Wakuu wa shule kumchangia fedha ya kuchukua fomu ya Urais Rais Samia 2025, hiki ni "kituko" cha kufungia mwaka

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Jan 2, 2023
222
528
Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu.

Je, kiongozi wa umma anaruhusiwa kuonyesha msimamo wake wa kisiasa hadharani?

Je, wamejuaje kama Rais Samia atagombea 2025?

Je, wana uhakika gani chama chake kitampitisha?

Kulikuwa na haraka gani kufikia hili azimio kipindi hiki ambacho hata mchakato haujaanza?

Tuamini kuwa hili nalo ni sehemu ya kujipendekeza? Kama ni kujipendekeza, wanawezaje kupandikiza ujasiri na kujiamini kwa walimu wanaowasimamia na watoto wetu?
Screenshot_20231220_070047_Instagram.jpg
 
Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu.

Je, kiongozi wa umma anaruhusiwa kuonyesha msimamo wake wa kisiasa hadharani?

Je, wamejuaje kama Rais Samia atagombea 2025?

Je, wana uhakika gani chama chake kitampitisha?

Kulikuwa na haraka gani kufikia hili azimio kipindi hiki ambacho hata mchakato haujaanza?

Tuamini kuwa hili nalo ni sehemu ya kujipendekeza? Kama ni kujipendekeza, wanawezaje kupandikiza ujasiri na kujiamini kwa walimu wanaowasimamia na watoto wetu? View attachment 2847719
Hawa wapumbavu ndiyo maana wanalipwa mishahara kidogo sababu ya kukosa akili
 
Badala ya kumuombea achape kazi kwa ufanisi na kwa uaminifu kwa kipindi kilichosalia Cha Miaka hii miwili na pia kumshauri mnapoona kina pengo, mnapanga kununua fomu mwaka 2025? Mnayajua Mapenzi ya Mungu yakoje?

Hii kada ina watu wanafki sana!
 
Wanamlipa fadhila sababu sasa amewaachia wafanye watakavyo.

Hizo shule za sekondari zimekuwa pango la wanyonyaji.
Sasa wakuu wa shule wamebuni miradi yao ya kukamua wazazi michango kibao mara ya mitihani jumamosi, mara michango wa chakula, mara nini.....

Sasa hivi waalimu hawafundishi wanapiga miradi yao binafsi, shuleni Wana ripoti na kuendelea na mambo yao.
 
Wanamlipa fadhila sababu sasa amewaachia wafanye watakavyo.

Hizo shule za sekondari zimekuwa pango la wanyonyaji.
Sasa wakuu wa shule wamebuni miradi yao ya kukamua wazazi michango kibao mara ya mitihani jumamosi, mara michango wa chakula, mara nini.....

Sasa hivi waalimu hawafundishi wanapiga miradi yao binafsi, shuleni Wana ripoti na kuendeleza na mambo yao.
Mkuu weka hata kavideo basi

Hii kavu kavu tunachubuana akili na nafsi
 
Wanamlipa fadhila sababu sasa amewaachia wafanye watakavyo.

Hizo shule za sekondari zimekuwa pango la wanyonyaji.
Sasa wakuu wa shule wamebuni miradi yao ya kukamua wazazi michango kibao mara ya mitihani jumamosi, mara michango wa chakula, mara nini.....

Sasa hivi waalimu hawafundishi wanapiga miradi yao binafsi, shuleni Wana ripoti na kuendeleza na mambo yao.
Upo sahihi hawa wajinga hawana akili
 
Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu.

Je, kiongozi wa umma anaruhusiwa kuonyesha msimamo wake wa kisiasa hadharani?

Je, wamejuaje kama Rais Samia atagombea 2025?

Je, wana uhakika gani chama chake kitampitisha?

Kulikuwa na haraka gani kufikia hili azimio kipindi hiki ambacho hata mchakato haujaanza?

Tuamini kuwa hili nalo ni sehemu ya kujipendekeza? Kama ni kujipendekeza, wanawezaje kupandikiza ujasiri na kujiamini kwa walimu wanaowasimamia na watoto wetu? View attachment 2847719
Japokuwa Wana haki ya kuonyesha affection zao kuhusu siasa, lakini ukweli ni kwamba wameutumia vibaya Uhuru na Haki hiyo. Wamevuka mipaka ya Uhuru wao na kuingia kwenye vitendo vya uhalifu.
 
Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu.

Je, kiongozi wa umma anaruhusiwa kuonyesha msimamo wake wa kisiasa hadharani?

Je, wamejuaje kama Rais Samia atagombea 2025?

Je, wana uhakika gani chama chake kitampitisha?

Kulikuwa na haraka gani kufikia hili azimio kipindi hiki ambacho hata mchakato haujaanza?

Tuamini kuwa hili nalo ni sehemu ya kujipendekeza? Kama ni kujipendekeza, wanawezaje kupandikiza ujasiri na kujiamini kwa walimu wanaowasimamia na watoto wetu? View attachment 2847719
Tukisema hii taaluma imevamiwa na wahuni mnaona walim hawapendwi , walim wa sasa hamna kitu ,
 
Kama mdau wa Elimu na maendeleo ya kijamii, taarifa za wakuu wa shule kumchangia Mama Samia fedha za kuchukua fomu ya Urais kabla ya mchakato husika kuanza linaleta ukakasi na maswali mengi juu ya uwezo wa kupambanua mambo wa hawa viongozi walioaminiwa kusimamia elimu ya watoto wetu.

Je, kiongozi wa umma anaruhusiwa kuonyesha msimamo wake wa kisiasa hadharani?

Je, wamejuaje kama Rais Samia atagombea 2025?

Je, wana uhakika gani chama chake kitampitisha?

Kulikuwa na haraka gani kufikia hili azimio kipindi hiki ambacho hata mchakato haujaanza?

Tuamini kuwa hili nalo ni sehemu ya kujipendekeza? Kama ni kujipendekeza, wanawezaje kupandikiza ujasiri na kujiamini kwa walimu wanaowasimamia na watoto wetu? View attachment 2847719
Unataka wakuchangie wewe
 
Back
Top Bottom