thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Mzee Mwinyi jana kuna sehemu pia alizungumzia Fitna alizopigwa Dr Salim japo hakumtaja Jina
Anasema 1985 wakati wanajadili jina la Mgombea Urais wa Jamhuri kutokea Upande wa Znz kulikuwa na Majina mawili;
1) Jina lake Ally Hasan Mwinyi akiwa Rais wa Znz wakati huo
2) Jina la pili ambalo amestahi kwa kutolitaja alikuwa Dr Salim Ahmed Salim ( wakati huo alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri) ambae anakiri alipigwa Jungu kuwa kila akiongea huwa hatumii ile kauli mbiu ya 'Mapinduziiii Daimaaaa' kwa hiyo ikaonekana alikuwa mpinga Mapinduzi
Fitna zimeanza kitambo
Ni kina Karume wakishirikiana nq mtandao wq kina Kikwete
Jana wakati inasimuliwa historia ya maisha ya Mzee Ali Hassan Mwinyi kwenye maisha yake ya uongozi na Professor Mukandala kipengele hiki alikizungumzia,ni kinani hao tuwafahamu kwa mlio na kumbukumbu mpaka ilipelekea Mzee Mwinyi atengeneze nafasi ya naibu waziri mkuu na nafasi hizo na ile ya wizara ya ulinzi kukabidhiwa Dr Salim?
Kwangu mimi nakumbuka nikiwa na utimamu wa kufuatilia siasa nchini hali hii ilijitokeza pia wakati hayati Mzee Mkapa anamaliza muda wake ,fimbo hii pia ilitumika kumchapiaDr Salim tena kwenye kinyang'anyiro cha awamu ya nne
Cha kustaajabisha Dr Salim sikuwahi kwenye maisha yangu kumskia akilalamika sehemu yoyote ile ,bali alibaki kimya kwenye kigoda cha Mwalimu,bila ya kuwa na nongwa .nionavyo Maisha ya Mzee Mwinyi na Dr Salim ni kama yanashabihiana kwa namna moja ama nyingine
Nakubaliana na hoja ya mama Mongela ila sababu haikuwa dini sababu kubwa ni watu wazima kuona kwanini Salim kijana mdogo anapewa urais nsio wakampenyezea hoja mama Mongella ambaye alimkabili Nyerere na kumwuliza kwanini anamwacha makamu wake wa rais na kuchagua mtu mwingine dunia itamwelewaje au alikuwa amemweka makamu wa Rais kama boya hapa waliungana na wazanzibar wa unguja wasiotaka kutawaliwa na wapemba pamoja na wafidhihina wa baraGenge lilio ongoza kumpiga vita Salim mwaka 1985 liliongozwa na Getrude Mongela..
Mongela alikuwa anafata maagizo ya 'taaasis' Fulani ya kidini
Iliyosema waunguja ndo moderate muslim so bora Mwinyi.. wapemba hawaaminiki ..wengi extremists..
Salim kusoma Misri pia kulimuongezea maadui...kuna mtu mmoja hapa Maarufu sana
Aliwahi kujaribu kum link Salim na Muslim Brotherhood'..
So fitina dhidi ya Salim ziko deep sana
Kila ntu au kitu. Asipofanya vizuri katika ushindani wowote ule kisiasa basi hutafuta sababu.Mzee Mwinyi jana kuna sehemu pia alizungumzia Fitna alizopigwa Dr Salim japo hakumtaja Jina
Anasema 1985 wakati wanajadili jina la Mgombea Urais wa Jamhuri kutokea Upande wa Znz kulikuwa na Majina mawili;
1) Jina lake Ally Hasan Mwinyi akiwa Rais wa Znz wakati huo
2) Jina la pili ambalo amestahi kwa kutolitaja alikuwa Dr Salim Ahmed Salim ( wakati huo alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri) ambae anakiri alipigwa Jungu kuwa kila akiongea huwa hatumii ile kauli mbiu ya 'Mapinduziiii Daimaaaa' kwa hiyo ikaonekana alikuwa mpinga Mapinduzi
Fitna zimeanza kitambo
Wanasema Nyerere aliwahi kuwapenda viongozi 2 tu ,Sokoine na Salim.mliokuwepo kipindi hicho tuambieni ukweli kuhusiana na hili.
Nakubaliana na hoja ya mama Mongela ila aababu haikuwa dini sababu kubwa ni watu wazima kuona kwanini Salim kijana mdogo anapewa urais nsio wakampenyezea hoja mama Mongella ambaye alimkabili Nyerere na kumwuliza kwanini anamwqcha makamu wake wq rais nq kuchagua mtu mwingine dunia itamwelewaje au alikuwa amemweka makamu wa rais kama boya hapa waliungana na wazanzibar wanunguja wasiotaka kutawaliwa na wapembapamoja na wqfidhihina wa bara
kila ntu au kitu. Asipofanya vizuri ktk ushindani wowote ule kisiasa basi hutafuta sababu.
za eti majungu yalipigwa si na wewe upige Majungu hayo? Tena zaidi yao hao wapinzani wako ...
ili ushinde?, km hukuweza tu ku-organise majungu rahisi hayo ndo umeshindwa sasa baba kalime mihogo tu.
Majungu ya kimataifa utayawezaje? Unalialia tuuu!! Km toto yatima
Siasa ni kugangamara!! ikibidi nyonga mtu live ili wengi tubaki salama.km jiwe alivoipata.leo nuru ipo.
Mnalia lia leo ooh! Majungu majungu sasa tumfanyeje??? Lazima alikuwa dhaifu maeneo flani.
Jk nyerere jabali lile kambona alipojipendekeza kumharibia ugsli wake. Heee!!
Mzanaki yule alitumia siraha rahisi kabisa
Mnajua wote kambona alitimka bila kugeuka mwenyewe bila kuguswa hata ukucha. Huyu alivunjwa vunjwa moyo kisiasa ni sawa.
Km alipigwa fitina alishindwa kupangua basi ni za ukweli.
Siasa siyo uji wa kupoozewa na ndugu au rafiki eti unywe.no!!!
Mleta mada japo ni mzee una mawazo finyu mnoo.
Kawawa je?Wanasema Nyerere aliwahi kuwapenda viongozi 2 tu ,Sokoine na Salim.mliokuwepo kipindi hicho tuambieni ukweli kuhusiana na hili.
Wanasema Nyerere aliwahi kuwapenda viongozi 2 tu ,Sokoine na Salim.mliokuwepo kipindi hicho tuambieni ukweli kuhusiana na hili.
Kawawa je?