Kwani mbona mpaka Sasahivi kama tunaongozwa na jeshi?hakuna jipya hapa,hakuna uhuru wa tarifa wapinzani wanaishi Kama digidigi ktk nchi yao,ukitoa maoni kidogo kukosoa Serikali jianda kufikiwa na wasiojulikana,hakina unanijua mie ninani ndio wenye amri kuliko hata viongozi,vyombo vyote vya habari vinavyokosoa CCM vinafungiwa.Hapa bila VPN hautoboi.Ni heri jeshi mara mia kuliko kudanganywa na democrasia huko tunaibiwa na kuhuwawa.Hujitambui wewe
Watanzania tuko tayari na tunataka sana Jeshi lichukue nchi na tuanze upya.
CCM mmeharibu kila kitu sasahivi nchini.
Mmeua mifumo yote Si Bunge, Si Mahakama, Si Polisi si Usalama si TAKUKURU
Wanasiasa ndo wamekuwa miungu watu na Ufisadi ndo umetamalaki.
Wananchi wanauliwa na kutekwa wengine kuwekwa Magerezani na kufungwa bila hatia kwa sababu ya kusimamia ukweli.
Wananchi kwa sauti moja tunataka Jeshi lichukue nchi na tuanze upya.
Lisimamie mchakato wa Katiba Mpya ili Wananchi ndo tuwe na sauti ya mwisho juu ya nchi yetu.
DHULMA, MAUAJI, UTEKAJI, IMPUNITY, WIZI, UFISADI siyo SIASA.Nilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.
Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.
Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.
Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.
Mtu kama wewe ni wa kupuuzwa!
Hovyo kabisa wewe!
Nini kitazika demokrasia endapo jeshi litachukua nchi?
Kwa taarifa yako jeshi litachukua nchi kwa kipindi cha mpito tu, na katika kipindi hicho wataruhusu marekebisho ya katiba na kisha uchaguzi utaitishwa.
Sisi au wanaotaka Samia aendelee nani hana akili
Mfano Bora tumeuona Rwanda ya General Kagame.
Hata kama wanatishia tu ni hivi msg sent delivered in full package. Watawala wajue chochote kinawezekana.
New Tanganyika ipo karibu kuzaliwa.
Ukiona mpaka ayo kapost kuna watu watalala na viatu,
Tuheshimiane nchi siyo ya familia fulani kila mtu arudi kwao.
Kamanda Traore
..Kwanini jeshi liingilie kati?
..Kwasababu Ccm nao wanatumia majeshi mengine kudhulumu wapinzani.
..kwa hiyo ili Ccm iache dharau na dhuluma inabidi waje watu wenye nguvu inayolingana na majeshi yanayoitumikia Ccm badala ya nchi.
Wanaotoa mashinkizo wanauwa na kufungwa jeshi ni sawa tu kwani nini shida cha muhimu ccm itoke
..Jwtz ndio wataoiweza Ccm iliyoungana na Polisi na Tiss.
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka na maslahi ya Taifa. Nchi ikiwa na viongozi mafisadi, wauaji, watekaji, wanaouza rasilimali za nchi hovyo hao wanageuka kuwa maadui wakubwa wa Taifa kama adui yoyote kutoka nje.
Zingatia pia vyombo vingine vyote vya kuwawajibisha wameviiweka mikononi mwao kama chaguzi huru, mahakama, bunge, usalama.
Kinachobaki ni wanajeshi wazalendo kuchukua nchi na kuirudisha kwenye mstari baadaye kurudisha demokrasia.
Wanaopaswa kuwaongoza Wananchi pindi wanapochukua hatua ni Wanajeshi maana duniani kote Jeshi ndo Taasisi ya mwisho kusimama na Wananchi.
Wananchi tuko sahihi sana kuliunga mkono Jeshi kuchukua nchi.
Acha Jeshi lichukue Nchi tu mbona ninyi hamkushauri Chadema ilipozuiliwa kushiriki uchaguzi? mbona mlikaa kimya Tundu Lissu alipo onewa na Mahakama ya CCM ?
Acha Jeshi lichukue Nchi tu mbona ninyi hamkushauri Chadema ilipozuiliwa kushiriki uchaguzi? mbona mlikaa kimya Tundu Lissu alipo onewa na Mahakama ya CCM ?
Naona leo mafisadi , majizi,chawa na kunguni hamna amani kulikoni ?
Mmesema sio mwanajeshi ni video ya AI mara aliyoongea ni uongo sasa wasiwasi wa nini?
na burkina faso je
When a gunbarrel takes over, it does not have affinity to anyone. Just orders. Now that's very perplexing to Veggies 😆
Things are boiling nicely it is no longer a walk in the park.
Good thing about TZ, barracks and troops are not directly under Generals, but Brigadier Generals, Colonels and Lieutenant-Colonels.
The Boss Lady made a miscalculation and doesn't learn from history, that all coup attempts in TZ were launched by Colonels, Captains and other mid-ranking officers, not Bloated Generals.
What a time to be alive...😎
Sasa kama CCM haitaki kuheshimu demokrasia ya vyama vingi na kuleta mabadiliko kwa njia ya kistaarabu yaani uchaguzi huru na wa haki maana yake wanataka shari na shari wataipata .
Haijalishi. Hii nchi ilipofika sasaivi ni lazima tuanze upya.
CCM wame collapse kila kitu. Tunaunga mkono Jeshi kuchukua nchi
Ajitambui mama yako
What if all civilian political tools and apparatus have been hijacked by the cabal (deep state). What else should civilians hope except military .....?
Lijinga hilo mkuu
Demokrasia ndo nini bhana wewe tunataka kiongozi mzalendo.
We tuondolee ujinga
Unaona nchi iko paxuri au sbb we unakula na familiar yako vzr basi
Maumivu na matamanio yenu nayajua vizuri tu. Ninachofanya ni kuwaonyesha njia mnayoitamani siyo sahihi.Kuliko CCM ..
Afadhali ya jeshi aisee
So long as hampati ujasiri wa kufanya kile ambacho mnajua wazi mnatakiwa kufanya kwa umoja wenu, mtaendelea kupata shida sana kuikabili CCM. Nasikitika sana kusema haya maana natamani sana Tanzania ipate mabadiliko hayo ya kisiasa, kisheria, kijamii na kiuchumi ila kwa njia sahihi siyo hizo njia ambazo zitaturudisha nyuma miaka 30 na kuwalinda wale walioiharibu nchi.
😂😂Kumechangamka balaaMatraco yako
Una uhakika unaelewa maana ya Junta?Soldiers took over USA in 1776, and China in 1949, and today both states are economic power houses, and both states are superpowers.
Colonel Gaddafi, Jerry Rawlings, Al-Sisi, Paul Kagame, General Museveni all led successful Juntas.
Truth is, even without a Junta, innocent blood will be spilled, as it now.
A demoNilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.
Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.
Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.
Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.
Mimi ni mtu ninayependa kuangalia mambo kwa umakini sana kabla ya kuongea lolote...Kwanini jeshi liingilie kati?
..Kwasababu Ccm nao wanatumia majeshi mengine kudhulumu wapinzani.
..kwa hiyo ili Ccm iache dharau na dhuluma inabidi waje watu wenye nguvu inayolingana na majeshi yanayoitumikia Ccm badala ya nchi.
We una uhakika gani kama hauko hiyo miaka 30?kama mpk sas hiv tunachimbiwa choo na kina sijui marie stoppe tuna utofaut gan wa kuishi miaka hyo unayosema na sasa hivi?Maumivu na matamanio yenu nayajua vizuri tu. Ninachofanya ni kuwaonyesha njia mnayoitamani siyo sahihi.
Kabla hamjaenda mbali, jiulizeni wapi mliona kapteni wa jeshi katoka kama hivi, hajatangaza mapinduzi bali kaja tu na hoja za kisiasa ambazo ni copy and paste zinazozungumzwa kila siku mitandaoni. Nia hasa ni nini? Eti yuko tayari kwa lolote. Come on now! Naamini mna ufahamu na akili kuliko mnazoonyesha sasa hivi.
Hawa wote kina Mpina, Polepole, huyo kapteni wenu na nadhani hata Mange ni watu waliotumwa kuwavuruga na mnavurugika kweli kweli. Someni "between the lines" muweze kuwatambua yupi ni yupi.
So long as hampati ujasiri wa kufanya kile ambacho mnajua wazi mnatakiwa kufanya kwa umoja wenu, mtaendelea kupata shida sana kuikabili CCM. Nasikitika sana kusema haya maana natamani sana Tanzania ipate mabadiliko hayo ya kisiasa, kisheria, kijamii na kiuchumi ila kwa njia sahihi siyo hizo njia ambazo zitaturudisha nyuma miaka 30 na kuwalinda wale walioiharibu nchi.
Wanajeshi ni watanzania acha chuki wewe . George Washington alikuwa wanajeshi. Traore ni mwanajeshiHiyo ni wishful thinking mkuu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu.
Kamwe hatashangilia utawala wa kijeshi.
Nchi zote zenye maendeleo ya kweli demokrasia ndio njia sahihi ya kubadili utawala , sio jeshi.
Una uhakika unaelewa maana ya Junta?
Unafananisha kilichotokea Marekani 1776 na kilichotokea Rwanda? Au Misri baada ya Muslim Brotherhood?
Umenifurahisha sana mkuu. Wajeda wachukue kwa mwaka mmoja au miezi 6. Tundu Lissu apewe jukumu la kuiboresha rasimu ya katiba ya Warioba. Halafu wanarudisha madaraka kwa raia na uchaguzi mpya unafanyika chini ya katiba na tume huru mpya huku Lissu akiwa mgombea. Dah!We tuondolee ujinga
Unaona nchi iko paxuri au sbb we unakula na familiar yako vzr basi
Weka picha nzima!Huko nyuma utakuta ameficha na pazia kuna ndoo ya plastiki, mtungi wa gesi na visufuria....
Kapteni manyota tu,
View attachment 3483506
Maumivu na matamanio yenu nayajua vizuri tu. Ninachofanya ni kuwaonyesha njia mnayoitamani siyo sahihi.
Kabla hamjaenda mbali, jiulizeni wapi mliona kapteni wa jeshi katoka kama hivi, hajatangaza mapinduzi bali kaja tu na hoja za kisiasa ambazo ni copy and paste zinazozungumzwa kila siku mitandaoni. Nia hasa ni nini? Eti yuko tayari kwa lolote. Come on now! Naamini mna ufahamu na akili kuliko mnazoonyesha sasa hivi.
Hawa wote kina Mpina, Polepole, huyo kapteni wenu na nadhani hata Mange ni watu waliotumwa kuwavuruga na mnavurugika kweli kweli. Someni "between the lines" muweze kuwatambua yupi ni yupi.
So long as hampati ujasiri wa kufanya kile ambacho mnajua wazi mnatakiwa kufanya kwa umoja wenu, mtaendelea kupata shida sana kuikabili CCM. Nasikitika sana kusema haya maana natamani sana Tanzania ipate mabadiliko hayo ya kisiasa, kisheria, kijamii na kiuchumi ila kwa njia sahihi siyo hizo njia ambazo zitaturudisha nyuma miaka 30 na kuwalinda wale walioiharibu nchi.
Mimi ni mtu ninayependa kuangalia mambo kwa umakini sana kabla ya kuongea lolote.
Kuna viashiri nilianza kuviona wiki mbili tatu zilizopita vinavyoniambia kuna uwezekano wa uchaguzi mkuu kuahirishwa.
Wewe kwa picha yako hiyo inadhihirisha ninachosema kuwa CCM ndiyo wanaweza kuwa wanapush wazo la jeshi kuingilia kati kama wanaona raia hawaeleweki.Kwa nini sasa hivi kuna democrasia au kuna maigizo haiwezi watu watumie rasilimali za nchi kwa uchaguzi wa maigizo bora moja jeshi
A demo
Ni kweli maendeleo hayaridhishi na changamoto ni nyingi ila mimi specifically nilikuwa naongelea kurudi nyuma kisiasa. Ndiyo kuna dhulma na mambo mengi ya hovyo yanayoendelea katika nyanja ya kisiasa ila ukitaka kurudi miaka 30 nyuma it's just that, umerudi nyuma!We una uhakika gani kama hauko hiyo miaka 30?kama mpk sas hiv tunachimbiwa choo na kina sijui marie stoppe tuna utofaut gan wa kuishi miaka hyo unayosema na sasa hivi?