Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Wala sina pesa sana dada yangu kipenzi ila si unajua tena wanaume tukutanapo tunapeana maneno ya kujaribu mbinu mbalimbali za kujipanga kiume, ni kama nyie wanawake tu mkutanapo na story zenu za kusadikika

Ila nilichomuelewa rafiki yangu yule alisema wasaidie wapenzi wako kwa kujiangalia yeye na wingi wa alokua nao lakini mimi nina maanisha mpenzi, tena aweza kua mke, unajua kwa mazoea ya kiswahili mke tunamtoa kwenye kundi la mpenzi sijui kwanini dada!?
kwani nawe ni MHUJUMU uchumi?
ndg yangu itambue tu kuwa kila mtu ana majaribu yake so kutumia mbinu za mwenzio kujihami kwangu naona ni ujinga
 
hahahaha uko sahihi sana mpenzi naunga mkono 800% je hiyo risk inafaida???
Kwangu me naona whatever the case ni sawa tu sabab ningejuaje umbali? Ningeuonaje mkondo wa nungwi nausikia tu, ningejuaje watu wanaenda unguja kwa jahaz nilienda kuta historia pale beit al ajaib unguja walikua wakisafiri na jahaz huko mashariki ya mbali na watu walikufa kuzikwa kwao wakatupwa kwenye maji ije kua mie hapo tu haha ningekufa ingekua faradhi yangu imefika nsingeepuka
 
ok sasa kwanini hutaki kupanda tena?? while life is about taking risk
 
Mzee baba hizo ni porojo ni wanawake wachache wanaweza kukusaidia maana wao akilini mwao ni kudanga tu aka mapenzi biashara usipokuwa na pesa wewe ni mzigo tiyari
 
Mzee baba hizo ni porojo ni wanawake wachache wanaweza kukusaidia maana wao akilini mwao ni kudanga tu aka mapenzi biashara usipokuwa na pesa wewe ni mzigo tiyari
🙁🙁😱, naendelea kutafiti ili kuthibitisha hilo mkuu
 
Back
Top Bottom