Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,679
- 19,427
- Thread starter
- #141
🙂🙂🙂nakadekeza nimekazoea mwenyewe
usiombe siku aamue sasa asikii la mnadi swala wala kengele za kanisa,
🙂🙂🙂nakadekeza nimekazoea mwenyewe
usiombe siku aamue sasa asikii la mnadi swala wala kengele za kanisa,
Umempa sifa inayomstahili hasaaa
Duuh! Ahsanteni jamaani lol.@hajar anastahili kwakweli..sio aina ya wanawake wa mipasho.
unajua humu twafahamiana kwa mwandiko
no me nasema ukweli tuHahahahahaha leo unanishtakia s ndio??
Karibu HajarDuuh! Ahsanteni jamaani lol.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Yan umeongea vyema, tanga na pemba karibu sana na mwendo wa unguja to pemba ni sawa utoke tanga kwenda dar hata hizi meli nilipoenda unguja tulipita mkondoni kidogo tu nilijisikia hovyoDah! basi hatari, Tanga to Pemba ni pafupi kuliko Unguja to Pemba lakini bahari yake hapo ni kina kirefu kwa hiyo hakikisha wapanda chombo imara dada
Niseme yako ya zile attitude au nikausheno me nasema ukweli tu
Labda baadae wataleta vyombo vinavyokidhi mahitaji ya safari ya eneo hiloYan umeongea vyema, tanga na pemba karibu sana na mwendo wa unguja to pemba ni sawa utoke tanga kwenda dar hata hizi meli nilipoenda unguja tulipita mkondoni kidogo tu nilijisikia hovyo
Sina hela hun wataka nipauna sh ngapi??
Inawezekana wakaleta sijui lakini wengi wanapambana na majahazi yao huko kipumbwi sa hii ni bandari bubuLabda baadae wataleta vyombo vinavyokidhi mahitaji ya safari ya eneo hilo
We nakwambia unampa sana taf huyo shemejio me sjasema yake hapa
Haa jaman mm huyo eh?? We aya tunakadekeza nimekazoea mwenyewe
usiombe siku aamue sasa asikii la mnadi swala wala kengele za kanisa,
Ile Kipumbwi imekua Bandari bubu kwa zaidi ya nusu karne sasaInawezekana wakaleta sijui lakini wengi wanapambana na majahazi yao huko kipumbwi sa hii ni bandari bubu
Thats my mani do trust you
yamefikaje hapa wakati tunapika stori za majahaziNiseme yako ya zile attitude au nikaushe
Wangejenga huko hiyo bandar wanataka kujenga, hua naona boda boda wakksafirisha sukar za magendo mafuta yakitokea unguja ni hatariIle Kipumbwi imekua Bandari bubu kwa zaidi ya nusu karne sasa
Mstiri kidogo kwanza subiri atoke kazini akirudi umjulie hali halafu umueleze kusudio lako la kuleta kesi huku pengine atataka myamalize yasifike kwanguWe nakwambia unampa sana taf huyo shemejio me sjasema yake hapa
nenda lakin si kwa jahazi ajali haikwepeki usalama kwanza.Yaishe siendi kokote babe
Umenismeea me mjeuri akat me sjakusema chochoteyamefikaje hapa wakati tunapika stori za majahazi