Naomba maoni yenu kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mahusiano ya kifamilia, mapenzi, jinsia na dini

holy spirit

JF-Expert Member
Nov 30, 2020
700
1,040
Habirini wakuu,

Moja kwa moja niende kwenye mada. Tangu nipate japo maarifa kidogo ya kufanya academic research nimekuwa na interest fulani ya kutafiti mambo mbalimbali yanayohusu mahusiano, mapenzi, jinsia, familia na dini. Tafiti huwa zinatokana na kutambua matatizo fulani yanayosumbua jamii ili tuweze kujua visababishi na kupata maarifa zaidi juu ya hayo matatizo ili yaweze kushughulikiwa kwa ufanisi.

Ningependa kupata maoni yenu wadau kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mahusiano ya kifamilia, mapenzi, jinsia na dini ukihusishanisha na familia hasa Tanzania. Matatizo ambayo kwa sasa unaona yanahitaji kufanyiwa kazi kwa haraka kama tunahitaji jamii bora miaka ya mbeleni. Itakuwa vyema kama utaweza kusema hilo tatizo umeliona hasa mkoa gani au kwenye jamii gani.

Baadhi ya matatizo ninayosikia yanatajwa sana

  • Wanaume kushindwa ku perform ipasavyo kwenye tendo
  • Ongezeko kubwa la single mothers
  • Baadhi ya watu kuona ndoa ni kujipotezea muda, uhuru na furaha
  • Baadhi ya watu kushindwa kuheshimu wake au waume za watu mwishowe kuvurga ndoa za watu.

Ningeomba kama kuna mengine ambayo unahisi ni makubwa zaidi yanahitaji attention kwenye jamii yetu ya kitanzania kwa sasa usisite kutoa comment nasoma maoni kwa umakini.
 
Mkuu, point zako ulizoandika hapo juu, zinajitokeza hapa duniani(Africa - East) kwa sababu ya :-
1. Uchumi wa mtanzania( ufukara).

2. Globalization, see the image below 👇👇.

FB_IMG_17092790828059269.jpg
 
Habirini wakuu,

Moja kwa moja niende kwenye mada. Tangu nipate japo maarifa kidogo ya kufanya academic research nimekuwa na interest fulani ya kutafiti mambo mbalimbali yanayohusu mahusiano, mapenzi, jinsia, familia na dini. Tafiti huwa zinatokana na kutambua matatizo fulani yanayosumbua jamii ili tuweze kujua visababishi na kupata maarifa zaidi juu ya hayo matatizo ili yaweze kushughulikiwa kwa ufanisi.

Ningependa kupata maoni yenu wadau kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mahusiano ya kifamilia, mapenzi, jinsia na dini ukihusishanisha na familia hasa Tanzania. Matatizo ambayo kwa sasa unaona yanahitaji kufanyiwa kazi kwa haraka kama tunahitaji jamii bora miaka ya mbeleni. Itakuwa vyema kama utaweza kusema hilo tatizo umeliona hasa mkoa gani au kwenye jamii gani.

Baadhi ya matatizo ninayosikia yanatajwa sana
  • Wanaume kushindwa ku perform ipasavyo kwenye tendo
  • Ongezeko kubwa la single mothers
  • Baadhi ya watu kuona ndoa ni kujipotezea muda, uhuru na furaha
  • Baadhi ya watu kushindwa kuheshimu wake au waume za watu mwishowe kuvurga ndoa za watu.

Ningeomba kama kuna mengine ambayo unahisi ni makubwa zaidi yanahitaji attention kwenye jamii yetu ya kitanzania kwa sasa usisite kutoa comment nasoma maoni kwa umakini.
Una mpango wa kutumia nadharia gani katika study yako? Assumption itakuaje kuaje
 
Hiyo research yako hata haielewiki una research nini Research ya umbea ukiousikia aiseee.
 
assumption yani unauliza theoretical underpinning itakayo guide research yangu au?
Yah mana hiyo ni social science tayari na big picture inaanzia kwenye muundo. Wengi wanaanngazia kwenye muktadha wa jumla hasa matatizo yanapotoa wahanga wakubwa katika tabaka la watu maskini.
 
Siwezi ku judge moja kwa moja kuwa guiding theory itakuwa hii mpaka niwe nime identify tatizo kwanza ambalo nalataka kufanyia kazi. Baada ya hapo nitaweza kujua nataka ku study hio problem kwenye context ya theory gani.

Ninachokifanya apa niko kwenye step ya ku identify tatizo.
 
Ila generally study yangu italala kwenye sociocultural context
 
Katika kufanya research unatakiwa kuwa na specific topic au ajenda unayotafiti ili kuja na majibu specific kuhusu hiyo issue.

Kwa namna umelist hapa ina maana una topic zaidi ya moja za kutafiti so kazi unayo katika kukusanya data na kuzichambua ili kuja na majibu sahihi.
 
Back
Top Bottom