Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,554
- 110,101
Yote uliyosema ni majibu sahihiUnaweza kueleza sababu za kutokuwepo kwa uthibitisho wa uchawi?
Je ni kwa sababu tu wanaoamini uchawi hawajathibitisha? Au walijaribu kuthibitisha ila hawakuweza au uchawi hauwezi kuthibitishika kisayansi?