Mnaotongozana..

Mnaotongozana..

Aisee kuna baridi sana huku kama ulaya na nakuapia asilimia 36 ya wanawake hapa wanaanza kuota vitambi....nadhani ndio wanaita mimba.
eti huyo mwanmke aliyetaka kumuua mmewe ili amiliki mali ni mmachame?
 
Habari zenu wana Chit Chat...Poleni na Swaum kwa wale ambao mpo kwenye Mwezi huu mtukufu.

Naombeni kuuliza maana nimeona thread moja hivi watu wanalalamika kuwa watu wanatongoza baada ya kukataliwa wanaanza kumchafua mtu baada ya kutoswa.

Swali sasa je hivi mnajuana humu ndani maana napata tabu kidogo kujua au ndo mnatongozana iwe m/Mke au m/Mume ukishaona picha kwenye Avatar.



Nawasilisha: Mstaarabu hujulikana kwa hekima zake na sio Lugha Chafu.



Kwanza kabisa ni uswahili mtu ukimtongoza halafu kakukataa ujue hujaendana nae na huna vigezo sasa hapo unatoa lugha chafu ili iweje. Jifunze kukubali matokeo.
 
Mama watoto wangu ninaye nyumbani. Nataka nione kama bado mistari yangu ina ushawishi ndo maana nataka nimtongoze Nivea a.k.a Dalaliiiiiiiii

Enhee endelea halafu ukishajua ndio nini sasa? Weweeeeeeee.... Endelea
 
Last edited by a moderator:
eti huyo mwanmke aliyetaka kumuua mmewe ili amiliki mali ni mmachame?

...Huyo Janet Jackson hata sijui ni kabila gani hata! I N A W E Z E K A N A N I M M A C H A M E ila kweli sina uhakika.
 
Nakupendaga manake wakati mwingine una masuali ya msingi sana Mr Rocky .... Mie namchungulia tu yeye wala hajui, mwambie aendelee na tongozo

Nimefurahi kukutana nawe huku wewe mdada. Mzima?
 
Last edited by a moderator:
Si huwa wanasema maji hayasahau baridi!? Mbona umemsahau nitonye haraka hivyo? Nauliza tu.

Akuuuu.....sinaga tabia ya kurudia matapishi mie lol

Serious : Nimekumiss afu hata nikikudipu hupigi why jamani? Inamaana mwezi mtukufu utaisha hujaniletea hata ukwaju Filipo?
 
Last edited by a moderator:
Akuuuu.....sinaga tabia ya kurudia matapishi mie lol

Serious : Nimekumiss afu hata nikikudipu hupigi why jamani? Inamaana mwezi mtukufu utaisha hujaniletea hata ukwaju Filipo?

Mie nilifunga Shaban! Naisubiri tu Shawal mosi tusherehekee!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom