa sababu ya uroho na urafi wa madaraka!
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
Wana jamvi tusubiri hizo cku saba alizopewa, na Bunge nalo litoe hadharani ushahidi utaotolewa na Mh Mnyika, n then tupate ya kuyajadili hapa...!
sitaki kuamini kua hapa ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia......wakati wa kesi yake ya uchaguzi aliyoshinda ushahidi alitolea humu jamvini au ww ndo ulimpatia ushahidi? Shame on u!!!Nimesema mengi kuhusu mnyika acha kuhusu hili niwe kimya. Maana nnamuonea huruma sana. Hivi mnakumbuka Mrema nae aliombwa kuleta ushahidi kwa madaha kabisa akasema anao nini siku saba hata leo naweza kuuleta mwisho wa siku akaleta ushahidi wa vipande vya magazeti.
hivyo msishangae michango yenu hapa JF ndio ikawa ushahidi wa Mnyika
duh! ndiyo tatizo la kuwapa wakimbizi uraia. Huyu mwana sijui kanywa viloba vingapi maana hata lugha yenyewe gongana!! hawa ni wale ambao kwao walizowea vita,, sasa hapa akiona kichaka tu...mavy yashambana. Rudi kwenu kwenye vita wee chundu:spy: Mnyika usiongope MWIZI NI MWIZI TUU. Sisi WATANZANIA na tena WANA M4C tunahakika kwa hile tunavyo sema. Watakata hawa MAJAMBAZI CCM NA MAMAFIOZO wao lakini ukweli itabaki vile vile. Tunasema WATANZANIA kua awatishi wala awatamfanyia chochote ukweli itabaki kwa ukweli. CCM kwa lini wanawatetea UJAMBAZI hivyo ??? TUNASEMA WATANZANIA tutawachomea kwenye manyumba zao kama tutaendelea kwa MASIKINI.
we mzee mbona hauko critical? Ili tujifunze kwako! Zaidi umenukuu habari tofauti! Me naona kwa sababu we ni mzee ni bora ukapata muda mrefu wa kupumzika!Vijana mna best vission lakini Zero Mission. Hili linadhihirishwa na uongozi wa MAT na wale Jumuiya ya madaktari Tanzania, hao kama kina mnyika, g. Lema, Nchemba, tumewaona na kuwasikia kina january makamba na zitto na wengine wngi tu mna mawazo mazuri ya namna nchi yenu inapaswa kuwa lakini namna ya kufika huko ni kukurupuka. Maendeleo kulingana na wataalamu wengi ni hatua kwa hatua siyo papo kwa hapo. Tuje kwa mnyika na wanaomsapoti humu je anataka kuaminisha watu kuwa wakiingia madarakani mwaka 2015 watawahimiza wenye nchi kudai haki kwa staili ya kuuwa wenzao? watadai haki kwa style ya matusi au dhihaka? Wakinenewa uongo watakaa kimya bila kueleza ukweli walio nao au wakae kimya tu kama Dr. Slaa na Mnyika walivyotamka sehemu mbalimbali kuwa rais na serikali wangepaswa kukaa kimya hadi uchunguzi huru ufanyike? Au ni kutaka wanachohubiri kiaminike kuwa ndiyo kweli? sina majibu wanayo wenyewe. Humu JF ilimtajwa na pia kupata support ya Mwanahalisi kuwa afande mmoja alihuyehusika na kumteka na kumshambulia kinyama Ulimboka kuwa yupo kwenye jopo la uchunguzi wa tukio hilo ilihali Dr. Deo rafiki wa Ulimboka anapingana na hilo. Sijui!!!!!!!!!!!! Vijana badilikeni muwe critical sometimes na siyo kucheza na hisia tu
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
Usisafirie nyota ya wenzio.. subiri uone kilichomfanya mwewe akurupuke asubuhiHivi Mnyika unamjua au unamsikia? Lile ni jembe la kweli huwa anaongea na kusema kwa kufikiri na kila neno analolitoa huwa lina ukamilifu kwa kufanyia nukuu kitaaluma! Alichokitamka ni sahihi na ni ukweli! Kiti kitatumia ubabe lakini ukweli utabakia pale pale! Mch Mtikila alishatamka kuwa mwili wa Baba wa Taifa Mzoga na kuwa serikali imetumia mamilioni ya wavujajasho kuuzika, je alikalia kuti kavu?, Mrema alishasema hadharani kuwa Mkapa ni mwizi na fisadi kwa kushiriki ufisadi wa Bilioni mia tisa je alikalia kuti kavu,
Mkuu huu udaktari uliusomea wapi?? Hebu tuwekee hayo makabrasha yako hapa basi. Au kama pia ni majibu ya tunguli pia tuhabarishe maana hiyo ni rahisi twaweza na sisi kupiga zetu ramli yakhe!Hilo ni tatizo lako, mimi naongelea hili tatizo alilonalo Mnyika kabla hajaanza kupashana na Nchemba.
Namuonea huruma huyu kijana na nnatumai watu wazima wenzangu wanaomzunguka (walio karibu nae) wananisoma pia na watafata ushauri japo kwa kumtazama mwenendo wake kwa umakini (ndani na nje ya bunge) wala sileti hizi mada kuhusu Mnyika kwa ajili ya kujibizana kwake Bungeni au hoja zake, la hasha, mimi naongelea afya yake.
na ikigundulika amesema kweli utamwamini?Kwa hiyo ikithibitika kasema uongo kutudamganya watanzani kwa maslahi yake ya kuuza sura wewe utaendelea kumuamini?
Ukishaona gwandaz wanarusha matusi basi ujue wamefika mwisho wa kufikiri. Kama mambo madogo hivi yana wapandisha presha,kweli mnafikiri mtakuja kushika Tanzania?
Mkuu huu udaktari uliusomea wapi?? Hebu tuwekee hayo makabrasha yako hapa basi. Au kama pia ni majibu ya tunguli pia tuhabarishe maana hiyo ni rahisi twaweza na sisi kupiga zetu ramli yakhe!
bwahahaaaaaaa,, mpashe mluga luga huyoKama unaijuwa shule ya ma Psychic duniani basi ndio hiyo niliyosoma mimi.
Inawezekana Mnyika ana ushahidi wa tuhuma hizo dhidi ya Nchemba. Nimesikia Nchemba anajitetea kuwa mwaka 2006 hakuwa mwajiriwa wa BOT. Waliohusika ktk wizi wa EPA hawakuwa waajiriwa wa BOT pekee, wengine walikuwa watu wasio waajiriwa wa BOT Mfano Manji