comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,545
- 17,565
- Thread starter
- #21
Ndio, tusibishaneSafi sana Mimi natoa usafiri buree kwa yeyote atakae amua kuwa sample space kwenye hii project
Ndio, tusibishaneSafi sana Mimi natoa usafiri buree kwa yeyote atakae amua kuwa sample space kwenye hii project
Mimi nataka WANAOSEMA KWAMBA HAKUNA UCHAWIUchawi upo lakini huku uswahilini hata Malaria ikipanda kichwani wanasema umelogwa tatizo ni kwamba wanaongezea chumvi nyingi.
Pm ya nini njoo nipo Juba.Nipo dat, njoo pm tufanye hilo zoezi tupate majibu
Uchawi upo watu wanajua Kila kitu mpaka majina Yako.Uchawi upo lakini huku uswahilini hata Malaria ikipanda kichwani wanasema umelogwa tatizo ni kwamba wanaongezea chumvi nyingi.
Dar kuna sehemu inaitwa JUBA?? soma uzi uuelewe huu sio uzi wa kubishanaPm ya nini njoo nipo Juba.
Wangapi kila siku wanapatwa na janga ? Kama ungekuwa umekutana na Mzee Raila last month si ungechukua Credit ya kifo chake leo ?🤣🤣🤣 Eti mafua, kitakachotokea ni kishindo kikubwa mafua gani tena, yani kifupi UTAPATA JIBU LA UHAKIKA KABISA WALA USIJALI NAKUHAKIKISHIA.
Hao wanaosema HAKUNA UCHAWI natamani sana aje mmoja PM alie dar anipe hivyo vitendea kazi, halafu yeye mwenyewe atapata jibu na atakuja kuandika hapa.Uchawi upo watu wanajua Kila kitu mpaka majina Yako.
Yaani achana na wachawi...hata vitabu takatifu vinataja UCHAWI alafu mtu MMOJA kashiba makande anasema hakuna UCHAWII
Mimi nataka ambao hawaami i niwathibitishie kua UCHAWI UPO, hivyo tu, maana hua wanasema THIBITISHAKama huo uchawi umekusaidia kuwa na pesa na kuishi comfortably hakuna haja ya kuhangaika hivyo kuprove kwa watu.
Uchawi una miiko yake ndio maana black & white magic Sasa kwa Leo jikite kwenye topic wanao bisha uchawi haupo jamaa kajitolea kuwafundisha kwa njia ngumu...Kama huo uchawi umekusaidia kuwa na pesa na kuishi comfortably hakuna haja ya kuhangaika hivyo kuprove kwa watu.
Mpaka utakapokubali uchawi upo ndio utakapochomoka kwenye hiyo shida, MPAKA UKUBALI. WEWE MANENO YANINI??? NJOO PM KAMA UPO DAR TUKUTANE NICHUKUE VITENDEA KAZI, MAMBO YA RAILA YANATOKA WAPI? UNAOGOPA NINI UTAKUFA NA HAUAMINI UCHAWI?Wangapi kila siku wanapatwa na janga ? Kama ungekuwa umekutana na Mzee Raila last month si ungechukua Credit ya kifo chake leo ?
Bad things do happen...
Wizi mtupuKikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)
Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.
AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYA CHINI NIBEBE UNYAYO.
Naona watu mnabishana sana humu ndani.
Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.
#MO29
Hii ndio point yangu, tufanye kwa vitendo ili kupata jibu, shida yetu hapa wasioamini kua kuna uchawi NIWATHIBITISHIE.Uchawi una miiko yake ndio maana black & white magic Sasa kwa Leo jikite kwenye topic wanao bisha uchawi haupo jamaa kajitolea kuwafundisha kwa njia ngumu...
Kuhusu pesa na mali labda tumuombe comrade kipepe 😊 iwe next mada kwa Sasa ni kuthibitisha through hard way kua uchawi una exist
HUTOI HATA 100, MIMI NIPE NYWELE,KUCHA NA JINA LAKO NA LA MAMA YAKO, HUTOI HATA MIA.Wizi mtupu
Atumie uchawi wake kuvipata….Kaka ameomba vitendea kazii kama upo mbali Mimi najitolea nauli..
Kikubwa jamaa kasema anataka nywele, nyuzii ya boksa au shati , na unyayo..
Kaka unakwama wap? Huu ndio muda kaka jitoe muhanga kaka..
Acha uoga, uoga wanini?? Kama haupo Tanzania siku ukija dar nitafute tukutane nichukue hivyo vitu, WEWE SHIDA YAKO NINI?? SI MIMI TUU NIKUTHIBITISHIE?? SASA MBONA UNANIFUNDISHA TENA NAMNA YA KUFANYA KAZIAtumie uchawi wake kuvipata….
Unataka umwone mtu kisha umdhuru physically kisha useme tayari uchawi umefanya kazi.HUTOI HATA 100, MIMI NIPE NYWELE,KUCHA NA JINA LAKO NA LA MAMA YAKO, HUTOI HATA MIA.
Ni ujinga mno, hivi Kuna mtu mwenye akili timamu ataenda akatwe kucha.Upumbavu mtupu. Hakuna uchawi.