stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Habari zenu wana Chit Chat...Poleni na Swaum kwa wale ambao mpo kwenye Mwezi huu mtukufu.
Naombeni kuuliza maana nimeona thread moja hivi watu wanalalamika kuwa watu wanatongoza baada ya kukataliwa wanaanza kumchafua mtu baada ya kutoswa.
Swali sasa je hivi mnajuana humu ndani maana napata tabu kidogo kujua au ndo mnatongozana iwe m/Mke au m/Mume ukishaona picha kwenye Avatar.
Nawasilisha: Mstaarabu hujulikana kwa hekima zake na sio Lugha Chafu.