future tech
JF-Expert Member
- Aug 26, 2023
- 305
- 455
WoteSisi au wanaotaka Samia aendelee nani hana akili
WoteSisi au wanaotaka Samia aendelee nani hana akili
Nilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.
Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.
Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.
Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.
Wanajeshi wakishika nchi kuondoka mtasubiri sana.
..lakini Ccm watakuwa wameondoka.
..au Ccm na Cdm wataungana kupigania demokrasia.
..maandamano yataongozwa na Samia na Tundu Lissu.🤣
Yakifanya ufisadi hutoweza kuzungumza kama unavyoisema hivi CCM...lakini Ccm watakuwa wameondoka.
..au Ccm na Cdm wataungana kupigania demokrasia.
..maandamano yataongozwa na Samia na Tundu Lissu.🤣
But atleast CCM, TISS, PT will be gone.Wanajeshi wakishika nchi kuondoka mtasubiri sana.
Wanaotoa mashinkizo wanauwa na kufungwa jeshi ni sawa tu kwani nini shida cha muhimu ccm itokeCCM inaweza kuondoka vizuri tu kwa mashinikizo ya kisiasa. Hao wanajeshi wangesisitizwa wabaki makambini watimize viapo vyao kwa ukamilifu, siasa wawaachie wananchi, wanasiasa na vyombo vya kisiasa.
Yakifanya ufisadi hutoweza kuzungumza kama unavyoisema hivi CCM.
Hiyo ni wishful thinking mkuu.But atleast CCM, TISS, PT will be gone.
Yakifanya ufisadi hutoweza kuzungumza kama unavyoisema hivi CCM.
Ila wewe raia hutokuwa na haki yeyote ya kuuliza chochote popote...Jwtz ndio wataoiweza Ccm iliyoungana na Polisi na Tiss.
Hiyo ni wishful thinking mkuu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu.
Kamwe hatashangilia utawala wa kijeshi.
Nchi zote zenye maendeleo ya kweli demokrasia ndio njia sahihi ya kubadili utawala , sio jeshi.
..Jwtz ndio wataoiweza Ccm iliyoungana na Polisi na Tiss.
We don't expect much to change. What we want if for CCM to feel our pain. That feeling of powerlessness under a boot-heel and gunbarrel.
After 5-10 years of Junta, then we'll speak the same language. 😁😁