Hii thread isipopata wachangiaji naapa kujitoa JF na wala hamtaniona tena.
Jaza mwenyeweKwahiyo siyo kitchen party?
Unaota? Unahisi? Unakurupuka? Unachanganyikiwa?
Aliyeanzisha debate naye ni kilaza wa kufa mtu! Kwanza inabidi aniombe radhi kwa kunishindanisha na mtu anayetafuta sentensi kupitia Google.
Aliyeanzisha debate naye ni kilaza wa kufa mtu! Kwanza inabidi aniombe radhi kwa kunishindanisha na mtu anayetafuta sentensi kupitia Google.
mwanzo ulikuwa kama mngese ila hapa mwishoni naona kam tunaenda sawa!
Bila shaka umeuliza swali lako kwa tafasiri ya kiingereza ukiwa na maana 'are you married?''. Ni kweli mimi ni mume wa mke mmoja (Elizabeth Mushi) ingawa yeye nilimkataza asijiunge na JF.
What dont you understand abount funi, ama ulitaka tu niandike funny ndo useme umeelewa?Hilo la nne sijalielewa. Funiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
Hilo la kuishia Form Six bado sijakuelewa vizuri?
Kumbe wewe ni mume wake Lizzy
Mwita bana, hivi mbona walikupambanisha na kiranga, na wewe mayai hayapandi vizuri eti
ID yako imenipagawisha katelero.....uwiiiiiiiiii.............yaani naona maji yanruka ruka tayari