Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Niliwah kufika vianzio vya mlima kilimanajro baba yangu alishapanda sema alinitishiaga sana nikaja kupata mwaliko wa kupanda wakanigomea bwana nilikua nikiamka asubuh nakaa nje nauangalia ule mlima yan siku baba ananipeleka huko marangu tukatembea tu nakurud sidhan kama ntakuja panda tena huo mlima hata lile wazo sina
Mbona Marangu hapatishi Madame? Mazingira yake ya ukijani na miinuko ya eneo lote kuanzia pale unapoanza kupanda kama waenda chuo cha uwalimu hadi unapita makazi ya Augustine Mrema kwenda hadi geti la kuanzia kupanda kwakweli ni breathtaking view, sasa wewe waogopa nini dada?
 
Mara had nikapimwe kifua sjui kuna hali mbaya sitaweza panda ili mradi tafrani, niliwah kupata mwaliko wa kupanda mlima home wakakataa haswa mama yan nikafutaga hilo wazo kwammba ipo siku labda nitapanda sina kabisa
 
Hahahhaa kaka siku yako ikifika imefika tu kama uliandikiwa kufa kwa ndege yaweza kua mara yako ya kwanza na mwisho kupanda ndege ikaanguka ukafa haiepukiki, wapo watu nawajua waliopotea had leo na majahaz unakumbuka ajali ya spice nilipoteza ndugu mle na had leo maiti zao hazijapatikana
Innalillah......lakini kwenye ajali ya Spice ilikua ni yaleyale ya ku risk kupakia chombo kuzidi uwezo wake sasa kwenye majahazi ndio balaa, waiona hatari kabda hata hamjaondoka
 
Innalillah......lakini kwenye ajali ya Spice ilikua ni yaleyale ya ku risk kupakia chombo kuzidi uwezo wake sasa kwenye majahazi ndio balaa, waiona hatari kabda hata hamjaondoka
Umeona eh kaka hiko ndio kilinifanya nisiende pemba mana niliambiwa huko wnaajazana mno tushashukuru Allah maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom