Mnanizungumziaje wakuu?

Mnanizungumziaje wakuu?

me nilikuwa na swali,umeolewa?

Bila shaka umeuliza swali lako kwa tafasiri ya kiingereza ukiwa na maana 'are you married?''. Ni kweli mimi ni mume wa mke mmoja (Elizabeth Mushi) ingawa yeye nilimkataza asijiunge na JF.
 
Mmmm..kumbe ww Male,ok ilo jina la mkeo sio geni kwangu?
 
Mimi nakuchukulia kama mtu wa kanda maalumu,unahitaji uangalizi maalumu!
 
Mbona ulini-PM ukinihitaji niwe mumeo?

Sasa Mwita25, hayo ya sirini mbona unayaanika hapa? PM zinazungumza vizuri zaidi na mara nyingine huwa ni muhimu sana, siku nyingine utakosa hizo PM.
Kama una mpango wa kuwa mume na baba mzuri inakupasa kuwastahi wanao propose kwa kuku-PM.
 
Fuatilia post yake niliyomjibu hapo juu utagundua kwanini nimeamua kumuanika hadharani ingawa huwa sina tabia kama hizo. Mara ngapi mademu wananitaka kimapenzi lakini sijawahi kuwatangaza hata mara moja.
 
Nashukuru sana mdogo wangu. Mungu akuinue sana katika kila unachokifanya.

Mwita25, kuniita mimi mdogo wako umenikosea adabu sana, nna hakika mimi ni kaka kwako, tena kwa mbali.
Ntake radhi tafadhali.
 
Fuatilia post yake niliyomjibu hapo juu utagundua kwanini nimeamua kumuanika hadharani ingawa huwa sina tabia kama hizo. Mara ngapi mademu wananitaka kimapenzi lakini sijawahi kuwatangaza hata mara moja.

Haya bana, naona unadumisha mila; anakutema, unamtema. Haya Mura.
 
Mwita25, kuniita mimi mdogo wako umenikosea adabu sana, nna hakika mimi ni kaka kwako, tena kwa mbali.
Ntake radhi tafadhali.

Hujawahi kutaja umri wako.
 
ndugu mwita umeshaongeza elimu? maana siku moja ulituambia una diploma ya mambo ya samaki yaani wewe ni bwana samaki hapa mjini.
 
Unaweza kuniwekea link? Wana JF ni watu wa kuongea kwa ushahidi wa hali ya juu usio na umbea umbea.
 
Back
Top Bottom