JOHN MNYIKA, you are good young Politician, kasoro yako moja kubwa ni kwamba unapochangia hoja ONDOA MAWAZO KICHWANI KUWA KUNA CAMERA ZINAKUCHUKUA NA WANANCHI WANAKUTAZAMA LIVE! mbaya ni kwamba hakuna ku-edit picha ikichukuliwa maana iko hewani in advance. I was like that before wakati wangu, nilibadilika baada ya kukubali macho ya watu, kwa hilo la NCHEMBA insnt a big deal, lakini ukiendelea hivyo bila kukubali kukosolewa yatakukuta. Nakumbuka Rev. Mtikila alikosa ushahidi mahakamani wa maneno yake kuwa Baba wa Taifa hakuwa Raia, aiseee alipoambiwa utakwenda Jela Mwaka mmoja, Nilimwona mzee wa watu alianza kuvuja jasho na aliomba maji ya kunywa, baada ya kumpatia maji aliomba kwenda haja kubwa, alichombiwa ni kwamba huruhusiwi tena kujisaidia katika choo cha kawaida na badala yake ibane haja yako kwa ajili ya kwenda kujisitiri kwenye ndoo ukonga, maana hii ndo utaratibu wa mfungwa. Watch your tongue dear MP