Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,800
- 12,566
Acha kumtagi mtu usilazimishe mawazo yangu yawiyane na Yoda au yako yawiane na mtu mwingine jibu kama weweYoda
Hebu msaidie huyu mwenzako kumueleza uthibitisho ni nini maana yeye anang'ang'ania kuwa kaweza kuthibitisha upepo hapa na si kwamba kaeleza njia za kuthibitisha upepo.
Sema kuthibitisha ni kufanyaje?