GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,874
- 109,575
Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini?
Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya Kuanza kutoa Pole kwa Wafiwa na Familia zao Wote wanaanza kumpa Pole Rais Samia.
GENTAMYCINE nikiletewa Microphone na Camera Kuzungumzia hii Ajali nitasema yafuatayo.....
"Natoa Pole zangu nyingi kwa Marehemu na Wafiwa wote huku nikimuomba Mwenyezi Mungu aziweke Roho zao mahala pema Peponi na nawaombea Nafuu Majeruhi wote. Hata hivyo lawama zangu nyingi na Tukuka nazipeleka kwa Rais wa Tanzania kwa Serikali yake Kushindwa kuwa na Vikosi imara vya Uokozi hasa katika Ajali na Majanga makubwa kama haya"
Nimemaliza.
Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.