Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

Mmmhhh!!! Mkuu hii ngumu kumeza sana kwangu hawana maana hawa viumbe, bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi utakuja liwa na Simba...Ukichalala wanakukimbia hao wanaenda kwa bwana mwenye hela
Mkuu mwenyewe si umetoa ushuhuda kule kua rafiki zako mlokua mnakula bata pamoja wamekukimbia na kukucheka baada ya hali kubadilika?
Wanawake wapo tofauti kidogo, kama ulimsaidia hasaa hata kama mtakua hampo pamoja kimapenzi kwa wakati huo anaweza kukukumbuka hata kwa moral support tu kama hawezi kukusaidia materially lakini marafiki zako ambao ni wanaume wenzako wanaweza kabisa kukucheka hata kama uliwahi kuwasaidia......anyways huo ni mtizamo wangu na uzoefu wangu kwa watu wachache waliokutana na changamoto za kupanda na kushuka kimaisha
 
Eee
Duuh! Haya kama mnazo pesa Mfanyage tu japokuwa naiona haina tofauti na kutia mkono kizani hiyoo.

Japokuwa kwa mbaali nawaza ni Ke wangapi ambao wana akili za kuomba kufunguliwa biashara au hata kuwa na mawazo hayo hasa wakiwa na Me wenye kuwapa pesa ya maana zaidi ya kufanya mambo ya kujionyesha onyesha ikiwemo kuvaa na vitu vingine visivyo na faida.
Aiseeeee
 
Mmmhhh!!! Mkuu hii ngumu kumeza sana kwangu hawana maana hawa viumbe, bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi utakuja liwa na Simba...Ukichalala wanakukimbia hao wanaenda kwa bwana mwenye hela
Kumbe umefika huku Nguvu moja.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom