Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
hahahahaahahah dalaliii nijulie khali mieNataka nikutongoze kidogo. Naruhusiwa?
hahahahaahahah dalaliii nijulie khali mieNataka nikutongoze kidogo. Naruhusiwa?
hahahahaahahah dalaliii nijulie khali mie
eeeee mungu swaum yangu
sijui nikimbilie wapi labda kwny matangazo
nikatangaze biashara yangu ya ubuyu huko!!
HAHAHAHAHAH nataka nkutongoze mwaya
Hivi unamjua muuza ubuyu?
pole kwa yaliyokukuta huko arusha Arushaone hahahahahahahHivi unamjua muuza ubuyu?
simjui ila hiyo si unajua
ndio biashara yangu,ubuyu wa pilipili hahahaaa!!!
eti huyo mwanmke aliyetaka kumuua mmewe ili amiliki mali ni mmachame?Aisee kuna baridi sana huku kama ulaya na nakuapia asilimia 36 ya wanawake hapa wanaanza kuota vitambi....nadhani ndio wanaita mimba.
Habari zenu wana Chit Chat...Poleni na Swaum kwa wale ambao mpo kwenye Mwezi huu mtukufu.
Naombeni kuuliza maana nimeona thread moja hivi watu wanalalamika kuwa watu wanatongoza baada ya kukataliwa wanaanza kumchafua mtu baada ya kutoswa.
Swali sasa je hivi mnajuana humu ndani maana napata tabu kidogo kujua au ndo mnatongozana iwe m/Mke au m/Mume ukishaona picha kwenye Avatar.
Nawasilisha: Mstaarabu hujulikana kwa hekima zake na sio Lugha Chafu.
eti huyo mwanmke aliyetaka kumuua mmewe ili amiliki mali ni mmachame?
Nimefurahi kukutana nawe huku wewe mdada. Mzima?
Akuuuu.....sinaga tabia ya kurudia matapishi mie lol
Serious : Nimekumiss afu hata nikikudipu hupigi why jamani? Inamaana mwezi mtukufu utaisha hujaniletea hata ukwaju Filipo?
Mie nilifunga Shaban! Naisubiri tu Shawal mosi tusherehekee!