Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Utapoteza muda bure mkuu,

Kuna kama wawili niliwaambia wakifika bongo waniambie kama wanataka kuthibitisha.

Wakiumwa ila hospitali wakitumia microscope ambayo inaona beyond uono wa kawaida, wanaona ni sawa ila ushirikina ambao ni spiritual thing, wakiambiwa watumie spiritual gates kuuelewa, wao wanang'ang'ana kuuona kwa njia ya kawaida.

Yani hawa ambao wanaishi kwenye nchi zilizofanya witch hunt, ukiwaambia aliens wapo. Wanadiscuss happily ila uchawi wanaona ni upotofu.

Nitakuwa mtu wa mwisho kamini kuwa uchawi haupo. UCHAWI UPO ila ukiishia ushuani na usipoupa umakini. Hautouona ila uishi ushenzini, ipo siku utapambana nao
Kuamini unaweza kuamini kitu chochote, suala linakuja katika kuthibitisha. Kuna watu wanaamini dunia ni flat, 2pac hajafa, kuna binadamu mijusi, kuna nyoka mwenye vichwa saba baharini, atakuja masihi dajal mwenye jicho moja na imani nyingine nyingi tu za ajabu ajabu ambazo watu wanaamini.

Story za aliens ni kitu kingine kabisa kwa sababu wanaozijadili hawaziweki hizo habari katika mambo ya kiroho kama mnavyofanh katika uchawi bali ni mambo ya kisayansi ambayo waliyoyaona wanasema yameonekana kwenye radar, satellites, ndege za kijeshi n.k kuna vifaa au vitu (vya kushikika na kuonekana kabisa)vimeokotwa duniani ambavyo havijulikani chanzo chake ni wapi na vinazua mjadala, story za uchawi nyingi ni za mtu mmoja tu na zenye contradictions nyingi.
Mimi mtu akiniambia vibwengo labda ni aliens naweza kujadiliana naye lakini akiingiza story sijui za ni viumbe vya kiroho, majini, uchawi n.k sina muda naye, namuona mpuuzi tu
 
Mfano wa changamoto za kichawi ni zipi mkuu
Bila shaka unataka ushuhuda wa changamoto za kichawi.

Ila kwanza fahamu hili.
Uchawi ni nguvu za pekee za kufanya maajabu yasiyowezekana kwa nguvu za kawaida.

Nimetoa mifano ya Farao na ipo mifano ming ya Biblia na Quran.
Labda ww haumini Mungu.
Na pia haumini Shetan.
Kwahiyo nisijikite huko.
(Maana ukiamin haya basi utaamini kuna uchawi upo).

Nirud kwenye Uhalisia ambao ww unataka kushuhudia changamoto ili uamini.

Tanga kuna uchawi unaitwa Zongo.

Mm nimewah kudhulika nao. Nilienda handeni - Kibindu. 2018 Kwenda kuzika. Kuna Mbibi mmoja alikuwa ananiangalia sana . Nikaona atakuwa ananifananisha. Tumemaliza kuzika. Majira ya saa 9 mchana.
Watu hawajatawanyika vizur. Nikaanza kuumwa na Tumbo la kusokota na nikaishiwa nguvu.
Nikawa nachuchumaa. Baada ya hapo naona Watu wananibeba na kunipekeka nyumba ya karibu na kunilaza kwenye mkeka. Sina Faham. (Yaan inakuja na kukata)
Wamepiga dua sana. Na baadae kuna dawa wakakoroga wakanipa kwa kijiko kidogo kdogo.
Nikazinduka. Lisaa lizima na zaid sikuwa na nertwork. Na nasikia nilikuwa nazungusha macho. Mara nyingne kiini cheus hakionekani.

Kumbuka ni kitu cha gafla tena makaburini.
Wataalam walisema ni Zongo na ndio nikakumbuka yule mbibi alivyokuwa ananitizama kabla hatujaelekea makaburini.

Je Hii Zongo tuiteje?
Au unahisi sio uchawi?
 
Wewe ulipata tumbo la kuhara tuu and nothing more, next time acha kulakula hovyo na osha mikono
 
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.

Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)

Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.

AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.

Naona watu mnabishana sana humu ndani.

Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.

#MO29
Sema exactly nini mwishoni kitatokea, kama huwezi funga uzi
 
Utapoteza muda bure mkuu,

Kuna kama wawili niliwaambia wakifika bongo waniambie kama wanataka kuthibitisha.

Wakiumwa ila hospitali wakitumia microscope ambayo inaona beyond uono wa kawaida, wanaona ni sawa ila ushirikina ambao ni spiritual thing, wakiambiwa watumie spiritual gates kuuelewa, wao wanang'ang'ana kuuona kwa njia ya kawaida.

Yani hawa ambao wanaishi kwenye nchi zilizofanya witch hunt, ukiwaambia aliens wapo. Wanadiscuss happily ila uchawi wanaona ni upotofu.

Nitakuwa mtu wa mwisho kamini kuwa uchawi haupo. UCHAWI UPO ila ukiishia ushuani na usipoupa umakini. Hautouona ila uishi ushenzini, ipo siku utapambana nao
Mpaka sasa ni mabishano tuu, wanaogopa kunipa nilichoomba
 
Kisayansi , haujathibitishwa.

Kijamii, athari na hofu za uchawi ni halisi.

Kiimani dini nyingi zinaukubali kama upo ila ni mwiko.

Kibinadamu hofu ya yasiyoonekana huendeshwa zaidi na imani kuliko mantiki.

Leo hata wachawi watawapinga mno hapa!

If it confuses its not from God..
 
Naona mnabishania sana kwenye Hili suala.
Uchawi upo.
Pengine hauelewi maana ya Uchawi na ukaishia kujua kwamba uchawi ni kuroga tu.

Sayansi haithibitishi kila jambo.
Mfano. Je mwanadamu ana roho?.

Kama hujawahi kukumbwa na changamoto za kichawi basi mshukuru Mungu.

Na kama Hauamini.
Nataman sana ukumbane Nazo na zikudhuru. Ili ujue kuwa uchawi upo.
Na useme tawile.
Mimi nimewaomba wanipe vitu nilivyotaka niwakumbanishe na uchawi live lakini wananipiga chenga tu
 
HUTOI HATA 100, MIMI NIPE NYWELE,KUCHA NA JINA LAKO NA LA MAMA YAKO, HUTOI HATA MIA.
Kwanini usimroge hapo hapo kupitia hayo maandishi yake, yaan mpaka upewe viungo vyake na jina juu wewe mchawi konki umeshindwa nini kumjua kila kitu kupitia tu hiyo comment yake?
 
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.

Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)

Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.

AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.

Naona watu mnabishana sana humu ndani.

Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.

#MO29
Bro, ikiwa mtu ana kinga kali sana mwilini ambayo kimsingi ameipata kwa hao hao wachawi. Sasa akaja akakupa chochote kati ya vitu ulivyoomba na ushindwe kufanya lolote si atakuwa amekudify kuwa UCHAWI HAKUNA
 
Nitakuloga ufe kabla ya week 2 kuisha, kama unabisha tukutane unipe hivyo vitu nilivyoomba halafu usubiri
You are not serious, ndio maana mnaonekana waongo tuu maana hakuna mtu mwenye akili atakubali experiment ya kipumbavu kama hiyo, funga uzi ukalale
 
Kwanini usimroge hapo hapo kupitia hayo maandishi yake, yaan mpaka upewe viungo vyake na jina juu wewe mchawi konki umeshindwa nini kumjua kila kitu kupitia tu hiyo comment yake?
Kwahiyo unanifundisha namna ya kufanya kazi? Wewe tumia aina ya uchawi huo ambao unauelezea wangu unafanya kazi tofauti.
 
You are not serious, ndio maana mnaonekana waongo tuu maana hakuna mtu mwenye akili atakubali experiment ya kipumbavu kama hiyo, funga uzi ukalale

You are not serious, ndio maana mnaonekana waongo tuu maana hakuna mtu mwenye akili atakubali experiment ya kipumbavu kama hiyo, funga uzi ukalale
Tukutane unipe hivyo vitu halafu kaa subiri, huamini uchawi halafu unaogopa kufa, basi nitakupunguzia kibano, wewe kama upo dar tukutane nipo hvyo vitu, lazima uone upumbavu maana hauamini uchawi, WEWE SHIDA YAKO NINI TUKUTANE NIPE KUCHA NA NYWELE AU UNYAYO WAKO HALAFU UNAONDOKA UNAENDA KUENDELEA NA MAISHA KWANI UNAOGOPA NINI??? KAMA NI UPAMBAVU UTALETA USHUHUDA NDANI YA HIZO WEEK 2, INAKUAJE UNALETA MATOKEO NA USHUHUDA KABLA YA KAZI ?
 
Tukutane unipe hivyo vitu halafu kaa subiri, huamini uchawi halafu unaogopa kufa, basi nitakupunguzia kibano, wewe kama upo dar tukutane nipo hvyo vitu, lazima uone upumbavu maana hauamini uchawi, WEWE SHIDA YAKO NINI TUKUTANE NIPE KUCHA NA NYWELE AU UNYAYO WAKO HALAFU UNAONDOKA UNAENDA KUENDELEA NA MAISHA KWANI UNAOGOPA NINI???
Never 👎
 
Naona mnabishania sana kwenye Hili suala.
Uchawi upo.
Pengine hauelewi maana ya Uchawi na ukaishia kujua kwamba uchawi ni kuroga tu.

Sayansi haithibitishi kila jambo.
Mfano. Je mwanadamu ana roho?.

Kama hujawahi kukumbwa na changamoto za kichawi basi mshukuru Mungu.

Na kama Hauamini.
Nataman sana ukumbane Nazo na zikudhuru. Ili ujue kuwa uchawi upo.
Na useme tawile.
Hayo maelezo umenikusudia mimi?
 
Bila shaka unataka ushuhuda wa changamoto za kichawi.

Ila kwanza fahamu hili.
Uchawi ni nguvu za pekee za kufanya maajabu yasiyowezekana kwa nguvu za kawaida.

Nimetoa mifano ya Farao na ipo mifano ming ya Biblia na Quran.
Labda ww haumini Mungu.
Na pia haumini Shetan.
Kwahiyo nisijikite huko.
(Maana ukiamin haya basi utaamini kuna uchawi upo).

Nirud kwenye Uhalisia ambao ww unataka kushuhudia changamoto ili uamini.

Tanga kuna uchawi unaitwa Zongo.

Mm nimewah kudhulika nao. Nilienda handeni - Kibindu. 2018 Kwenda kuzika. Kuna Mbibi mmoja alikuwa ananiangalia sana . Nikaona atakuwa ananifananisha. Tumemaliza kuzika. Majira ya saa 9 mchana.
Watu hawajatawanyika vizur. Nikaanza kuumwa na Tumbo la kusokota na nikaishiwa nguvu.
Nikawa nachuchumaa. Baada ya hapo naona Watu wananibeba na kunipekeka nyumba ya karibu na kunilaza kwenye mkeka. Sina Faham. (Yaan inakuja na kukata)
Wamepiga dua sana. Na baadae kuna dawa wakakoroga wakanipa kwa kijiko kidogo kdogo.
Nikazinduka. Lisaa lizima na zaid sikuwa na nertwork. Na nasikia nilikuwa nazungusha macho. Mara nyingne kiini cheus hakionekani.

Kumbuka ni kitu cha gafla tena makaburini.
Wataalam walisema ni Zongo na ndio nikakumbuka yule mbibi alivyokuwa ananitizama kabla hatujaelekea makaburini.

Je Hii Zongo tuiteje?
Au unahisi sio uchawi?
Kwahiyo changamoto ya kuumwa na tumbo ghafla ndio Zongo (uchawi)?
 
Siwezi kuthibitisha hapa kuwepo kwa upepo na sidhani kama kuna mwenye kuweza kuthibitisha kuwepo upepo.
Unaamini tu kitutusa! Sawa

Twende hii, unaamini na kujua kuwa kuna magari? Jibu ndio au hapana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom