Mnanizungumziaje wakuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnanizungumziaje wakuu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwita25, Dec 29, 2011.

 1. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ukiulizwa unielezee japo kwa maneno matano utasema nini? Mtazamo wako uzingatie kipindi hiki cha miezi 8.5 ambacho nimekuwa ndani ya JF. Lakini hata kwa wale tunaofanya nao ofisi moja nao pia wana uhuru wa kutoa maoni yao juu yangu.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hii thread isipopata wachangiaji naapa kujitoa JF na wala hamtaniona tena.
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Miezi 8.5 Post 3774? JF imekuwa Office yako? je ukitimiza 12 month utakuwa na post ngapi? nataka kujua kwa siku, week na mwezi una post ngapi?

  Na vilevile ulikuwa unatumiwa na Magamba ulipoanza kuingia hapa Jf sasa vipi uhusiano wako na Nape? Na ni kitu gani kilichokufanya ukaasi kwenye genge la Magamba?

  Ni hayo tu maswali ya yangu kwa leo Kijana
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  a ..................man who doesn't know anything'
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  Kwani kujitoa wewe hapa JF ndio itakufa? Ukijitoa usijitoe ni wewe tu, una uhuru wa kufanya lolote ili mradi usivunje Sheria za JF
   
 6. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa kuwa unamaanisha nimepost vitu vingi ukilinganisha muda niliokuwepo JF kitu kinachokupa wasiwasi kuwa sina kingine cha kufanya zaidi ya kuingia JF siyo? Sidhani kama swali lako lina mantiki (na) hasa ukinilanganisha na watu kama FF, AshaDii.
  Swali lako la pili sijaelewa unauliza uhusiano wangu na Nape wa kiitikadi au wa ki-undugu?
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa mstaarabu sana kuchukua muda wangu kukujibu swali lako la hapo juu.
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ulivyoingia JF uliingia kama Mfanyakazi wa magamba, kuhakikisha Watanzania wazalendo hawaizungumzi vibaya Chama Cha Mahayawani i mean Magamba company. Wewe na wenzako mlikuwa mnapinga sana hoja zinazotolewa na Members wanaouchukia Ufisadi hasa uliojaa kwenye Serikali ya Fisadi Dr Dr Dr. Mwanajeshi Mstaafu, Rais wa NEC, Professor to be, Alhaji Kikwete. Sasa ilikuwaje ukarofishana na Nape?

   
 9. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  You mean Ritz, Omr, Rejao, FF n.k.? Kwa upande wangu honestly nakuona Kigeugeu!
   
 10. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ni kijana aliekuwa na akili nzuri mpaka mwanzoni mwa mwaka 1995 alipokuwa anamaliza form four lakini pale alipovuta bangi siku ya graduation ndipo akili yake ilipokaa tenge na kuwa mbovu hadi leo!
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  An intriguing member, vigumu sana kukuelewa.
  But you seem honest to me, which is rare in JF.
  I smile every time I read you, even when you are mean to me.
   
 12. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Mwita bwana
   
 13. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #13
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Frankly speaking..mwita my brother we mmbea..hata sijui unaofanya nao kazi inakuaje... (Hii comment ilikua niandike kuleee kwa thread ya malalamiko ya Lizzy bahati mbaya RR ameifunga)
  yani umenikwaza!! am very revengeful nakutaftia siku saa na tarehe ila sijajua itakua ni lini...(Ni mtazamo wangu huu juu yako)


  mbona ime editiwa hii comment??? i hate this!
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi nakuchukulia kama Zinduna anavyowachukulia wanaume.
   
 15. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  :bathbaby:
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati mwingine hata watu wa familia yangu huwa wananishangaa kwa vitendo vyangu vya ajabu ajabu. Lakini wamefikia kukubali kuwa kila binadamu ana makosa yake. Kinachotutofautisha ni kwa jinsi gani tunafanya udhaifu wetu uonekane kwa wengine.
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kwa kipindi ulicho kaa kwa kuipigania magamba kama hujajenga kibanda chako bora ujitoe
   
 18. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tusameheane mkuu
   
 19. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  unaonekana ni mume unayekumbana na tibwili la asha ngedere nyumbani kwako na ndoa yako ni ndoa ndoano ambayo inakufanya muda wote ujikeep bize na computer yako kuliko kuwahi home. Pole
   
 20. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwanini umesema hivyo Happy?
   
Loading...