GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 2,016
- 7,403
Siyo kila mapinduzi ni mazuri au yana nia njema kwa raia. Haiti, Zaire, Ghana (Nkrumah) kote huko walipata mapinduzi ambayo hayakuwa chanya na hayakutokana na matakwa ya wananchi.
Hapana atakayeumia hapa ni CCM. Sisi raia hakuna baya lakutisha ambalo CCM hawajawahi kutufanyia, JWTZ watatufanya.
Kututeka, kutuua au kutuibia ?
Yote haya maovu CCM ishatufanyia, JWTZ haitakuwa na jipya la kututisha. Ila The Bulembos, The Luhavis, The Mkuchikas, The Kikwetes, The Makambas, have a lot to fear for.
Kututeka, kutuua au kutuibia ?
Yote haya maovu CCM ishatufanyia, JWTZ haitakuwa na jipya la kututisha. Ila The Bulembos, The Luhavis, The Mkuchikas, The Kikwetes, The Makambas, have a lot to fear for.