Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Hii ya tanga to pemba ya bakhresa kaka nahisi pia n mbovu sasa hiviSina hakika kama boti za Bahresa zinafika Pemba angalau hizo zinajali usalama
Hii ya tanga to pemba ya bakhresa kaka nahisi pia n mbovu sasa hiviSina hakika kama boti za Bahresa zinafika Pemba angalau hizo zinajali usalama
Kwa ajili ya afya yes, bora u stopMara had nikapimwe kifua sjui kuna hali mbaya sitaweza panda ili mradi tafrani, niliwah kupata mwaliko wa kupanda mlima home wakakataa haswa mama yan nikafutaga hilo wazo kwammba ipo siku labda nitapanda sina kabisa
Always baethat's my woman
ila kajeuri hakaNa tunamjali sana
Kwa usalama wakoMmeniamulia
Hamna chochote woga wao tu mama na baba bwanaKwa ajili ya afya yes, bora u stop
Saweni bwanaKwa usalama wako
Anakudekeaila kajeuri haka
nitamruhusu shemejiKama hapandi jahazi mruhusu tu shemeji
Hahahahahaha leo unanishtakia s ndio??ila kajeuri haka
Nipande jahazi eh babenitamruhusu shemeji
Because they careHamna chochote woga wao tu mama na baba bwana
🙁Nipande jahazi eh babe
Hahahaa na anajua sana tuAnakudekea
Ni kweli lakiniBecause they care
Hahahaha bado sjakupa yake namuona tu ananishtakia me yake menyamaza
Ahsante sana rafiki.mwanamke akipevuka huwa na akili njema kabisa, nawe huwa unajielewa sana rafiki
nakadekeza nimekazoea mwenyeweAnakudekea
Dah! basi hatari, Tanga to Pemba ni pafupi kuliko Unguja to Pemba lakini bahari yake hapo ni kina kirefu kwa hiyo hakikisha wapanda chombo imara dadaHii ya tanga to pemba ya bakhresa kaka nahisi pia n mbovu sasa hivi
una sh ngapi??Nipande jahazi eh babe