panadol
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 349
- 44
Hivi Mnyika unamjua au unamsikia? Lile ni jembe la kweli huwa anaongea na kusema kwa kufikiri na kila neno analolitoa huwa lina ukamilifu kwa kufanyia nukuu kitaaluma! Alichokitamka ni sahihi na ni ukweli! Kiti kitatumia ubabe lakini ukweli utabakia pale pale! Mch Mtikila alishatamka kuwa mwili wa Baba wa Taifa Mzoga na kuwa serikali imetumia mamilioni ya wavujajasho kuuzika, je alikalia kuti kavu?, Mrema alishasema hadharani kuwa Mkapa ni mwizi na fisadi kwa kushiriki ufisadi wa Bilioni mia tisa je alikalia kuti kavu,
Nyie chadema ndiyo tabia yenu kutete upuuzi,ata madaktari mnawatetea bila kujali afya za watanzania wengi kwa hiyo siwashangahi kumtetea Mnyika wakati mkijua amekosa hiyo ndiyo tabia yenu chadema kumtetea mtu na wakati mkijua amekosa ili kuichafua serikali!