Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Wapenda sana site seeing eeh? Kutembea raha sana
Sana yan napenda mno nilikuwaga natamani kufika amboni caves nikasema safar navunja kila kitu niende kweli meenda ile tunaingia tu mapangon ule ubaridi nilitaman kurud kwetu nikajikaza nikatembea hivohivi napenda sana
 
Ungeenda kupanda mlima Kilimanjaro labda maana nayo ni adventure, au watembelea hata hapo nchi jirani kuona wana nini ingawa Tz kuna mabo kibao ya kuangalia
Niliwah kufika vianzio vya mlima kilimanajro baba yangu alishapanda sema alinitishiaga sana nikaja kupata mwaliko wa kupanda wakanigomea bwana nilikua nikiamka asubuh nakaa nje nauangalia ule mlima yan siku baba ananipeleka huko marangu tukatembea tu nakurud sidhan kama ntakuja panda tena huo mlima hata lile wazo sina
 
nenda lakin si kwa jahazi ajali haikwepeki usalama kwanza.

i love you
Weww huyo umeniruhusu?? Jahaz no babe halaf n mda sana sku hizi kuna meli za dk 45 had lisaa tu na nusu kufika unguja huku kwetu iko moja nauo sidhani kama yafanya kaz inatoka tanga pemba unguja


I love you more babe
 
Watu wengi wanapotea na majahazi sema havitangazwagi tu shemeji
Hahahhaa kaka siku yako ikifika imefika tu kama uliandikiwa kufa kwa ndege yaweza kua mara yako ya kwanza na mwisho kupanda ndege ikaanguka ukafa haiepukiki, wapo watu nawajua waliopotea had leo na majahaz unakumbuka ajali ya spice nilipoteza ndugu mle na had leo maiti zao hazijapatikana
 
Back
Top Bottom