Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,913
Uchunguzi wa nini wakati hakuna ushahidi na kutokuwepo kwa ushahidi ni ushahidi wa kwamba polisi hawahusiki. Kwahiyo kwa mujibu wa maelezo yako tunatakiwa tukubali kwamba upo ushahidi kuwa polisi hawahusiki na utekaji na ushahidi wenyewe ni kutokuwepo kwa ushahidi wa polisi kuhusika na utekaji.Ndiyo, naweza kukubaliana na wewe na hili kuwaondoa police kabisa katika hizo tuhuma nitataka tume huru ya uchunguzi. Pia kwa sababu police ndio wana wajibu wa kulinda raia na wanasema sio wao wanaoteka watu, wameshindwa kuwatambua watekaji na wameshindwa kuzuia utekeji uliokithiri kwenye utawala wenye uwajibikaji itabidi viongozi wake wajiuzulu pamoja kukubali tuwatafutie usaidizi kutoka vyombo vya nje nje vyenye weledi zaidi mfano FBI.