Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,200
- 20,946
Hiyo demokrasia kwa sasa ipo? Tunaishia kuona mashauzi ya watoto wa vigogo wakitanua kodi zetu!!
Watu wapo juu ya sheria,watu wanauawa kama ndege tu,mahakama inapokea vimemo toka nje,mshindi anafahamika kabla hata ya uchaguzi.
Bora kukosa wote tukaanza upya!
Watu wapo juu ya sheria,watu wanauawa kama ndege tu,mahakama inapokea vimemo toka nje,mshindi anafahamika kabla hata ya uchaguzi.
Bora kukosa wote tukaanza upya!