GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,555
1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba.
2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani
Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa Imani nae huku Sisi Wengine tunaomjua vyema tukimchukia kabisa angetufaa / anatufaa?
Na mmeshaambiwa kuwa katika moja ya Vigezo vya Mgombea kupitishwa ni kuwa na Haiba ( Personality ) sasa mnaomtetea huyu Msaliti Godfrey Nyange Kaburu na aliyeikosea makubwa Klabu yetu ( yangu ) kwa haya Mambo machache tu niliyoyaelezea hapa juu anastahili na angetufaa kama Kiongozi wetu?
Kwa wale ambao mnampenda na mnamtaka sana Godfrey Nyange Kaburu awe Kiongozi undeni Timu yenu kisha mchukueni ila ndani ya Klabu yangu pendwa GENTAMYCINE ya Simba SC hatufai, hatumtaki na huu Mjadala Ufungwe na Uishe rasmi sawa?
Mnakera....!!!!!!