Mnaotaka na kulilia jeshi lichukue nchi hamjitambui

Mnaotaka na kulilia jeshi lichukue nchi hamjitambui

In American colonies power was taken by force. In Rwanda power was also taken by force. Whether the political outcomes were dissimilar, that I don't care, all I care about are economic outcomes, the common goods.

And, I can affirm here that, A violent Revolution in America Colonies created a Republic, a political tool which met financial ends of all Americans.

And, I can also affirm here that, A a a Brutal and Violent Civil War in Rwanda, created a Military Dictatorship, a political tool which meets financial ends of all Rwandans.

Regardless, the process that will happen in Tanzania, all coups are violent and pervasive. CCM will surely collapse, whether through a a Junta (Which I really prefer for now), or a Democracy, or Dictatorship of any kind.

I can condone any form of Government that will deliver economic goods to Tanzanians even at gun point.

Ninyi mlijisahau mno, mkadhani mnaishi paradiso. Nchi haiendeshwi kimazoea hata siku moja. Mpate mtu katili kuliko JPM awaburute kwanza ndiyo mtakuwa na adabu.

Ninyi watu hamna hata chembe ya adabu.​
Nyerere aliongoza kwa miaka mingapi katika mfumo unaofanana na huo wa amri ya mtu mmoja na matatizo yetu ya msingi ambayo yanatusumbua mpaka leo yalizalishwa na kuota mizizi katika mfumo huo. Unataka tena kurudi huko. Acheni kuwa wavivu wa kufikiri.

Matatizo ya Rwanda yaliyomleta Kagame hayafanani na yetu. Matatizo ya Marekani waliokuwa kama koloni la Uingereza hadi wakapigania na kupata uhuru wao hiyo 1776 hayafanani na yetu na hata huo uhuru haukuondoa utumwa wala ubaguzi wa rangi.

Embu nisome historia yangu. Sijawahi kuisapoti CCM.
 
Nani amekufanya wewe kuwa mwamuzi wetu hata utake kutuamlia cha kuwaza ?

Hata bila Mange, Polepole, Kapteni, Tanzania lazima iingie korongoni, hakuna linaloweza kuzuia hilo kutokea. Huwezi kuongoza nchi kihuni-huni kama wanavyofanya CCM halafu ukategemea taifa lisipatwe na tashwishwi.

CCM's Magic Wand is broken. They'll enlist help from Armenia, Israel, China, Russia and South Africa, paying foreign spies billions of money for consultancy, spywares and clout, but nothing will salvage their sinking ship or spare them from crucifixion.

MTI MBICHI, Mwalimu Nyerere was forced to resign in 1985 after five tumultuous years marred by coups and assassination plots in 1982, 1983 and 1983. MITI MIKAVU, JK, Samia, Rostam, and Asian Elites wanaovuruga hii nchi unadhani ndiyo watapona ?

Haiwezekani hata kidogo. Wewe subiri utaona tu.​
Sijasema mimi ni mwamuzi wenu wala sijawaamuru lolote. Ni maoni yangu tu.
 
CCM watahairisha uchaguzi kwa hadaa, hila na hofu, lakini wakifanya hivyo ndiyo utakuwa mwisho wao. UJUMBE, ambao utatufikia sisi wananchi ni kwamba kumbe CCM inaogopa na tutaendelea kukaza zaidi mpaka kieleweke.

Wale wahafidhina ndani ya CCM wanaoongozwa na genge la maafisa usalama na makada wakongwe kama kina Mkuchika, Wasirra, Bulembo, Luhavi, Othman aliyerudishwa Ikulu hata baada ya kustaafu TISS na wanamtandao wengine wakijifanya kukaza na kuanza kuua watanzania kama ilivyo kawaida yao, ili kulazimisha uchaguzi mkuu nakwambia kipindi hiki wao ndiyo watakuwa wa kwanza kugeuzwa mfano.

Uzuri Tanzania tunafahamiana vizuri, kiasi cha kwamba maamuzi yakifanyika Ikulu huwa tunajua nani aliyeratibu. Sasa watanzania wale wa 70's hawapo tena, watanzania wengi siku hizi ni wale vijana waliozaliwa 1990-2005, ambao hawamjui hata Nyerere na wala hawajali hata kidogo, unadhani, these old dinosaurs from previous century like Mkuchika, Wasirra, Bulembo, Luhavi, Othman and Kikwete can just decide their fates at whim ?

You've lost touch with reality, and have an elitist mindset. We could have seen you more prudent If at all you made stern rebuke when CCM+TISS+Police were busy murdering innocent Tanzanians.

CCM tumewaacha wametuibia na kutudhulumu, lakini sasa wanakuja kuanza kutuaa tu kama wanavyojitakia kana kwamba sisi ni nguruwe pori kwenye shamba. Hilo halitawezekana hata mpige ramli zote.​
Nadhani umenisoma vibaya kudhani nasapoti hali ya nchi inavyoendelea.

Ninachoona mimi ni kwamba kina Gwajima, Polepole na Mpina ni "distractors" waliotengenezwa ili kuwatoa kwenye real issues na real voices na watatumika hapo mbele kuwagawa. Speaking of Gwajima, mbona kama sijamsikia kwa muda?
 
Mimi ni mtu ninayependa kuangalia mambo kwa umakini sana kabla ya kuongea lolote.

Kuna viashiri nilianza kuviona wiki mbili tatu zilizopita vinavyoniambia kuna uwezekano wa uchaguzi mkuu kuahirishwa.

..viashiria gani uliviona vikakuelekeza kwenye mtizamo huo?

..mimi kilichoniudhi ni Mama Samia kuachana na 4R alizoahidi, na kuendeleza dhuluma za awamu iliyopita.

..uwezo wa kushinda uchaguzi wa HAKI kabisa, na huku akiwa amefanya mabadiliko, alikuwa anao.

..chama kilichoko madarakani, kinachoweza kuchangisha BILLION 100 ndani ya masaa machache, kinaogopaje uchaguzi ulio huru?

..Na zaidi wanadhulumu watu wanyonge kisiasa ukilinganisha na wao, kwa mfano Soka, Kipanya, na wengine.

..Jeshi la Polisi limeharibika na kuwa chombo cha kidhalimu na kikatili. Mahakama nayo imekuwa uozo kabisa.

..Hayo ndio mambo yaliyonifanya nipoteze hata ile heshima ndogo niliyokuwa nayo kwa viongozi wa Ccm. Kama kimejaa watu wapenda dhuluma, wanaoweza kudhuluma mtu kwasababu tu wanajisikia.
 
Mtazamo wangu ni kuwa hana huo uwezo wa kufanya hayo mabadiliko maana yanatishia ulaji na future ya chama chake. Kwa bahati mbaya huo ndiyo mtazamo wa elites waliopo CCM na yoyote atakayekuja atafanya hivyo hivyo.

Ahadi zozote za reform zitakuwa danganya toto na kubuy time tu. Mtu anayeweza kufanya hayo mabadiliko ni yule aliye na mizizi ya kutosha ndani ya chama.

Siasa za TZ zimeharibika kitambo. Kuna uzi wangu wa kitambo nimetoka kuusoma leo, niliwahi kusema kosa moja ambalo linachelewesha mageuzi Tanzania ni kushindwa kutambua kuwa upinzani upo katika vita ya kuangamizwa. Tumefika hapa kwa sababu hatukutaka kukubaliana na ukweli huu mapema.
 
Mtazamo wangu ni kuwa hana huo uwezo wa kufanya hayo mabadiliko maana yanatishia ulaji na future ya chama chake. Kwa bahati mbaya huo ndiyo mtazamo wa elites waliopo CCM na yoyote atakayekuja atafanya hivyo hivyo.

Ahadi zozote za reform zitakuwa danganya toto tu. Mtu anayeweza kufanya hayo ni yule aliye na mizizi ya kutosha ndani ya chama.

..tangazo la huyu mwanajeshi ni matokeo ya Ccm kuvinyonga vyama vya upinzani.

..ukiviua vyama vya upinzani unakaribisha watu wasiofaa kuziba pengo hilo.
 
..tangazo la huyu mwanajeshi ni matokeo ya Ccm kuvinyonga vyama vya upinzani.

..ukiviua vyama vya upinzani unakaribisha watu wasiofaa kuziba pengo hilo.
Mpaka sasa siamini na sijajiridhisha kuwa tukio hilo ni "genuine". Inawezekana kabisa ni njia ya kuchuja watu ndani kwa ndani kujua "nani yupo na sisi na nani anaweza kutusaliti". Ni njia inayoweza kutumika kuimarisha mshikamano ndani ya taasisi. Kaa chini utafakari.
 
Hakuna kitakachotokea. Mfumo ni mkubwa na kila kitengo kinajitegemea. If anything, hii inaweza kuwa plan ya Usalama kuwapa the majority wanachotaka ili watulie. Mtoto akilia sana, anapewa uji analala akiwa ameridhika. Honestly, it's a good plan.
 
In American colonies power was taken by force. In Rwanda power was also taken by force. Whether the political outcomes were dissimilar, that I don't care, all I care about are economic outcomes, the common goods.

And, I can affirm here that, A violent Revolution in America Colonies created a Republic, a political tool which met financial ends of all Americans.

And, I can also affirm here that, A a a Brutal and Violent Civil War in Rwanda, created a Military Dictatorship, a political tool which meets financial ends of all Rwandans.

Regardless, the process that will happen in Tanzania, all coups are violent and pervasive. CCM will surely collapse, whether through a a Junta (Which I really prefer for now), or a Democracy, or Dictatorship of any kind.

I can condone any form of Government that will deliver economic goods to Tanzanians even at gun point.

Ninyi mlijisahau mno, mkadhani mnaishi paradiso. Nchi haiendeshwi kimazoea hata siku moja. Mpate mtu katili kuliko JPM awaburute kwanza ndiyo mtakuwa na adabu.

Ninyi watu hamna hata chembe ya adabu.​
Mmoja wa waanzilishi wa Marekani na mapambano yao ya uhuru unayoyatamka mara kwa mara, Benjamin Franklin aliwahi kusema: "Those who would give up essential Liberty, to purchase a little temporary Safety, deserve neither Liberty nor Safety." Tafakari!
 
Majeshi yote yatimize majukumu yao ya kulinda raia na mali zao pamoja na mipaka ya nchi bila kuingilia mivutano ya kisiasa.

Kuingilia mivutano ya kisiasa ni pamoja na hayo baadhi ya watu msiojitambua mnaotaka jeshi lichukue nchi.

Yule anayekiuka katiba na sheria za nchi ashughulikiwe na majeshi hayo kulingana na sheria zinavyosema bila kujalisha cheo wala chama chake.
Wewe MWENYEWE unatakiwa kupinduliwa kifikira maana umejaa mawazo MGANDO au una hofu ya kupoteza ulichokipata kwa njia haramu.
 
Bora jeshi la wananchi wenzetu waliotoka kwenye familia zetu kina baba, kaka, mama na dada zetu kuliko deep state ya rostam
 
Mkiambiwa kuanzia sasa kulala ni saa 12 jioni ndio mtatia akili....
Walikuwepo makaptaeIn wakutosha miaka ile na tuliwashangilia kimya kimya sebuleni huku tukisikiliza RTD. sababu hakuna aliejua kilichopangwa sio huyu kiazi kapteni manyota anakuja kumuomba CDF....

TAFUTENI MUDA KUWAJUA HAWA.....
Walidhani kwa kuwa kila mmoja ana wadhifa wa kuongoza kikosi, basi wataitisha makuruta na makoplo watakaofata amri zao.....
Walibugi stepu sana.....
  • Lieutenant Eugene Maganga
  • Captain Suleiman Metusela Kamando,
  • Captain Zakaria Hans Pope ,
  • Captain Vitalis Gabriel Mapunda,
  • Captain Dietrich Oswald Mbogolo,
  • Lieutenant Kajaja Badru Rwechungura,
  • Captain Hatty McGhee
  • Capteni Mohammed Tamim
  • Lieutenant-Colonel M a r t i n P e t e r Msami.
    Lieutenant - Colonel Martin Ngalomba,
  • Lieutenant-Colonel Protas Bachibila Muchwampika.
    Captain Harry Hanspoppe,
  • Captain Manyama Athumani oazukainwe,
  • Lieutenant John Mhelwa Mzimba
  • Sergeant Michael Mwigulu
 
Nilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.

Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.

Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.

Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.

Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.
Mimi najibu kichwa cha mada bila kusoma takataka chini yake.
Wasiojitambua ni wanaotaka Samia na Genge lake liendelee kufanya uovu wake ndani ya nchi hii.
Ni bora mara mia jeshi kusafisha uchafu huo kama italazimu kwa haraka; kabla halijaendelea na uharibifu mkubwa ndani ya nchi hii.
 
Imenilazimu nisome kilichomo ndani ya mada.
Hata kama sitakiita t"akataka" kama nilivyo andika hapo juu; lakini bado sioni la maana zaidi kwa sababu tu ya kuhimiza "demokrasi".

CCM hawataki demokrasi, na wanajipambanua kuwa ni wao milele. Kukudhihirishia hilo ni matendo yaliyo wazi ya kuwabakisha madarakani kwa gharama yoyote.
Halafu anatokea mtu anakuwa na matumaini ya uwepo wa demokrasi chini ya CCM? Itatoka wapi?

Kama unaliogopa sana Jeshi juu ya ukosefu wa demokrasi, unapata wapi matumaini ya demokrasi chini ya CCM?

Unaweka mifano ya Sudan na Misri; bila ya ufafanuzi wowote ili kuwatisha watu juu ya jeshi kuiondoa CCM madarakani?

Hata sielewi maana ya hiyo demokrasi tunayo imbiwa kila mara itakuwa na maana gani endapo kama itabaki kuwa ni kuachiana tu nafasi za viongozi kwa kubadili vyama, huku tofauti kati ya wanayofanya hayaonekani.
Haya mambo ya kulilia demokrasi kila mara bila ya kuainisha ni mambo yapi yatalifaa taifa kwa maendeleo yake nalo limekuwa tatizo kubwa miongoni mwetu. Hii tabia imekuwa ni kama yumekaririshwa tu bila ya kujuwa nini hasa kinatufaa kwa maslahi ya nchi yetu
 
kuanzia sasa kulala ni saa 12 jioni ndio mtatia akili....
Ni bora kabisa kuliko kubaki na Samia na Genge lake wakinyanyasa na kutenda maovu ndani ya nchi hii.

Usitishe wengine kwa vile wewe ni mnufaika wa utawala huu.
 
Hiko unachotaka jeshi ikifanye, raia na taasisi za kiraia wanaweza kukifanya kwa ufanisi zaidi. Ukiruhusu jeshi liingie leo, nini kitalizuia kesho kuingia tena?

Mashinikizo ya kisiasa ndiyo njia pekee sahihi ya kuiondoa CCM. Ilibidi kuishinikiza hadi kuipeleka katika meza ya mazungumzo. Njia za mashinikizo zipo na mnazijua ila hamtaki kuzitumia kwa sababu ya woga, uvivu na kutegeana.
Wewe ni mnufaika wa CCM; akili zenu zimelala sana, kwa sababu tu ya hivyo vipesa mnavyo gawiwa.

Ni njia zipi unazozijuwa wewe za kuishinikiza CCM. Wewe unaishi nchi gani usijue kinacho endelea hapa? Hata kujuwa tu kwamba uchafuzi huu uahirishwe kwa muda mfupi ili pawepo marekebisho madogo ya sheria za uchaguzi nako huna taarifa zake kabisa?

Mashinikizo yapi unayazungumzia wewe, iwapo hata kufanya tu maadamnao jeshi la polisi linatangaza vita?

Halafu mtu na akili zako unakuja hapa na kujivimbisha vimbisha kichwa na kudhani wewe unajuwa zaidi kuliko wengine!
Huyo Tundu Lissu yupo kifungoni kwa raha zake mwenyewe? Kwa nini mtu usitumie akili kufikiri undani wa maswala kabla hujaleta uchafu humu kupotezea watu muda wao.

Hovyo kabisa.

Hii mada yako leo Rostam zitamtoka ngapi?
Inafaa uendelee kukaa huko mbali kuliko kuja na mada mbovu kama hii uliyoleta hapa. Halafu unajigamba umekaa nayo kitambo!
 
Ni bora kabisa kuliko kubaki na Samia na Genge lake wakinyanyasa na kutenda maovu ndani ya nchi hii.

Usitishe wengine kwa vile wewe ni mnufaika wa utawala huu.
Wewe jibu swali utafanya nini kujitoa mhanga wakati unaishi huko maporini?....
 
Jeshi aliwezi chukua nchi ikitokea ni transition period na wakirudisha madaraka kwa raia, hapo kutakuwa na siasa halisi za upinzani.
 
Back
Top Bottom