Hivi kila mtu akiweka hapa masahibu anayopambana nayo mtaani patatosha kweli? Huwezi kuwazuia watu kusema au kuwaza vyovyote wanavyotaka wao!
''Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate'':jf member
Nyani Ngabu babu Asprin anakuita huku
Heheheheeh kishimo kipi hicho jamaa alishindwa kukijaza???Hahahahahaaaa muulize babu Asprin atakwambia, nilikutana na jamaa akawa anajaribu kujaza kishimo cha kati kijae basi kumwaga mara 5 jasholinamtoka, macho pima, anahemea mdomoni kama alikuwa anafukuzwa na simba hahahahahahahaaaa, halafu Kasie yuko gado anasubiria kichupa kijae, nusura jamaa roho imtoke hehehehheheheee
akabakia tuu water... water... water!!!!
Hahahaha.... Utakufa nacho kijiba cha roho. Mimi na Apologise lady hatujafahamiana gulioni Katerero.
Kwa taarifa yako ananilelea kichanga changu ndani ya tumbo lake takatifu. Kazi ilifanyika mchana wakati mvua inanyesha. Lazima tutoe copy ya Cleopatra.
ahhhh.... kile tena? Babu yangu kajaribu kukijaza cha bibi yangu kwa zaidi ya miaka 70 na kachemka.... Nani huyu anayetaka kukijaza kwa raundi tano??Kipochi manyoya looh
Utaniweza bibi wee, ukiamua hutashindwa.Mmh sikuwezi babu wee!
Missing u pumpkin NN, though I thought babu Asprin was calling u
Aliyekwamnia JF ni ndoo ya maji kuwa itajaa nani? we kama unasera mwaga huna wacha Kasie amwage yaliyomjkaa moyoni. Sina shoga wala shosti humu ndo namwaga yote yanayonitokea.