Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,666
- 19,394
- Thread starter
- #161
Nakuelewa honey, i love you more babenenda lakin si kwa jahazi ajali haikwepeki usalama kwanza.
i love you
Huyu Archduke huyu huyu??? Me sjawah kukupa kes jana ndo meanza ye anazo kibao had za sms et hua zangu wala zake hazifiki lakini ajabu delivery report inaleta majibu imepokelewa we mtetee tuMstiri kidogo kwanza subiri atoke kazini akirudi umjulie hali halafu umueleze kusudio lako la kuleta kesi huku pengine atataka myamalize yasifike kwangu
Sio kuhonga,kumfungulia mradiMwanamke wa hivyo ni mama yako tu, hao wengine akipigwa hogo vizuri anasahau kila kitu.
😳 😳 😳 i told you baby mitandao hii itatugombanisha unaona sasa eh??Huyu Archduke huyu huyu??? Me sjawah kukupa kes jana ndo meanza ye anazo kibao had za sms et hua zangu wala zake hazifiki lakini ajabu delivery report inaleta majibu imepokelewa we mtetee tu
Hahahaa kaka sina hasira wala yan me hunipi muda wa kunisikiliza baadae nikija kukushtakia utasema shtaka halina maana nakufahamSaivi unahasira subiri ukipoa tunaweza kusikiliza shtaka lako
Wewe na mskudi yako usisingizie mitandao honey😳 😳 😳 i told you baby mitandao hii itatugombanisha unaona sasa eh??
Haswaa, unamfanyia kitu cha maana baadae asipokukumbuka kwa makubwa hata madogohakosi kukusaidia, vinginevyo ukimpa vya kujipodoa basi itaishia hukohukoSio kuhonga,kumfungulia mradi
darling hebu unywe maji kidogo umeongea sana upate breakWewe na mskudi yako usisingizie mitandao honey
Hahahahah baby haya maandishi hamekuja na sauti huko?? Sinywi majidarling hebu unywe maji kidogo umeongea sana upate break
Unajua nataka nimpatie nafasi mwenzio nimpe nasaha za kutosha sasa kabda ya hapo hebu shusha kidogo joto la hasira na wahkaHahahaa kaka sina hasira wala yan me hunipi muda wa kunisikiliza baadae nikija kukushtakia utasema shtaka halina maana nakufaham
utushtak wote au mimi tu??? kama mimi tu njoo ndani tuongee vizuri kama hatutaelewana twende kwa mamaNyie naona mnateteana sababu wanaume ntashtaki kwa maa
Usifanye hivyoNyie naona mnateteana sababu wanaume ntashtaki kwa maa
Unaona sasa? Me sina wahka wala shida yoyote we haya mtafte tu me naona hamtaki kunipatilizaUnajua nataka nimpatie nafasi mwenzio nimpe nasaha za kutosha sasa kabda ya hapo hebu shusha kidogo joto la hasira na wahka
Wewe na shemejio sio we peke yako siji hukoutushtak wote au mimi tu??? kama mimi tu njoo ndani tuongee vizuri kama hatutaelewana twende kwa mama