Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Ni kweli mkuu nimetoka ktk hayo matatizo wke mbili zilizopita marafiki wa kiume sio kwa upande wng kuna baadhi walishafanya shereke kwakuwa nimepotea ila nashukuru niko uraiani kwa kupiganiwa na wife
 
Wanawake hawatabiriki mkuu we acha tu hayo mazuri umesikia kwa mmoja hebu uliza na kwa wengine upate experience zaidi
 
J

Aliponichosha ni pale aliponitajia majina ya marafiki zetu kadhaa wanaume wenzetu kauli alizoambiwa kua walikua wanazitoa dhidi yake baada ya yeye kupata matatizo. Wengine walikua wanasema akome sasa anajifanya anazo, wengine walitamani afungwe kabisa eti mademu zao walikuwa wanamshobokea, na wapo waliofurahia tu yeye kupata matatizo. Mimi nathibitisha kuwasikia jamaa tena aliokua nao karibu kwenye kula bata wakimsema kwa ubaya

We ulikua ulikua upande upi?
 
Duuh! Haya kama mnazo pesa Mfanyage tu japokuwa naiona haina tofauti na kutia mkono kizani hiyoo.

Japokuwa kwa mbaali nawaza ni Ke wangapi ambao wana akili za kuomba kufunguliwa biashara au hata kuwa na mawazo hayo hasa wakiwa na Me wenye kuwapa pesa ya maana zaidi ya kufanya mambo ya kujionyesha onyesha ikiwemo kuvaa na vitu vingine visivyo na faida.
Umenena vizuri sana
 
Back
Top Bottom